Je, kuna uwezekano Tanzania kupata Rais asiye mtanzania?

Watanzania tuwe makini UHAMIAJI HARAMU unaanza kulitafuna taifa

Tusipokuwa makini tutaongozwa Na muhamiaji haramu,

Tunaelewa Tanzania imekuwa kimbilio la wakimbizi wa nchi jirani ,Rwanda, Burundi, Congo Uganda, hata wengine wanajipenyeza toka somalia kwa miaka mbali mbali,

Taratibu za kuratibu wahamiaji hao kurudi kwao imekuwa si mzuri, imefika hatua mpaka wengine wameanza kujipenyeza katika ngazi za juu za uongozi , Na wengine mpaka kwenye vyombo vya dola, navyoongea hapa kuna watanzania kibao wamekosa huduma mbali mbali lakin wahamiaji wana zipata huduma hizo AMA kwa kuhonga au kwa bahati wakati watanzania halisi wanabaki bila kupata huduma hizo

Tukianza Na jeshi la magereza nchini limejaa watu amabao origin yao si watanzania mifano IPO, nenda Ukonga au segerea au magereza mengine fanya utafiti, utaona Askari magereza wengi si wenye asili ya Tanzania,

Ukienda kwa mwingine amewahi kua mpaka waziri wa elimu, BWANA JOSEPH MUNGAI SI MTANZANIA HALISI alikuja miaka kadhaa iliyopita Na kawafanyia mipango ndugu Zake wawili nao wapate vibali vya kuwa nchini kinyume Na Sheria,

Kuna hadi wabunge wengine wapo,

Hii isipo angaliwa kwa kina IPO siku tutamkabidhi nchi Rais asiye mtanzania halisi,

Sisemi wageni wabaguliwe, Ila wawe treated kama wageni wanavyokuwa treated nchi nyinginezo,
Wasimiliki ardhi,
Kuanzisha biashara washirikiane Na wazawa,
Wasigombee nafasi za juu za uongozi,
Katika jeshi letu uko huwa hapaongelewi Ila kwa wanaoolewa wanajua kinachoendelea,

SAMAHAN NAOMBA KUJUA URAIA WA HUSSEIN BASHE,

Ni haki yangu kikatiba kuujua uraia wa raia mwenzangu,
Nimewahi kujiridhisha juu ya uaria wa mheshimiwa abdulahman kinana, baada ya watu kusema ni MTU kutoka somalia, kisimayu, lakin baada ya kufanya uchunguzi wa kina nikagundua ni mtanzania,

Samahan kaka Husein mi naomba kujua uraia wako,

Nimetumia jukwaa ili siyo kukushambulia Ila kwa sababu mbili
1. Kwa aina ya siasa unazofanya umechukua nafasi ya akina John mnyika Na vijana wengine welevu sasa nakuona kijana Safi sana ninayemuamini Na kukuelewa kisiasa Kabla ya kukufikilia nafasi za juu kama urais hapo baadae ni vema nijiridhishe kwanza kwa uraia wako,

2.Kufuta minongono inayoendelea kuwa we si mtanzania, naamini we ni mwelewa , bila minongono hiyo nisingeweka Uzi huu hapa,

Kupitia Jukwaa ili ntaomba kujua origin ya wazazi wako,
Mahali umekulia, Na jinsi gani unatuaminisha kuwa we mtanzania,

Majibu yako makini yatasababisha kuaminika zaidi,

We si wa kwanza kuulizwa, maswali magumu
1. Mwigulu Nchemba aliulizwa elimu yake kajibu
2. Mheshimiwa mbowe naye pia ameeleza masuala mbali mbali juu yake,
Ikiwemo kupokea bilion 10 kumruhusu lowassa kugombea,

Ni maoni yangu

By samuel
We jamaa mbona punguan sana lakini....we wa kuongelea ubaguzi kwa mweusi mwenzio....na USA yenye raia karbu kutoka mabala yote saba ya dunia waseme nn?
 
Bashe mzaliwa wa nzega mitaa ya uzunguni usihadaike na rangi maeneo yale wameishi sana wageni kama wasomali, waarabu hadi leo bado wako wengi na mashombeshombe pia
 
Mtazania yupoje?
Mtanzania ni mtu mzalendo, anayeamini usawa kwa binadamu wote kama alivyokuwa Baba wa Taifa Mwl. Julius K. Nyerere(rip). Mtu aliyesema Uhuru wa Tanzania hauna maana kama nchi nyingine za Kiafrika hazijawa huru kiasi cha kuamua kuigania haki za nchi zote ili zipate Uhuru hasa Kusini mwa Afrika, hizo ndiyo hulka na tamaduni za Mtanzania siyo aina ya kina Mapombe na Magufuli....!!!!
 
Nilidokezewa kwamba huyo Kigangwala ni mrundi wa kuzaliwa kabisa alie soma kwa mfumo kule wakuruhusu watoto wawakimbizi kupata elimu maalum.Ameanza kusomea Kigoma sec ambapo alikutana na akina Juma Mwaka ambae alikua akitumiwa na watu kutu kuchokoza baadhi ya wanafunzi ndio maana umeona baada ya Kigangwala kuteuliwa kwenye uwaziri alianza kwa kumfungia Dr.J Mwaka kutoa huduma.Hii yote ni kulipiza kisasi kwa Dr. J cause aliwasumbua sana wahamiaji shuleni.

Huyu Zitto naye alikua moja kati ya wanafunzi wa korofi mno. Kuna siku moja waliwahi kumpiga "sangi" mwanafunzi mmoja wakike ambae alikua ni mtoto wa mwalimu pale shuleni (Kigoma sec).Inasemekana tukio hilo liliratibiwa na Zitto mwenyewe. sijatilia shaka uraia wa Zitto.

mafisadi hayana rangi
We una yako
 
Back
Top Bottom