Je, kuna ukweli kuhusu she -male(dumejike) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je, kuna ukweli kuhusu she -male(dumejike)

Discussion in 'JF Doctor' started by INGENJA, Apr 25, 2013.

 1. INGENJA

  INGENJA JF-Expert Member

  #1
  Apr 25, 2013
  Joined: Sep 11, 2012
  Messages: 4,614
  Likes Received: 3,168
  Trophy Points: 280
  Habari wajuzi wamambo hasa wataalam katika tasnia hii ya Biolojia(biology).kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia kuwa kuna binadamu wanaozaliwa wakiwa na jinsia mbili ila sikuwahi kuliamin hilo hata siku moja.

  Wiki mbili hivi zimepita nilikuwa nabishana na dada mmoja kuwa wapo watu wa aina hiyo nilimbishia sana ,kutaka kunithibitishia akanionyesha baadhi ya pics kutoka kwenye mtandao zenye kuwaonyesha watu wa aina hiyo(mtu mwenye umbo lakike lakini sehemu ya uzazi ni yakiume) nilienda kukataa nikimwambia kuwa huwenda ni utundu wa watu kumix picture lakin akanionyesha mpaka video

  Still nikaendelea kutoamini katika hilo moja kwa moja ila nikwa naulakini fula,sikutaka kuamini kilakitu nikajarabu kusearch kwenye maeneo mbalmbali kujua ukweli lakini hakuna lilonipa ukweli moja kwamoja.

  Sasa natamani kujua kutoka kwenu enyi wataalam wa sayansi katika hili

   
 2. stephot

  stephot JF-Expert Member

  #2
  Apr 25, 2013
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 4,555
  Likes Received: 2,145
  Trophy Points: 280
  Haihitaji udaktari hapo,iko hivi kule ulaya baadhi ya mashoga wananogewa sana na hali yao mpaka wanafikia hali ya kutaka waonekane wanawake,wanachokifanya ni kutumia aina za madawa yenye kuchochea homoni za kike,hiyo inawasababishia kuota maziwa,kuota hips,------ makubwa,kuwa na ngozi nyororo na kuna baadhi mpaka nywele zinarefuka kama za wanawake ingawa wengine huamua kuvaa mawigi,ili kutimiza azma yao hujipodoa kama wafanyavyo wanawake ikiwa ni pamoja na kuvaa nguo za kike hivyo kuwafanya waonekane wanawake zaidi kuliko uwanaume isipokuwa wanabakia na madushelele kama kawaida.Hii ndivyo ninavyofahamu mimi mwenye kupinga aeleze!
   
 3. A

  ADK JF-Expert Member

  #3
  Apr 25, 2013
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 1,044
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  nimeziona HAYO hayo mavitu kwenye porn video hayo mambo yapo hata hapa kwetu bongo wapo
   
 4. Chocs

  Chocs JF-Expert Member

  #4
  Apr 25, 2013
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 8,193
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Sina uhakika bse sijawahi kuona na siku nikiona nitashangaa sana ila nasikia wapo na inatokana na kuzidi au kupungua kwa hormones MziziMkavu naomba ukuje ujibu hili swali/utoe ufafanuzi kama kuna unalofahamu au kama kuna tafiti pia.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #5
  Apr 25, 2013
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,432
  Likes Received: 4,312
  Trophy Points: 280
  Mkuu.@INGENJ Binadamu kuzaliwa na jinsia 2 ya kike na kiume ni kitu cha kawaida huwa anaangaliwa ukubwani kwake je kipi kati ya hizo jinsia 2 kinachofanya kazi ikiwa uume ndio unaofanya kazi atahesabika yeye huyo ni Mwanamme la ikiwa uuke ndio unaofanya kazi pia huwa anahesabika yeye ni mwanamke siku hizi wanampima hospitali Hormone na kujuwa kama yeye ni mwanamke au mwanamme mambo ni ya kawaida hayo mkuu usishangae kabisa.
   
 6. s

  saxogade Member

  #6
  Apr 25, 2013
  Joined: Jan 12, 2013
  Messages: 18
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  inawezekana ila wale wa ulaya wengi wamejilipua na mahomoni
   
 7. K

  Kifyatu JF-Expert Member

  #7
  Apr 25, 2013
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 2,627
  Likes Received: 1,503
  Trophy Points: 280
  Sasa bwana kuna milolongo mingi hapa:

  Hermaphrodite

  Hawa ni watu waliozaliwa na jinsia mbili (maana yake wana sex organs za kike na kiume). Hii ameilezea MziziMkavu hapo juu. Hawa watu tunao wengi katika jamii lakini hufanya siri. Mfano wa hadharani ni mwanariadha Caster Semenya wa South Africa ambae anasema yeye ni mwanamke lakini umbile lake la nje ni kama mwanamme.


  NOTE: Sote sisi tukiwa tumboni kwa mama tunaanza kama wanawake. Kama Y-cromosome haipo basi tunazaliwa kama wanawake. The chemical changes zinazo anzishwa na Y ndio zinazoziba ufa ambao ungekuwa uke wakati gololi zikiwa zinabakia ndani sawa na ovaries. Wavulana wakishazaliwa inachukua muda hizi gololi kuashiriwa kuwa zinapaswa kushuka na ndio zinateremka kama balls of steel za marijali. Sasa saa nyingine hizi chemical triggers hazifanyi kazi vizuri na mtu anazaliwa na jinsia mbili.
  Haya Geneticist fanyeni kazi yenu.

  She-Male, Trans-gender, Third-gender, nk.
  Hawa watu mara nyingi wanazaliwa na jinsia moja ila tu (by nature or nurture) wanajihisi wangependelea kuwa na jinsia nyingine. Hivyo basi wanaweza kufanya hivi kwa:
  • kuvaa mavazi ya jinsia nyingine
  • wanaume kutumia homornes za kike ili wawe na matiti na haiba ya kike
  • wanawake kutumia hormones za kiume ili wawe na ndevu na swagger za dume
  • nk.
   
 8. Nyanidume

  Nyanidume JF-Expert Member

  #8
  Mar 4, 2014
  Joined: Oct 24, 2012
  Messages: 2,130
  Likes Received: 347
  Trophy Points: 180
  Duh! kweli duniani kuna mambo.
   
Loading...