Je, kuna uwezekano Tanzania kupata Rais asiye mtanzania?

Watanzania tuwe makini UHAMIAJI HARAMU unaanza kulitafuna taifa

Tusipokuwa makini tutaongozwa Na muhamiaji haramu,

Tunaelewa Tanzania imekuwa kimbilio la wakimbizi wa nchi jirani ,Rwanda, Burundi, Congo Uganda, hata wengine wanajipenyeza toka somalia kwa miaka mbali mbali,

Taratibu za kuratibu wahamiaji hao kurudi kwao imekuwa si mzuri, imefika hatua mpaka wengine wameanza kujipenyeza katika ngazi za juu za uongozi , Na wengine mpaka kwenye vyombo vya dola, navyoongea hapa kuna watanzania kibao wamekosa huduma mbali mbali lakin wahamiaji wana zipata huduma hizo AMA kwa kuhonga au kwa bahati wakati watanzania halisi wanabaki bila kupata huduma hizo

Tukianza Na jeshi la magereza nchini limejaa watu amabao origin yao si watanzania mifano IPO, nenda Ukonga au segerea au magereza mengine fanya utafiti, utaona Askari magereza wengi si wenye asili ya Tanzania,

Ukienda kwa mwingine amewahi kua mpaka waziri wa elimu, BWANA JOSEPH MUNGAI SI MTANZANIA HALISI alikuja miaka kadhaa iliyopita Na kawafanyia mipango ndugu Zake wawili nao wapate vibali vya kuwa nchini kinyume Na Sheria,

Kuna hadi wabunge wengine wapo,

Hii isipo angaliwa kwa kina IPO siku tutamkabidhi nchi Rais asiye mtanzania halisi,

Sisemi wageni wabaguliwe, Ila wawe treated kama wageni wanavyokuwa treated nchi nyinginezo,
Wasimiliki ardhi,
Kuanzisha biashara washirikiane Na wazawa,
Wasigombee nafasi za juu za uongozi,
Katika jeshi letu uko huwa hapaongelewi Ila kwa wanaoolewa wanajua kinachoendelea,

SAMAHAN NAOMBA KUJUA URAIA WA HUSSEIN BASHE,

Ni haki yangu kikatiba kuujua uraia wa raia mwenzangu,
Nimewahi kujiridhisha juu ya uaria wa mheshimiwa abdulahman kinana, baada ya watu kusema ni MTU kutoka somalia, kisimayu, lakin baada ya kufanya uchunguzi wa kina nikagundua ni mtanzania,

Samahan kaka Husein mi naomba kujua uraia wako,

Nimetumia jukwaa ili siyo kukushambulia Ila kwa sababu mbili
1. Kwa aina ya siasa unazofanya umechukua nafasi ya akina John mnyika Na vijana wengine welevu sasa nakuona kijana Safi sana ninayemuamini Na kukuelewa kisiasa Kabla ya kukufikilia nafasi za juu kama urais hapo baadae ni vema nijiridhishe kwanza kwa uraia wako,

2.Kufuta minongono inayoendelea kuwa we si mtanzania, naamini we ni mwelewa , bila minongono hiyo nisingeweka Uzi huu hapa,

Kupitia Jukwaa ili ntaomba kujua origin ya wazazi wako,
Mahali umekulia, Na jinsi gani unatuaminisha kuwa we mtanzania,

Majibu yako makini yatasababisha kuaminika zaidi,

We si wa kwanza kuulizwa, maswali magumu
1. Mwigulu Nchemba aliulizwa elimu yake kajibu
2. Mheshimiwa mbowe naye pia ameeleza masuala mbali mbali juu yake,
Ikiwemo kupokea bilion 10 kumruhusu lowassa kugombea,

Ni maoni yangu

By samuel
Kabla hujaanza kuleta hili Jungu la nia ya kumlenga mtu flani, nipe exactly definition ya mtanzania na asie mtanzania, tuanzie hapo!
 
Back
Top Bottom