kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,010
Wala sio photo shop, taarifa ipo hata BBC nenda usearchPhoto shop big time.
Hahaha
Katika executive orders alizosaini trump hiyo hakuna tuache ujingaWala sio photo shop, taarifa ipo hata BBC nenda usearch
Kwahiyo waislam hadi wasabato wakipinga tamko jela miaka 10..!
yaani wewe umeweza kujibu online ambapo hiyo bbc ipo unashindwa kuleta link.Wala sio photo shop, taarifa ipo hata BBC nenda usearch
Haya mambo ndio maana watu walidanganywa na kujaribu kusafiri bila passport wala nauliKatika executive orders alizosaini trump hiyo hakuna tuache ujinga
Huruma ya Mungu ni ya milele. Usiwatishe watu, milango ya huruma ya Mungu/kutubu iko wazi mpaka Kristo atakaporudi.Upo unabii kwa wasabato kuwa,mlango wa rehema utafungwa rasmi kwa wanaojua ukweli kuhusu sabato na wakapuuzia,Mara tu marekani itakapotangaza jumapili Siku rasmi ya kuabudu.Tangazo litakalofuata ni la dunia nzima kulazimishwa kuifanya jumapili kama Siku maalum ya kuabudu.Sasa kama ni ukweli,tangazo hili litamaanisha kuwa,kama ilivyo kwa shetani hawezi kutubu,basis na kwa wasabato ambao hawakuwa watakatifu,wamefungiwa muda wa kutubu
sio kweliKama ni kweli,basi mwisho
uliotabiriwa umefika!huu
ni utabiri wa mwisho wa
matukio ya dunia katika biblia.
Asante mkuu,maana uzushi mwingine unamatokeo mabaya sana kwa wasiojua.Kuna watu waliambiwa mwaka 2000 ulikuwa unakamilisha miaka 6000 tangu kuumbwa binadamu na hivyo tulikuwa tunaanza mwaka wa 7000 na kwa Mungu,miaka elfu ni kama Sikh 1,kwa hiyo ilihesabika kuwa ni sabato na Yesu angekuja.Naona kumbe watu wanabuni sana ili kurubuni wengine sijui ndio kwa ajili ya sadaka?!!
Orgin; Hapa alikuwa anasign vitu vingine kabisa
President Donald Trump holds up an executive order withdrawing the US from the Trans-Pacific
Wengine nao wakaibuka
Photoshop,
Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa.
Kweli mkuu kwa kufanya hivi tunawasaidia wengi, Maana huchelewi kusikia watu wanachukuliwa na kupelekwa misituni kujificha kumsubilia yesu kisa Trump. Matokeo yake Maendeleo yanadumaa, Watoto wanakosa shule, Wnakufa kwa vipindupindu. Kama kweli hayo mambo yapo ytatafika na tutayaona sio kwa kusingizia watu ili kujustfy udanganyifu. Na haya ni madhara ya kujifungia kwenye nyumba za ibada bila kuwa na exposure ya mambo ya duniani.Asante mkuu,maana uzushi mwingine unamatokeo mabaya sana kwa wasiojua.Kuna watu waliambiwa mwaka 2000 ulikuwa unakamilisha miaka 6000 tangu kuumbwa binadamu na hivyo tulikuwa tunaanza mwaka wa 7000 na kwa Mungu,miaka elfu ni kama Sikh 1,kwa hiyo ilihesabika kuwa ni sabato na Yesu angekuja.Naona kumbe watu wanabuni sana ili kurubuni wengine sijui ndio kwa ajili ya sadaka?!!
Hizi dini ama madhehebu ni vitu vya ajabu sana. Huvi kutubu ama kuungama kuna siku yake rasmi?Upo unabii kwa wasabato kuwa,mlango wa rehema utafungwa rasmi kwa wanaojua ukweli kuhusu sabato na wakapuuzia,Mara tu marekani itakapotangaza jumapili Siku rasmi ya kuabudu.Tangazo litakalofuata ni la dunia nzima kulazimishwa kuifanya jumapili kama Siku maalum ya kuabudu.Sasa kama ni ukweli,tangazo hili litamaanisha kuwa,kama ilivyo kwa shetani hawezi kutubu,basis na kwa wasabato ambao hawakuwa watakatifu,wamefungiwa muda wa kutubu
Kwani Wasabato siyo Wakristo au unadhani Ukristo ni kwenda kanisani Jumapili? Ukristo ni kuamini na kufuata imani ya Yesu Kristo. Na hata kama Ukristo ni siku ya kuabudu Yesu basi Wasabato ndiyo Wakristo halali kabisa kwani hata Yesu tunayemwamini alikuwa akisali siku ya sabato ambayo kwa sasa ndio tunaiita Jumamosi. Lakini kubwa na la muhimu Ukristo ni kuamini katika Yesu Kristo na kufuata mafundisho yake pamoja na ya mitume na manabii wa MUNGU Mwenyezi.Waislam na Wasabato waheshimu Sheria za nchi za Kikristo
Wasabato siyo WakristoKwani Wasabato siyo Wakristo au unadhani Ukristo ni kwenda kanisani Jumapili?