Je ? Kuwa mtu mwema ni kweli kunakufanya uishi maisha bora hapa duniani ?

nodetz

Senior Member
Joined
May 4, 2024
Posts
173
Reaction score
156
Habari wana jf.

Nimekua nikisoma makala mbali mbali na material mbali mbali uko mtandaoni nimekua nikitaka kujua na kufatilia je maisha yanakua bora na salama pale unapo amua kuwa mtu mwema sana (nice guy) hapa duniani.

Leo nimeona nililete mbele yenu wana jf nisikie mitazamo yenu

Pia niweke msingi wa point yangu.
Nikua simaanishi kuwahamasisha watu kuwa wabaya au wenye tabia mbaya kwa jamii ila najaribu kutaka kujua yale tuliyofundishwa na wazee wetu nikweli kwa dunia yaleo yanatusaidia maana kila nikiangalia background za watu maarufu na wenye mfanikio katika tasinia mbalimbali nakuja kugundua wengi wao wako na mambo ya hovyo ufanya kabla au baada ya kupata mafanikio yao na mambo haya wanayafanya nyuma ya pazia ila wakija mbele kwenye camera na mic za waandishi wanajaribu kutuonyesha wao ni wema ila ukweli hauko ivo.

Sihitaji kumention mtu hapa coz nitaamisha mada.
Swala la msingi je kuwa mtu mwema katika dunia hii ya leo inasaidia kutufanya kuwa na maisha bora na yenye mafanikio katika nyanja zote.
 
Cio kweli
IMG-20250513-WA0296.jpg
 
Ukiwa MTU mwema au nice guy au positive person, unakuwa unafanya maisha yalete ladha kwako na kwa familia yako na kizazi chako.

Mafanikio ya hapa duniani hayana uhusiano wowote na kuwa MTU mwema au mbaya unaweza kuwa MTU mbaya ukafanikiwa the same unaweza kuwa MTU mzuri ukafanikiwa.

Ila Alama au legacy itakusoma zaidi ukiwa mtu mwema kwakuwa success is not personal and life the same .

Kuwa MTU mwema ni jambo zuri Sana
 
Kweli mkuu but vip sio kwamba inakua inakulimit kwenye baadhi ya mambo
 
Ukiwa MTU mwema au nice guy au positive person, unakuwa unafanya maisha yalete ladha kwako na kwa familia yako na kizazi chako.

Mafanikio ya hapa duniani hayana uhusiano wowote na kuwa MTU mwema au mbaya unaweza kuwa MTU mbaya ukafanikiwa the same unaweza kuwa MTU mzuri ukafanikiwa.

Ila Alama au legacy itakusoma zaidi ukiwa mtu mwema kwakuwa success is not personal and life the same .

Kuwa MTU mwema ni jambo zuri Sana
Ukiona mtu mbaya anafanikiwa anatembelea karma ya wazazi wake angalia uzao wake ....wema unalipa kuliko ubaya
 
Ukiwa MTU mwema au nice guy au positive person, unakuwa unafanya maisha yalete ladha kwako na kwa familia yako na kizazi chako.

Mafanikio ya hapa duniani hayana uhusiano wowote na kuwa MTU mwema au mbaya unaweza kuwa MTU mbaya ukafanikiwa the same unaweza kuwa MTU mzuri ukafanikiwa.

Ila Alama au legacy itakusoma zaidi ukiwa mtu mwema kwakuwa success is not personal and life the same .

Kuwa MTU mwema ni jambo zuri Sana
TUNAWEZA KUFANYA MAMBO MAKUBWA,LAKINI PIA TUNAWEZA KUFANYA MAMBO MADOGO KWA UPENDO MKUBWA
 
Usifanye mambo mema kwa kila mtu hata pale unapoumizwa ili tu kuwaridhisha - watu watakutumia vibaya.

Fanya mambo sahihi yanayotakiwa kufanyika bila unafiki.
 
Back
Top Bottom