Je, kupeana talaka ni hekima? Wanaotalakiana huangalia matokeo yake?

mtimawachi

JF-Expert Member
Apr 1, 2020
1,775
2,507
Talaka sio jambo zuri hivyo si hekima,lakini ikibidi ni bora talaka kuliko kukosa amani ya moyo.
 
kolola

JF-Expert Member
Apr 26, 2020
6,274
7,805
Ndo hapo sasa.🥴🥴

Mwishowe watoto wanaishia kuwa miserable as much as the parents 😐
Acha kuwa easygoing! mzabzab amesahau kuwa hao watoto hawakujileta bali nyie wawili kwa raha zenu mliwaleta. Huwezi kuwatenga na nyie siyo watu wengine bali ni nyie. Lazima wapewe kipaumbele kabla ya kujifikiria nyie. Ni muhali kuvumilia ndoa ya MATESO for the sake of children la sivyo ulikuwa hujawa tayari kuleta kiumbe duniani, ulifosi maana ulikuwa hujakomaa
 
Fereke

Senior Member
Apr 13, 2011
196
616
Salaam great thinkers

Talaka zimekuwa gumzo/talk of town.

Kwa mtazamo wako, unahisi nini kinapelekea, watu waliopendana, wakaoana kwa hiari/utashi wao bila shuruti, wakaishi na kupata watoto, wanaamua kuachana kila mtu ashike hamsini zake?.

Sitaki kuhukumu, naamini kila mtu ana sababu muhimu inayomfanya afanye maamuzi ya kuachana.

Je unafikiri maamuzi haya yana hekima? Je kabla ya kuachana huwa tunaangalia matokeo ya kuachana kwetu? Hao watoto tunaweka kwenye hali gani? Familia hizi mbili zilizokuwa connected na wanandoa tunaziweka katika hali gani?

Nawasilisha.
Talaka ni matokeo ya Extreme selfishness.mgongoni mwa wanandoa..mmojawapo au wote.Always thinking of yourself.huna zaidi ya kinachokutawala zaidi ya mimi..mimi..mimi mimi..since day one ya mahusiano yenu.
 
Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
7,455
12,052

Baba kila kitu kinaisha. Yaani kila kitu kina mwisho, including mapenzi. Ukiona watu wametalikiana ujue mapenzi yao yamefika mwisho.
 
Caroline Danzi

JF-Expert Member
Dec 19, 2008
3,711
1,250
Talaka ni matokeo ya Extreme selfishness.mgongoni mwa wanandoa..mmojawapo au wote.Always thinking of yourself.huna zaidi ya kinachokutawala zaidi ya mimi..mimi..mimi mimi..since day one ya mahusiano yenu.
Kweli mkuu umenena. Ubinafsi umetutawala Sana

Watoto wenaingia kwenye migogoro ya wajinga wawili.
 
mzabzab

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
27,372
41,192
Acha kuwa easygoing! mzabzab amesahau kuwa hao watoto hawakujileta bali nyie wawili kwa raha zenu mliwaleta. Huwezi kuwatenga na nyie siyo watu wengine bali ni nyie. Lazima wapewe kipaumbele kabla ya kujifikiria nyie. Ni muhali kuvumilia ndoa ya MATESO for the sake of children la sivyo ulikuwa hujawa tayari kuleta kiumbe duniani, ulifosi maana ulikuwa hujakomaa

Acha kuwa easygoing! mzabzab amesahau kuwa hao watoto hawakujileta bali nyie wawili kwa raha zenu mliwaleta. Huwezi kuwatenga na nyie siyo watu wengine bali ni nyie. Lazima wapewe kipaumbele kabla ya kujifikiria nyie. Ni muhali kuvumilia ndoa ya MATESO for the sake of children la sivyo ulikuwa hujawa tayari kuleta kiumbe duniani, ulifosi maana ulikuwa hujakomaa
Kweli usemayo. Kuwa na mtoto ni huge responsibility na ni jambo ambalo wengi hatulichukulii kwa uzito wake.

That said haimaanishi pale ambapo hamana maelewabo baina ya nyie wawili basi mlazimishe kuishi pamoja tuu kisa watoto....watoto wanaweza kuendelea kuwa kipaumbele chenu huku kila mtu akiwa anaishi kivyake. Iweje nijue mke wangu mbususu yake inagegedwa alafu mie niendelee kukaa nae? Hamna trust tena hapo u will always question anachokwambia sasa maisha gani tema hayo.
 
Kama yupo responsible kwa watoto wenu hawezi kuigawa K maana anajua mtaachana na madhira yatakuwa kwa viumbe mlivyovileta kwa starehe zenu wala havikuwatuma mvilete duniani. Kwanza ukiona mama anatembea nje jua kuwa huyo hata hawatakii mema watoto wake maana mama kama mlezi huwa watoto wanaharibika akianza kuonekana na michepuko. Mwanaume unaweza usirudi nyumbani ukaja asubuhi na familia ikawa bado ipo intact ila mke wako akirudi saa 6 usiku, hiyo familia inaondoka. Kwa hiyo kidendo cha kuitoa kwa mtu hiyo K iliyotumika kuleta hivyo viumbe vya mungu ni ishara kuwa hafai.
 
