Je kuna ukweli katika hii dhana?

Hahahahah! Aiseeee jf raha tupu
Asprin karibu tunywe Govindar kumar na conte.......
 
Last edited by a moderator:

Nashukuru sana kwa ushauri wako, uko sahihi... Issue ni kwamba utamshawishije huyu mtu ambaye ameloea kwenye hiyo dhana???

Kila unapomwambia abadilike anasema atabadilika akiwa ndani ya ndoa????
 
Hiyo dhana ipo sana na sio katika suala la ngono pekee bali hata katika madhambi mengine mathalani ulaji rushwa n.k.

Tulio wengi hatujui au husahau kuwa leo ni maandalizi ya kesho au kwa kifupi ufanyacho leo matokeo yake huonekana kesho.

Maneno kuntu haya!!!!
 
Mdogo wangu charminglady,

Haya mambo yalikuwa kweli enzi zile kabla nchi haijavamiwa na -----....

Kuna Mzee mmoja alikuwa anawambia vijana wa siku hizi kwamba, kwa sababu ya hali mbaya ya hewa, vijana wa siku hizi watasimulia nini uzeeni??

Ila ukishastaafu unakuwa mtakatifu wa watakatifu wote....
 
Last edited by a moderator:

Kwa uzoefu wangu, wanaume ni tofauti na wanawake....

Kama ukiweza kumpata mwanamume ambaye ameingia kwenye ndoa bila kuonja mtoto wa mtu, basi naomba tuwasiliane nimpatie zawadi kutoka kwa babu....

But, baada ya kuoa, tuko wengi sana ambao tulijistaafia.

Bahati mbaya, hata wanawake siku hizi wanakimbizana kutelekeza hii mila!

Hapo kny nyekundu tukisema na mwanamke hajaumbwa kwaajili ya mwanaume mmoja unakubali na usijidanganye mkeo ni wako peke yako unakubali???

Kwa wanandoa, wanazo imani zao zinazowaongoza...

Moja ni kuwa mkeo/mumeo ni wako peke yako hadi utakapothibitisha bila shaka lolote kwamba imani yako si ya kweli...

Umeelewa??
 
Wala haitaji kunialika, maana wakati mpenzi wangu mama watoto charminglady anatype mimi ndio nilikuwa namsetia vizuri keyboard na makila kitu

Tena tulikuwa juu ya 8*8....
 
Last edited by a moderator:
Asante.

Wataalamu wanasema ''Kamwe HUWEZI kutatua tatizo kwa uelewa na fikra ulizokua nazo wakati hilo tatizo ambalo ni sehemu yako likitokea''

Ina maana inahitajika levo ya juu zaidi ya fikra na uelewa kuweza kutatua hilo tatizo... either wewe au mwingine aoneze huo uelewa. pia ndio lengo la elimu mbali kutufungua uelewa nk.

Tukirudi sasa kwenye point yako..... Inahitajika UWEZE kumuonesha (kumfanya aelewe) hiko kitu kilivyo kwa upande wa pili kwa mapana yake. kama ni mtu mwenye ufahamu/uelewa atafunguka... ila kama akijidai ubishi ubishi wewe utakua umefanya sehemu yako.


Nashukuru sana kwa ushauri wako, uko sahihi... Issue ni kwamba utamshawishije huyu mtu ambaye ameloea kwenye hiyo dhana???

Kila unapomwambia abadilike anasema atabadilika akiwa ndani ya ndoa????
 
Nimekufa ganzi moyoni

Siamini kama zombie ananifanyia haya kwa usiri jamani, I will kill him with my own hands.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…