Je kupiga marufuku kufanyika kwa EIA ni sahihi?

Ileje

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,759
12,175
Hivi karibuni Kiongozi Mkuu alisikika akiwaambia wawekezaji waendelee kujenga viwanda bila kufanya Environmantal Impact Assessment - EIA. Hii ina maana kuanzia sasa miradi mikubwa na midogo itajengwa bila kufanyika kwa EIA.

Je nini itakuwa athari ya maamuzi haya? Je kuna sababu ya NEMC kuendelea kuwepo?
 
Je nini itakuwa athari ya maamuzi haya? Je kuna sababu ya NEMC kuendelea kuwepo?[/QUOTE
Hii siyo nchi ni kitu anajua mungu
 
Kwa sasa tunahitaji viwanda kwanza. EIA no badaye huko. Hii ni janja ya wazugu baada kuona wao wameshafanikisha ndiyo wanatulea ushamba huu. Ngoja nasi tujenge kwanza.
 
Kwa sasa tunahitaji viwanda kwanza. EIA no badaye huko. Hii no janja ya wazugu baada kuona wao wamesgafanikisha ndiyo wanatulea ushamba huu. Ngoja nasi tujenge kwanza.
Utashindana na nani, Denmark, sweden uingereza, usa, canada ,. Akili za Lumumba sijui mkoje!
 
Hapo Raisi amekosea naona angeivunja menejimenti husika kwani inawezekana hawawajibiki kwasababu ya rushwa,uzembe,kufanyakazi kwa mazoea nk
 
Kwa sasa tunahitaji viwanda kwanza. EIA no badaye huko. Hii no janja ya wazugu baada kuona wao wamesgafanikisha ndiyo wanatulea ushamba huu. Ngoja nasi tujenge kwanza.
Kwa hiyo msipofanya EIA mtawafikia?
 
Tunahitaji viwanda kwanza ....hawa wana mazingira wanarudisha nyuma watu wengi wenye nia ya kuanzisha project zao.... hili lililetwa na wazungu ili tusiwafikie wao kabla ya kufika walipo sasa hivi walipita tunakotaka kupita sisi sasa hivi kama nchi....wasitukwamishe kwa mlango wa nyuma maana wataalam wetu wa copy and paste wanameza tuu kila mzungu anachiwashauri.
 
Hivi karibuni Kiongozi Mkuu alisikika akiwaambia wawekezaji waendelee kujenga viwanda bila kufanya Environmantal Impact Assessment - EIA. Hii ina maana kuanzia sasa miradi mikubwa na midogo itajengwa bila kufanyika kwa EIA.

Je nini itakuwa athari ya maamuzi haya? Je kuna sababu ya NEMC kuendelea kuwepo?
jibu ni kwamba anataka kuuwa wananchi lazima hili lipingwe kwa nguvu zote
 
Bila EIA hakuna kiwanda.

Tukienda na upepo wa Magufuli, waathirika wakubwa wa kukwepa EIA watakuwa hao wananchi anaodai kuwapigania.

Sumu za migodini kule North Mara iwe fundisho kwetu. Nani6alipata hasara? Wananchi wanaozunguka maeneo yale. Hivi mchina umruhusu ajenge kiwanda bila EIA kwa kuwa serikali inapata kodi zake, madhara yake hayasemeki
 
Hivi karibuni Kiongozi Mkuu alisikika akiwaambia wawekezaji waendelee kujenga viwanda bila kufanya Environmantal Impact Assessment - EIA. Hii ina maana kuanzia sasa miradi mikubwa na midogo itajengwa bila kufanyika kwa EIA.

Je nini itakuwa athari ya maamuzi haya? Je kuna sababu ya NEMC kuendelea kuwepo?
weka clip tuweze kuchangia kwa ufasaha
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom