Hivi karibuni Kiongozi Mkuu alisikika akiwaambia wawekezaji waendelee kujenga viwanda bila kufanya Environmantal Impact Assessment - EIA. Hii ina maana kuanzia sasa miradi mikubwa na midogo itajengwa bila kufanyika kwa EIA.
Je nini itakuwa athari ya maamuzi haya? Je kuna sababu ya NEMC kuendelea kuwepo?[/QUOTE
Hii siyo nchi ni kitu anajua mungu
Utashindana na nani, Denmark, sweden uingereza, usa, canada ,. Akili za Lumumba sijui mkoje!Kwa sasa tunahitaji viwanda kwanza. EIA no badaye huko. Hii no janja ya wazugu baada kuona wao wamesgafanikisha ndiyo wanatulea ushamba huu. Ngoja nasi tujenge kwanza.
jibu ni kwamba anataka kuuwa wananchi lazima hili lipingwe kwa nguvu zoteHivi karibuni Kiongozi Mkuu alisikika akiwaambia wawekezaji waendelee kujenga viwanda bila kufanya Environmantal Impact Assessment - EIA. Hii ina maana kuanzia sasa miradi mikubwa na midogo itajengwa bila kufanyika kwa EIA.
Je nini itakuwa athari ya maamuzi haya? Je kuna sababu ya NEMC kuendelea kuwepo?
weka clip tuweze kuchangia kwa ufasahaHivi karibuni Kiongozi Mkuu alisikika akiwaambia wawekezaji waendelee kujenga viwanda bila kufanya Environmantal Impact Assessment - EIA. Hii ina maana kuanzia sasa miradi mikubwa na midogo itajengwa bila kufanyika kwa EIA.
Je nini itakuwa athari ya maamuzi haya? Je kuna sababu ya NEMC kuendelea kuwepo?