Je kuna ukweli wowote ktk hili??

Je kuna ukweli wowote ktk hili??

SIS DREAD

Member
Joined
Jan 3, 2013
Posts
33
Reaction score
2
wadau nisaidieni katika hili inasemekena boyfriend au husband akiwa na wivu wa kupitiliza mara akukague kwenye cm mara cm ikipigwa mkiwa wote anataka apokee yy yani ule wivu wa kero mara akuchagulie sehemu za kwenda mara nguo hii vaa hii sitaki ni kwamba yeye sio mwaminifu je kuna ukweli wowote katika hili??
 
Shuleee shuleeeee ni kituuuu boraaaa Ukilaaa samaki ... mafupa utatemaaaaa usione kacheka binadamu siyo weemaa... shuleeee shuleeee ni kitu boraaaa
 
Shuleee shuleeeee ni kituuuu boraaaa Ukilaaa samaki ... mafupa utatemaaaaa usione kacheka binadamu siyo weemaa... shuleeee shuleeee ni kitu boraaaa

Haaahaaaahaaaa! Nimecheka sana. Huu ni wimbo au ni kitu gani? Nani kauimba? Daaah! Full vituko.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Haaahaaaahaaaa! Nimecheka sana. Huu ni wimbo au ni kitu gani? Nani kauimba? Daaah! Full vituko.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Huu wimbo ni wa vidudu (chekechea enzi hizo bhana) watu tuna kula bulga duh.....................!
 
Huu wimbo ni wa vidudu (chekechea enzi hizo bhana) watu tuna kula bulga duh.....................!

Haahaaahaa! Sawa mkuu. Ningeweza kuusikia namna unavyoimbwa live ningefurahi sana. Kweli shule ni kitu bora. Ukila samaki mafupa unatema! So funny.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Huu wimbo ni wa vidudu (chekechea enzi hizo bhana) watu tuna kula bulga duh.....................!

Khaaaaa, mkuu Kimbweka umenikumbusha mbali! Kumbe nawe umekula Bulga? Maziwa ya unga na mafuta ya USAID? Ama kweli wazungu sijui kama walituacha salama na hivi vyakula vyao, dah!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom