Je, kuna uwezekano Tanzania kupata Rais asiye mtanzania?

Samweli Mathayo

JF-Expert Member
Aug 1, 2017
1,569
2,000
Una uhakika na hi statement mkuu? Mama yake Joseph Mungai ni ni Sekalinga, mama mmoja wa Kihehe na nina wafahamu wanae 2, mmoja ndio huyo unae sema anaitwa Joseph na kuna mwingine alikua akiitwa Josephat na wote ni wazaliwa wa wilayani Mufindi. Huyu Joseph (aliye wahi kua waziri wa wizara mbalimbali nchini) moja kati ya walimu wake alikua akiitwa Mzee Bangu (RIP) baba wa Profesa Bangu yule alikuaga mkuu wa Chuo kikuu cha Tumaini Iringa.
Nenda kafanye tena home yako vizuri badala ya kuandika vitu vya kuhisi.

Acha kutetea UJINGA,kwann sikumuandika mbowe, kwanini sikumuandika muhongo, kwanini sikumuandika mahiga, Nina maana yangu, Kabla hujamtetea MTU kwanza jiridhishe
 
Mzalendo2015

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
6,663
2,000
Acha kutetea UJINGA,kwann sikumuandika mbowe, kwanini sikumuandika muhongo, kwanini sikumuandika mahiga, Nina maana yangu, Kabla hujamtetea MTU kwanza jiridhishe

Samwel mathayo,

Not sure kama hili ni jina lako la asili hivo na wewe yawezekana ni mhamiaji kama hao unaofikiria siyo Raia wa nchi! Ungelikuwa umejitambulisha kwa jina la Magufuli Mapombe ba Magufuli getegete tungelijua watokea wapi!! Hussein Bashe anaongea kinyamwezi kama hana akili nzuri, nashangaa unapohoji uraia wake. Kuna upuuzi umezuka nchi hasa CCM wanapoona mtu anakuwa ni threat kwao hasa kwa issue za kisiasa wanamzushia kesi ya URAIA. This is real nonsense!! Umesema una maana yako ni ipi katika hili? Let me tell you one thing my bro.Tanzania imekuwa ni kimbilio la wahamiaji na wakimbizi toka nchi mbalimbali za jirani na zisizo jirani. Mwalimu JK Nyerere(RIP) Baba wa Taifa hili alikuwa ni mtu mwema,mwenye upendo wa kweli na alipenda kusaidia watu wote bila kujali rangi, kabila wala Taifa lake.Huu ujinga wa ukabila na uraia tumeanza miaka hii baada ya Baba wa Taifa kuondoka!!

Ndiyo maana baada ya Tanganyika kupata Uhuru Mwalimu akasema,''Uhuru wa Tanganyika hauna maana kama nchi zingine za Afrika hazijawa huru''. Hili lilikuwa ni tamko la dahti toka moyoni kwa mzee huyu na ndiyo maan aliamua kuanzisha HARAKATI ZA UKOMBOZI na mapambano dhidi ya Ubaguzi na Ukoloni katika nchi zote za Kiafrika zilizokuwa zikitawaliwa na Waingereza, Wafransa, Wareno na Makaburu wa SA.
Mwalimu aliamua kuifanya Tanzania kuwa Hub ya harakati hizo na ndo maana kulikuwa na kambi maalumu za kutoa mafunzo kwa wapigania uhuru wa nchi husika bila kusahau kambi za Wakimbizi toka nchi hizohizo na zingine. Wakimbizi hawa ndo walikuja wakawa na mwingiliano na mahsiano ya kijamii ikiwemo kuoa na kuoleana toka wakimbizi hao na hivo kutenegeza jamii ya Kitanzania yenye mchanganyiko wa Raia wa nchi mbalimbali. Hivo siyo ahjabu kukuta mkenya kama huyo Mungai kuhamia Tanzania akikimbia vita vya MAUMAU na kuja kukaa Mufindi sehemu ambayo inafanana kwa hali ya hewa na sehemu ya Kenya anakotoka na alipona mwanamke wa Kihehe mzuri alioa na kuanzisha another generation ya Kitanzania yenye mchanganyiko maalumu. Nenda Mazimbu Morogoro utakuta Watanzania kibao ambao wana asili ya Kiafrika kusini. Baba zao au mama zao walikuwa wakimbizi kwenye kambi hizo waioleana na Watanzania na kuwa na kina Sithulu au kina Madiba Watanzania na wapo mpaka kesho. Lakini wanaseoma shule na vyuo vya Tanzania na wanapata ajira kwenye Serikali hii hii ya Tanzania! Je, kwa akili yako ulitaka wafukuzwe??