Wapo wamama wapo responsible kwa watoto zao na bado mbususu wanatoa nje huko.
As a matter of fact ni ujinga mwanaume kujiaminisha kwamba mbususu ni yako weye peke to begin with. Suala ni kwamba kama ataweza ficha nisijue sawa ..which i also bliv ni impossible maana kuna patterns zitabadilika tuu.

All in all tusichukulie poa suala la kiwa na watoto na ndoa. Kiujumla kila taasisi na kanunu zake. Ndoa was meant for watu wawili ambao wanaoana waki bikra hiyo ndio namba one condition.
 
Mwanamke akianza kuigawa utagundua tu maana wenzetu hawawezi chezea timu mbili. Atabdilika kama ulivyosema. Hata malezi ya watoto hasa wa Kike yatabadilika na kama alikuwa mkali atabadilika ili kuficha madhambi yake. Tushayaona yalitupitia
 
Watu8

Platinum Member
Feb 19, 2010
63,733
72,993
Natamani kujua, huu upendo unanyaukaje? Imagine, mmetongozana miaka 5, mmeona miaka mitatu mnaachana, inaleta picha gani? Kwamba miaka yote mitano mlikuwa mnavunga usakara??? Au kuna kitu kilikufanya umpende mwanamke/mwanaume, baada ya kuoa au kuolewa hukioni tena? Na kama hukioni kwa nini usilize kimeenda wapi ili akirudishe?
1. Kimsingi, kiasili upendo huwa haupaswi kunyauka kwa sababu si kitu kinachotakiwa kubadilika. Maana yake ni kuwa upendo huwa hauna sababu, hauna vigezo, ukisema au amua kuwa umempenda mtu au kitu, there should be nothing to alter that.

Wanazuoni wengi wa mambo yanayohusiana na Upendo, huwa wanasema kama mtu utaingia kwenye mahusiano na watu wengi katika maisha yako, basi yule mtu wako wa mwisho kabisa kuwa naye ataishia kupata just a certain portion ya moyo wako. Maana yake ni kuwa, wale waliopita bado wana sehemu katika moyo wako

Ukitazama katika post yangu ya juu, neno upendo nililiwekea fungua/funga semi ili nieleweke kiurahisi na maana halisi ilikuwa nimaanishe mahusiano ya kimapenzi ambayo ndio wengi wetu huita Upendo/Mapenzi huweza kustawi na kunyauka.

Kuna post moja ya mahusiano niliwahi andika hapa JF kuwa , "Watu uhusiana pale tu kila mmoja anapofaidika toka kwa mwingine, hustawi faida zinapoendelea kuwa endelevu na hunyauka hasara zinapozidi faida."

Hivyo, ukiona watu wameachana, basi tambua kuwa watu hao hawaoni tena faida juu ya wanachohusiana

Duniani kuna aina mbili tu za upendo wa kweli

1. Mungu kwa watu wake
2. Mzazi kwa mtoto wake
 
stephot

JF-Expert Member
Mar 1, 2012
14,318
18,903
Salaam great thinkers

Talaka zimekuwa gumzo/talk of town.

Kwa mtazamo wako, unahisi nini kinapelekea, watu waliopendana, wakaoana kwa hiari/utashi wao bila shuruti, wakaishi na kupata watoto, wanaamua kuachana kila mtu ashike hamsini zake?.

Sitaki kuhukumu, naamini kila mtu ana sababu muhimu inayomfanya afanye maamuzi ya kuachana.

Je unafikiri maamuzi haya yana hekima? Je kabla ya kuachana huwa tunaangalia matokeo ya kuachana kwetu? Hao watoto tunaweka kwenye hali gani? Familia hizi mbili zilizokuwa connected na wanandoa tunaziweka katika hali gani?

Nawasilisha.
Wengi huwa wanakuwa na mtazamo hafifu sana wa madhara yatakayotokea baada ya kuachana,ila inapotokea mmesha achana ndio wanakuja kugundua kuna zaidi ya walichokuwa wanajua...
 
Wilson Gamba

JF-Expert Member
Mar 1, 2013
662
455
Kuna siku nikiwa chuoni mwaka wa tatu,rafiki yangu alifika mapema kazini ambapo tulikuwa tunafanya kazi ya parttime akanambia wana shida na mke wake muda mrefu na shida kubwa ni kuwa jamaa akimwambia mke aame ili aje afanyie kazi nyumbani anakataa kabisa na mbaya zaidi anamwambia mwanaume kuwa kama anataka mali afate kwao baba yake ampe.Jiulize apo sasa unafanya nini kama mwanaume na mbaya zaidi ni ndoa ya kanisani ambapo ni mtego mkubwa na mateso sana,cha msingi ni hekima katika maisha haya apa duniani.
 
2 Reactions
Reply
Top Bottom