Je, kutumia trilioni 7 kujenga reli ni kipaumbele sahihi?

Yes ya TAZARA ni pana na ina kasi
d9be29632720a0bb13f69c07ca944e8d.jpg
Kama vipi wabadili injini iwe ya umeme na kuboresha madaraja

Of coz but inategemeana kama ilikuwa na hiyo provision ya kuuprade to electric kwenye design take ya awali
 
Mkuu

Mkuu mengi yameelezwa na wengine huko juu
mi nieleze kwa uelewa wangu tuuu
1. Hii itasababisha kuokoa uharibifu wa Barabara zetu za lami kwa malori
2.wakazi wa Shinyanga,Tabora tumehangaika sana usafiri those days acha tuu ije
3.Mizgo Mkuu na fedha itakayopatikana itakuwa nyingi coz itachukua mizigo pia ya nchi jirani Rwanda,congo Uganda,Burundi hivyo kuchangia pato la Taifa nakuboresha mahitaji ya jamii
Pamoja na hiyo SGR Tanzania tangu mwaka 1975 tunayo standard gauge Railway ambayo tulijengewa na MCHINA hii ni reli ya TAZARA lakini sijui imekuaje matumizi yake yameshuka sana kama tujuavyo TANZAM road hii ina malori mengi je tumejitahidi kiasi gani kuyaondoa hayo malori 500 barabarani. TAZARA imeunga bandari ya DAR hadi New Kapiri Mposhi kuhudumia mizigo ya DRC, Zambia hadi Zimbabwe pia Mizigo ya Malawi hadi Depot ipo Pale Mbeya Iyunga (Malawi Cargo) kwa ajiri ya mizigo ya Malawi. Je hali yake iko vipi ni aibu kwasasa matumizi ya barabara ni makubwa kuliko reli tafadhali serikali hebu tuingalie hii reli yenye uwezo mkubwa SGR tuiijenga kwa kilometa nyingi sana kwa kukopa huko CHINA 1890km (kurasini hadi Kapiri mposhi Zambia). Nadhani hii tukiitilia mkazo ni mkombozi wa barabara zetu na kukuza uchumi wetu.
 
hapa kipaumbele ni kutufanya kama kule Uhabeshini (Ethiopia) ambako miaka yote wamekazana kujenga miundombinu na kununua ndege mpya lakini maisha ya watu wake yameendelea kuwa dhoofu bin hali.

kuna Wahabeshi wengine tunawaona hadi huku kwetu Kwamtogore utawaonea huruma. sasa sisi hali yetu ikifikia hapa baada ya kukamilisha SGR na bombardier njaa ikitubana sijui tutakimbilia Rwanda sijui?
Njaa ilikuwepo tokea Tanzania iumbwe,watanzania wameanza kuzamia mpk wanatoswa baharini tokea enzi za nyerere wakati ambao hatukuwa na bombardier wala SGR.
 
Pamoja na hiyo SGR Tanzania tangu mwaka 1975 tunayo standard gauge Railway ambayo tulijengewa na MCHINA hii ni reli ya TAZARA lakini sijui imekuaje matumizi yake yameshuka sana kama tujuavyo TANZAM road hii ina malori mengi je tumejitahidi kiasi gani kuyaondoa hayo malori 500 barabarani. TAZARA imeunga bandari ya DAR hadi New Kapiri Mposhi kuhudumia mizigo ya DRC, Zambia hadi Zimbabwe pia Mizigo ya Malawi hadi Depot ipo Pale Mbeya Iyunga (Malawi Cargo) kwa ajiri ya mizigo ya Malawi. Je hali yake iko vipi ni aibu kwasasa matumizi ya barabara ni makubwa kuliko reli tafadhali serikali hebu tuingalie hii reli yenye uwezo mkubwa SGR tuiijenga kwa kilometa nyingi sana kwa kukopa huko CHINA 1890km (kurasini hadi Kapiri mposhi Zambia). Nadhani hii tukiitilia mkazo ni mkombozi wa barabara zetu na kukuza uchumi wetu.
Hatujui kama taifa tunataka mini na tunaenda wapi,hapa ndipo chama kijani kimetufikisha
 
Magari hayi 500 yanatoka wapi kwa njia ya mwanza? 90% ya malori ya muzigo yanapita TANZAM highway,huo mradi ni tembo mweupe na muendelezo wa hasara anbazo kijani wanaendelea kulitia taifa,Zito amewahi hoji rationale ya mradi huu watu wasioelewa wakamtukana
Kweli ni mradi wenye hasara kubwa kama wanavyopata Kenya Ethiopia na nchi zingine za ulaya zenye SGR.
 
Afu naomba ieleweke kuwa TAZARA ni SGR tofauti ni kwamba ni diesel lakini had I sasa hii reli ni tembo mweupe
Tazara sio SGR acha kudanganya watu tazara imejengwa miaka ya 70 standard gauge wakati huo ni teknolojia mpya bado wanapambana nayo ulaya bali ni reli bora kuliko ya kati.
 
Kwa treni sawa inawezarudisha hela haraka na kitu cha kudumu sio sawa na ndege,itasaidia barabara zetu pia
 
Serikali haifanyi biashara inatoa huduma wezeshi.
Uwe unaelewa,aliyekwambia serikali ianzishe ni nani,? Nyie huko sirikalini kwenu pamoja na kuwa na vichwa vyenye vipara na matumbo makubwa akili ni kama ngumi,fine haifanyi biznec vpi hao nssf and the likes mbona wako bize eti kujenga/kufufua viwanda,hao sio parastatal ya serikali.Mtafeli kama enzi za ujamaa.Wekeni mjadala huru ili watu watoe mbinu za jinsi ya kutoka kwenye mkwamo na serikali yenu iwe tayari kutekeleza
 
Mifuko ya kijamii inajitegemea hata serikali hukopa huko. Mijadala huru ya namna gani zaidi ya iliyopo hivi sasa kupitia mitandao media vyama vya siasa na bunge?
 
hapa kipaumbele ni kutufanya kama kule Uhabeshini (Ethiopia) ambako miaka yote wamekazana kujenga miundombinu na kununua ndege mpya lakini maisha ya watu wake yameendelea kuwa dhoofu bin hali.

kuna Wahabeshi wengine tunawaona hadi huku kwetu Kwamtogore utawaonea huruma. sasa sisi hali yetu ikifikia hapa baada ya kukamilisha SGR na bombardier njaa ikitubana sijui tutakimbilia Rwanda sijui?
Acha kudanganya wenzako
 
Pamoja na hiyo SGR Tanzania tangu mwaka 1975 tunayo standard gauge Railway ambayo tulijengewa na MCHINA hii ni reli ya TAZARA lakini sijui imekuaje matumizi yake yameshuka sana kama tujuavyo TANZAM road hii ina malori mengi je tumejitahidi kiasi gani kuyaondoa hayo malori 500 barabarani. TAZARA imeunga bandari ya DAR hadi New Kapiri Mposhi kuhudumia mizigo ya DRC, Zambia hadi Zimbabwe pia Mizigo ya Malawi hadi Depot ipo Pale Mbeya Iyunga (Malawi Cargo) kwa ajiri ya mizigo ya Malawi. Je hali yake iko vipi ni aibu kwasasa matumizi ya barabara ni makubwa kuliko reli tafadhali serikali hebu tuingalie hii reli yenye uwezo mkubwa SGR tuiijenga kwa kilometa nyingi sana kwa kukopa huko CHINA 1890km (kurasini hadi Kapiri mposhi Zambia). Nadhani hii tukiitilia mkazo ni mkombozi wa barabara zetu na kukuza uchumi wetu.
Ndio hiki hasa ninachohoji hapa. Kwamba nini kinapelekea tunashindwa kutumia SGR tuliyonayo sasa kiasi TANZAM inafurika malori, na nini kitabadilika kwamba tutaweza ktumia hii SGR mya ya trillion 7? Ahsante kwa ku-highlight hili
 
Magari hayi 500 yanatoka wapi kwa njia ya mwanza? 90% ya malori ya muzigo yanapita TANZAM highway,huo mradi ni tembo mweupe na muendelezo wa hasara anbazo kijani wanaendelea kulitia taifa,Zito amewahi hoji rationale ya mradi huu watu wasioelewa wakamtukana
Hata mradi wa dart ulipoanza kujengwa mlikosoa sana, kwa hiyo ww subir utaona matunda ya mradi ukikamilika
 
Back
Top Bottom