CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,997
Habari za mchana mabibi na Mabwana,
Kuna dhana moja imeeneza miongoni mwa jamii zetu kuwa "Wacha tufanye mapenzi kiholela mpaka hapo tutakapoingia kwenye ndoa, ili tukishaingia tutulie" dhana hii husemwa sana na wanaume.
Kuna rafiki zangu kadhaa nilisikia wakisema hivyo.
Wazee mliopo humu mmewahi kusikia huu msemo na je unafanya kazi? Wale wanandoa wa sasa je mliwahi kupitia katika hali hii?
Mie nafikiri iwapo mtu atashindwa kutulia katika mahusiano ya awali (BF & GF) ndivyo hivyo atakavvyoshindwa kutulia katika ndoa.
Je kuna ukweli wowote katika hili?
Karibuni akina Babu Dark City, Babu Asprin, Mzee Mtambuzi, Ankal Kaizer, Kaka HorsePower na wadau wooooteeee!!!!