Wakuu, tupeane uzoefu kwa walio wahi kuwa kwenye mahusiano ya muda mrefu na wanawake waliosoma sheria
Mapungufu yao yapo wapi🤔
Je mwanamke akipata kazi hawezi kunisaliti na kutaka wenye elimu zaidi phds na maboss?
Vipi kuhusu ujuaji ndani ya family?
Vipi ikitokea nimetumia mabavu na ukali ndani? Hatotumia kama fimbo (NB sijawahi piga mwanamke Ila Nina tabia ya kufoka foka)?
Tupeane experience ninaye mchumba Ila ndo kwanza kamaliza Chuo she is 22?