Lakini pia bado kuna swala la mipaka. Tanzania imepakana na nchi kama 8.Upande wa Kaskazini kuna Kenya na Uganda.Magharibi tuna DRC Kongo, Rwanda na Burundi na kusini tuna Zambia na Malawi na Msumbiji. Utakuta kuna Wajaluo, Wamasai na Wakurya wa Kenya na Uganda. Utakutaka kuna Waha/Warundi/Wanyarawanda, Wakongomani wa Tanzania na nchi tunazopakana nazo. Kuna Wabemba wa Tanzania na Zambia na kuna Makabila ya mpakani mwa Malawi na Tanzania na pia Makonde wa Nchumbiji na Makonde wa Tanzania na wanamwingiliano wa kijamii. Utakuta kwamba mjomba yuko ngambo ya pili ya mpaka na shangazi yuko ngambo ya pili ya mpala na maisha yanakwenda. Kijana wa ngambo ile anawez akusoma shule za ngambo hii mpaka elimu ya Chuo Kikuu na akaajiliwa kwa ngambo ile ingine lakini ni raia wa ngambo ile!!! Je, huyu kijana akifanya kazi vizuri na watu wakaipenda kazi yake unaikri atashindwa kuwa Rais wa ngambo ile ingine!!

Hata Rais wako JPM ukiambiwa uthibitishe kama ni Mtanzania kweli wa ngambo hii utashindwa!!. Yawezekena kabisa yeye ni wa ngambo ya kina Kurunzinza, Kagame au Museveni au Kabila wa DRC Kongo. Who knows? Vinginevyo tuweke sheria ya kupima Vinasaba(DNA) kwa mtu kabla hajagombea Udiwani,Ubunge au Urahisi mpaka tujue nasaba yake ni nchi gani? Si ajabu pia hata kina Uhuru Kenyata, Raila Omolo Odinga ni jaluo aliyehamia ngambo ile na kina Marhemu Joseph Ole Nkaissery, William Ole Saitoti na William Ole Ntimama ni Watanzania wa Kimasai waliohamia ile ngambo nyingine!!!!
 
Samweli Mathayo

JF-Expert Member
Aug 1, 2017
1,569
2,000
Samwel mathayo,
Not sure kama hili ni jina lako la asili hivo na wewe yawezekana ni mhamiaji kama hao unaofikiria siyo Raia wa nchi hii na umetoa mfano wa Hussein Bashe. Umesema una maana yako ni ipi? Let me tell you one thing.Tanzania imekuwa ni kimbilio la wahamiaji na wakimbizi toka nchi mbalimbali za jirani na zisizo jirani. Mwalimu JK Nyerere(RIP) Baba wa Taifa hili alikuwa ni mtu mwenye upendo wa kweli na alipenda kusaidia watu wetu bila kujalrangi, kabila au Taifa.

Ndiyo maana baada ya Tanganyika kupata Uhuru akasema,''Uhuru wa Tanganyika hauna maana kama nchi zingine za Afrika hazijawa huru''. Hili lilikuwa ni tamko la dahti toka moyoni kwa mzee huyu na ndiyo maan aliamua kuanzisha HARAKATI ZA UKOMBOZI na mapambano dhidi ya Ubaguzi na Ukoloni katika nchi zote za Kiafrika zilizokuwa zikitawaliwa na Waingereza, Wafransa, Wareno na Makaburu wa SA.
Mwalimu aliamua kuifanya Tanzania kuwa Hub ya harakati hizo na ndo maana kulikuwa na kambi maalumu za kutoa mafunzo kwa wapigania uhuru wa nchi husika bila kusahau kambi za Wakimbizi toka nchi hizohizo na zingine. Wakimbizi hawa ndo walikuja wakawa na mwingiliano na mahsiano ya kijamii ikiwemo kuoa na kuoleana toka wakimbizi hao na hivo kutenegeza jamii ya Kitanzania yenye mchanganyiko wa Raia wa nchi mbalimbali. Hivo siyo ahjabu kukuta mkenya kama huyo Mungai kuhamia Tanzania akikimbia vita vya MAUMAU na kuja kukaa Mufindi sehemu ambayo inafanana kwa hali ya hewa na sehemu ya Kenya anakotoka na alipona mwanamke wa Kihehe mzuri alioa na kuanzisha another generation ya Kitanzania yenye mchanganyiko maalumu. Nenda Mazimbu Morogoro utakuta Watanzania kibao ambao wana asili ya Kiafrika kusini. Baba zao au mama zao walikuwa wakimbizi kwenye kambi hizo waioleana na Watanzania na kuwa na kina Sithulu au kina Madiba Watanzania na wapo mpaka kesho. Lakini wanaseoma shule na vyuo vya Tanzania na wanapata ajira kwenye Serikali hii hii ya Tanzania! Je, kwa akili yako ulitaka wafukuzwe??

