Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,232
- 62,311
Unaandika kama mtu aliyekatwa kichwa, wewe usingezaliwa kwenye hiyo ndoa ya baba yako na mama yako ungekuja hapa kuhoji kama kuna ulazima wa kuzaa watoto?Wengi tunakimbilia kuzaa tukiamini huko mbeleni, watoto tunaowazaa watakuja kutusaidia.
Hii inatokana na kutokuwepo kwa kambi za wazee katika huu ukanda wetu, inayopelekea ufikapo uzeeni kukosa mtu wa kukusaidia pale utakapohitaji msaada.
Tumekuwa tukiwazaa watoto, na kuwagharamia kila kitu kwa gharama kubwa, iwe chakula, mavazi, elimu n.k.
Ila wakishakuwa wakubwa, wanakuwa na miji yao na wengine wanakuwa hawana msaada kwa wazazi wao, na kuishia kuwatelekeza.
Sasa najiuliza, kuna umuhimu gani wa kuzaa na kujinyima vitu mbalimbali ikiwapo uwekezaji mbalimbali, kwa ajili ya kumgharamikia mtoto asiyekuja kuwa na msaada na wazazi?
Imekuwa, kuwa na watoto katika familia ni mzigo mkubwa sana inayoathiri uchumi wa wana familia.
Hii imeathiri maisha yetu ya kila siku, ndio maana wengi wetu hatuendi kutalii mbuga za wanyama au kwenda nchi mbali mbali, kwa sababu ya fedha kuwekeza kwa watoto.
Sasa najiuliza, kuwa na watoto kwenye ndoa ni hitaji la msingi?
Mfano, wewe uliomba wakulete duniani?Unaandika kama mtu aliyekatwa kichwa, wewe usingezaliwa kwenye hiyo ndoa ya baba yako na mama yako ungekuja hapa kuhoji kama kuna ulazima wa kuzaa watoto?
Ndiyo mkuu.Wengi tunakimbilia kuzaa tukiamini huko mbeleni, watoto tunaowazaa watakuja kutusaidia.
Hii inatokana na kutokuwepo kwa kambi za wazee katika huu ukanda wetu, inayopelekea ufikapo uzeeni kukosa mtu wa kukusaidia pale utakapohitaji msaada.
Tumekuwa tukiwazaa watoto, na kuwagharamia kila kitu kwa gharama kubwa, iwe chakula, mavazi, elimu n.k.
Ila wakishakuwa wakubwa, wanakuwa na miji yao na wengine wanakuwa hawana msaada kwa wazazi wao, na kuishia kuwatelekeza.
Sasa najiuliza, kuna umuhimu gani wa kuzaa na kujinyima vitu mbalimbali ikiwapo uwekezaji mbalimbali, kwa ajili ya kumgharamikia mtoto asiyekuja kuwa na msaada na wazazi?
Imekuwa, kuwa na watoto katika familia ni mzigo mkubwa sana inayoathiri uchumi wa wana familia.
Hii imeathiri maisha yetu ya kila siku, ndio maana wengi wetu hatuendi kutalii mbuga za wanyama au kwenda nchi mbali mbali, kwa sababu ya fedha kuwekeza kwa watoto.
Sasa najiuliza, kuwa na watoto kwenye ndoa ni hitaji la msingi?
Wazazi wasingeleta watu duniani hata dunia isingekuwepo.Mfano, wewe uliomba wakulete duniani?
Wewe unaliona hilo likiwezekana?Mfano, wewe uliomba wakulete duniani?
🤣🤣KUZAA NI KUPOTEZA NGUVU ZA KIUME BURE TUU!HAKUNA UMUHIMU WA KUZAAZAA,tena kwenye ndoa hakuna umuhimu kabisa ya kuwa na watoto kwani watoto watawazuia wewe na mkeo kula bata😎
Na ikitokea wanandoa wakawa hawana uwezo wa kupata watoto, je hiyo ndoa ivunjike?Ndiyo mkuu.
Lengo la Kuzaa siyo watoto waje kukusaidia, Bali ni kutimiza malengo ya kuijaza Dunia na kuweka Mhuri kwamba tumewahi kuwepo duniani.. Maana wote tukiwaza kutokuzaa, basi miaka mia moja tu Ijayo Dunia itabaki bila watu..
Nchi za Magharibi ambapo Wananchi wake waliamua kutokuzaa ama kuzaa Mtoto mmoja tu, Kwa Sasa Serikali zao zinahaha kuhamasisha watu wazae.. Wamejawa na hofu ya Vizazi vyao kutoweka.
Kuzaa ni Baraka, kuzaa ni heshima, kuzaa ni kuweka Hazina..
Kwa hiyo, kizazi cha leo kinaweza kuamua kuhitimisha mwisho wa dunia kama hawatozaa?Wazazi wasingeleta watu duniani hata dunia isingekuwepo.
Kuzaa mtoto kwa kuweka matumaini atakuja kukusaidia baadaye ni ujinga, ni kuzaa kwa biashara ya kutunzana.Wengi tunakimbilia kuzaa tukiamini huko mbeleni, watoto tunaowazaa watakuja kutusaidia.