je kunamadhara ya kujamiana na mtu mwenye mimba

shida kubwa sana....unajua mtoto anageukageuka sana katika stage hiyo.......ukijaribu tu unaweza kumdunga kichwa akawa taahira......au ukamdunga rasa ikawa tabu zaidi baadae........

Dr Preta........
 
acha kabisa kuna sehemu ukimgusa tu basi,yaaan ankuwa anajisikia kussafiri safiri tu muda wote,sehemu ya kuwasiliana kwa mtandao atatamani aende tu,akiona gari atatamani kupanda,ndege ndo usiseme,acha kabisa hlo ni tatizo usijetuletea mbegu za laana hapa Tanzania
 
acha kabisa kuna sehemu ukimgusa tu basi,yaaan ankuwa anajisikia kussafiri safiri tu muda wote,sehemu ya kuwasiliana kwa mtandao atatamani aende tu,akiona gari atatamani kupanda,ndege ndo usiseme,acha kabisa hlo ni tatizo usijetuletea mbegu za laana hapa Tanzania
 
shida kubwa sana....unajua mtoto anageukageuka sana katika stage hiyo.......ukijaribu tu unaweza kumdunga kichwa akawa taahira...... au ukamdunga rasa ikawa tabu zaidi baadae........

Dr preta........
teh!teh!teh!
 
Wakati mwingine kwa baadhi ya wanawake, pembeni ya K*ma kipindi hicho huwa kuna fungus ambao humfanya mke ajisikie kukunwa mara kwa mara.

Kujamii ana kipindi hicho hakuna madhara iwapo umechagua style ambayo haitampa mke maumivu na kuleta madhara kwa mtoto. Mimi huwa najamii ana na mke wangu hata siku moja kabla ya kujifungua. Wakati mwingine uchafu ulikutwa kichwani kwa mtoto ambaye haikumwathiri maana kimasomo, he does well!

Mpe mwenzako maana hiyo kwake ni tiba.
 
We!we!we! acha hiyo makitu !ina athari kubwa ,so addictive tena tamu! kila siku utataka wife akujie kimimba mimba!wacha ndugu tena huo mwezi ndo balaa huachii mpaka siku ya kuzaa!
 
Mhmm huyo mwanamke nae balaa,me kipindi nina mimba nilijali zaidi kiumbe kilichopo tumboni na si mengineyo,aache mapepe huyo mama mwenye mimba
 
Back
Top Bottom