Lakini pia bado kuna swala la mipaka. Tanzania imepakana na nchi kama 8.Upande wa Kaskazini kuna Kenya na Uganda.Magharibi tuna DRC Kongo, Rwanda na Burundi na kusini tuna Zambia na Malawi na Msumbiji. Utakuta kuna Wajaluo, Wamasai na Wakurya wa Kenya na Uganda. Utakutaka kuna Waha/Warundi/Wanyarawanda, Wakongomani wa Tanzania na nchi tunazopakana nazo. Kuna Wabemba wa Tanzania na Zambia na kuna Makabila ya mpakani mwa Malawi na Tanzania na pia Makonde wa Nchumbiji na Makonde wa Tanzania na wanamwingiliano wa kijamii. Utakuta kwamba mjomba yuko ngambo ya pili ya mpaka na shangazi yuko ngambo ya pili ya mpala na maisha yanakwenda. Kijana wa ngambo ile anawez akusoma shule za ngambo hii mpaka elimu ya Chuo Kikuu na akaajiliwa kwa ngambo ile ingine lakini ni raia wa ngambo ile!!! Je, huyu kijana akifanya kazi vizuri na watu wakaipenda kazi yake unaikri atashindwa kuwa Rais wa ngambo ile ingine!!

Hata Rais wako ukiulizwa uthibitishe kama ni Mtanzania kweli wa ngambo hii utashindwa. Yawezekena kabisa yeye ni wa ngamo ya kina Kurunzinza, Kagame au Museveni au Kabila. Who knows? Vinginevyo tuweke sheria ya kupima Vinasaba(DNA) kwa mtu kabla hajagombea Udiwani,Ubunge au Urahisi mpaka tujue nasaba yake ni nchi gani? Si ajabu pia hata kina Uhuru Kenyata, Raila Omolo Odinga ni jaluo aliyehamia ngambo ile na kina Marhemu Joseph Ole Nkaissery, William Ole Saitoti na William Ole Ntimama ni Watanzania wa Kimasai waliohamia ile ngambo nyingine!!!!
Je we kama mtanzania halisi ukienda Rwanda au Burundi unapata haki sawa na wao?
 
Mzalendo2015

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
6,663
2,000
Je we kama mtanzania halisi ukienda Rwanda au Burundi unapata haki sawa na wao?

Hujaelewa somo bro. Wewe unakwenda huko kama nani? Je, ni kutafuta uraia wa kule, kufanya kazi au biashara?
Je, wewe unakaa mpakani mwa Rwanda na Burundi na pengine umeoa Mnyarwanda au Mrundi wa ngambo hiyo?Kuna Watanzania nina hakika wako Rwanda wanachapa kazi huko lakini asili yao ni wazaliwa wa Tanzania.
Nenda Mombasa ukaone mwingiliano uliopo kati ya Wadigo, Wasegeju na Wanduruma wa pande hizo mbili. Wakti wa sherehe za Kiisalamu za Maulid watu wanahamia Tanga au Mombasa!! Hata Wabondei na Wasambaa wapo wanaishi huko Mambasa na wana Uraia wa Kenya! Wengine wameajiriwa na wanafanya kazi kule. Wakti mwingine utakuta kuna Harusi zinafanyika Bwana Harusi ni wa ngambo ya Kenya na Bibi Harusi ni wa ngambo ya Tanzo. Tatizo liko wapi??
 
Camp 05

JF-Expert Member
Apr 27, 2013
1,317

Tatizo ni kunyanyaswa na Kigogo ambae sii mnyakyusa wala msafwa,inauma sana!
 
