Je, kuna ukweli katika picha hii?

Je, kuna ukweli katika picha hii?

Kanisa la wasabato ni miongoni mwa makanisa yaliyopotea, waliisha achwa na Mungu kama walivyoachwa wana wa Israeli kwa sababu ya kuukataa ukweli wanaopewa na Mungu. wamebaki kutishana kwa dalili za uongo.
 
upload_2017-2-2_20-59-56.jpeg
 
Trump has a big heart, he loves and cares all people regardless of their spiritual beliefs or political belief. The media is trying so hard to tarnish him, but God will always stand with him, the media are very, very dishonest!
 
Kanisa la wasabato ni miongoni mwa makanisa yaliyopotea, waliisha achwa na Mungu kama walivyoachwa wana wa Israeli kwa sababu ya kuukataa ukweli wanaopewa na Mungu. wamebaki kutishana kwa dalili za uongo.
Wana wa israel hawakumkubali Yesu kuwa ni mwana wa Mungu ndio maana mpaka leo wana dini yao ya judaism. Lakini Wasabato kama walivyo Wakristo wote duniani wanamwamini na kutenda maagizo yote ya Yesu Kristo. Tatizo lenu linalowasumbua sana kuhusu Wasabato ni siku ya kuabudu. Fuatilia ilikuwaje mpaka Jumapili (sun day) ikawa siku maalumu ya kuabudu badala ya siku ya sabato ambayo hata Yesu mwenyewe alisali akiwa hapa duniani utapata ukweli unaweza hata kugoogle utapata sources mbalimbali za mambo haya.
 
Mbona Yesu ni sabato! Alisali siku ya sabato. Kama Yesu alisali siku ya sabato kwanini Wasabato wasiwe Wakristo? (yaani wafuasi wa Yesu Kristo)
Wasabato ni cult za kikristo zilizofanikiwa sana
 
Wana wa israel hawakumkubali Yesu kuwa ni mwana wa Mungu ndio maana mpaka leo wana dini yao ya judaism. Lakini Wasabato kama walivyo Wakristo wote duniani wanamwamini na kutenda maagizo yote ya Yesu Kristo. Tatizo lenu linalowasumbua sana kuhusu Wasabato ni siku ya kuabudu. Fuatilia ilikuwaje mpaka Jumapili (sun day) ikawa siku maalumu ya kuabudu badala ya siku ya sabato ambayo hata Yesu mwenyewe alisali akiwa hapa duniani utapata ukweli unaweza hata kugoogle utapata sources mbalimbali za mambo haya.
Kwanini makanisa mengi makao yake makuu ni marekani na so imani ilokoanzia MF Ulaya ama Asia?
 
Huruma ya Mungu ni ya milele. Usiwatishe watu, milango ya huruma ya Mungu/kutubu iko wazi mpaka Kristo atakaporudi.
Siwatishi Mimi,Bali kama unaamini,ni unabii wa wasabato na una nguvu sana kwao.
 
Mi naona hapa jambo la msingi katika hzi abrahamic religions ni kutenda yaliyo mema mbele za mnyazi MUNGU. Ila usisahau kuishika Sabato ya bwana maana ni amri kama zilivyo amri nyingine za bwana MUNGU!
 
Wakati unaposema kushika sabato,kitabu cha waebrania anasema Mungu ameweka Siku nyingine tena,nayo ni LEO.Tumepewa Siku moja tu,nayo ni leo.Yesu anasema usijisumbue na kesho.Utakatifu wako ni Leo,na siyo Siku ya sabato.Maana ukimwamini Yesu,unapumzika,Yesu ndiye pumziko la ukweli.Kukusanyika kama desturi ni muhimu,ila Leo ndiyo siku yetu
 
Kwani Wasabato siyo Wakristo au unadhani Ukristo ni kwenda kanisani Jumapili? Ukristo ni kuamini na kufuata imani ya Yesu Kristo. Na hata kama Ukristo ni siku ya kuabudu Yesu basi Wasabato ndiyo Wakristo halali kabisa kwani hata Yesu tunayemwamini alikuwa akisali siku ya sabato ambayo kwa sasa ndio tunaiita Jumamosi. Lakini kubwa na la muhimu Ukristo ni kuamini katika Yesu Kristo na kufuata mafundisho yake pamoja na ya mitume na manabii wa MUNGU Mwenyezi.
wasabato siyo wakristo na hawajawahi kuwa wakristo.. wao ni kufuata mafundisho ya ufunuo wa H.G.WHITE, na kuponda ukatoliki.
 
Je mitume wa YESU KRISTO ambao ndio walioweza Injili ya Yesu walikuwa waroman catholic? Haya madhehebu ni identity ya kujitambulisha tu na yamekuja baada ya mitume wote wa Yesu kufariki.

Back
Top Bottom