Mazindu Msambule

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
7,089
2,000
Acha kutetea UJINGA,kwann sikumuandika mbowe, kwanini sikumuandika muhongo, kwanini sikumuandika mahiga, Nina maana yangu, Kabla hujamtetea MTU kwanza jiridhishe
Huna sababu yoyote ya kunnita mjinga. Mungai namfahamu vizuri sana, hata mama yake nilikua namfahamu. Najua Mungai alipokulia na this is why nimekutajia moja kati ya walimu wake wa sekondari hapo juu. Najua baba yake alikua Mkenya na alikuja kufanya kazi kwenye mashamba ya Chai Mufindi yakimilikiwa na kampuni ya Brook Bond Enzi hizo za mkoloni. Wewe unataka kudanganya watu eti kwamba Mungai alikuja Tanzania (Joseph Mungai) akiwa kijana/mtu mzima, hapo ndio nilipojengea HOJA kwamba unadanganya watu. Hoja yako ni nzuri but unadanganya watu kwa kua baadhi ya watu na historia zao huzijui. Kwa mujibu wa utaratibu tuliojiwekea wote waliokuwepo Tanzania kabla ya Uhuru hao ni Watanganyika and hence wanakua Watanzania automatic, halihitaji shule kubwa hilo kulielewa mkuu.
 
Said Stuard Shily

JF-Expert Member
Jul 18, 2017
1,861
2,000
Kumekuwa na dhana ya kwamba watu kutoka kanda ya magharibi sio raia wa Tanzania.
Hali hii kuna wakati inapelekea ubaguzi wa hali ya juu kwa watu wanaotoka maeneo husika ntataja yafuatayo:
1. Kuweka checkpoint kambi ya Kanembwa JKT miaka ya 2008 ambapo ulikua huwezi kuingia au kutoka mkoa wa kigoma bila kuwa na kitambulisho. Kama huna kitambulisho ungelazimishwa kuimba wimbo wa taifa hadi nyimbo za akina diamond under pressure na udhalilishaji mwingi
2. Operation Kimbunga hii iligusa mkoa wa Geita, Kigoma na Kagera. Ilisababishwa na chuki binafsi kati ya kikwete na Kagame.
3. Usumbufu wanaoupata watu wa kanda ya magharibi na kanda ya ziwa kwa sababu tu wamepakana na nchi za Burundi, Rwanda na Congo. Kumekua na dhana hasi kwamba wahamiaji haramu ni watu kutoka kanda ya magharibi tu.
Lakini ikumbukwe sio kila mhamiaji ni haramu. Kama mtu amefuata taratibu zote akahamia nchini akapata uraia sio tatizo.
Mleta mada anachanganya kati ya asili ya mtu na uraia wa mtu.
Mwisho nataka kukuambia mtoa mada
Great minds discuss ideas
Medium minds discuss events
Poor minds discuss people

Msituletee mambo ya ubaguzi kama Kenya.
Over
Ni kweli Watanzania tuliowengi hatuaminiani ikitokea ukawa umepata mafanikio makubwa utaambiwa wewe si RAIA nani RAIA wa kweli?Au kuna watu kutoka kanda Fulani wanajifariji baada ya kuukosa urais tupendane jamani nchi za wenzetu zinawakumbatia genius no matter ametoka wapi!!Jamani msituletee ubaguzi wa ajabu kama huu mnaouonesha hivi sasa!!
 
Samweli Mathayo

JF-Expert Member
Aug 1, 2017
1,569
2,000
Huna sababu yoyote ya kunnita mjinga. Mungai namfahamu vizuri sana, hata mama yake nilikua namfahamu. Najua Mungai alipokulia na this is why nimekutajia moja kati ya walimu wake wa sekondari hapo juu. Najua baba yake alikua Mkenya na alikuja kufanya kazi kwenye mashamba ya Chai Mufindi yakimilikiwa na kampuni ya Brook Bond Enzi hizo za mkoloni. Wewe unataka kudanganya watu eti kwamba Mungai alikuja Tanzania (Joseph Mungai) akiwa kijana/mtu mzima, hapo ndio nilipojengea HOJA kwamba unadanganya watu. Hoja yako ni nzuri but unadanganya watu kwa kua baadhi ya watu na historia zao huzijui. Kwa mujibu wa utaratibu tuliojiwekea wote waliokuwepo Tanzania kabla ya Uhuru hao ni Watanganyika and hence wanakua Watanzania automatic, halihitaji shule kubwa hilo kulielewa mkuu.
Mugai si mtanzania
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom