Je kuna ukweli?... how to make you ex feel useless and desperate

TANMO

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
9,824
2,000
1.whenever he/she calls just pick their call and inform them about your achievement and never give them a chance to reconcile,never
abuse them.

2.You should never block them or unfriend them in facebook,and always update on your happy moments and avoid updating on
your miseries.

3.Be close to their friends so that he/she can feel more jealous.

4.Never call their relatives.

5.whenever you meet them on the road greet them and wish them well but never give them much time,always look jovial.

6.Never be the one calling them.

7.If they try to make advances,say NO with capital letters and tell them to mind their own business.

8.Improve on your dressing and personal appearance,once they see you they might even commit suicide.

9.Date someone who has achieved more than him/her and who is more handsome/ beautiful than them.

** hit like if u agree to any point
above ✔ ✔ ✔ ✔ ✔ ✔ ✔

FEEL FREE TO SHARE THIS POST...

Kwa hisani ya watu wa #Facebook ......
 

Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
53,414
2,000
Kumbeeee!!! ndio maana yule binti wa ujanani huwa ananifanyia kama hivyo...sasa nishapata na mimi pa kudesea
 

Munkari

JF-Expert Member
Feb 9, 2013
8,090
2,000
Haaah! Kumbe nilifanya vbaya wacha nimunblock loh! Nahvi kunapicha ya my hendsamu heheeee! Donge la nini!....
 

badiebey

JF-Expert Member
Nov 29, 2013
5,876
1,500
Hii ndo yenyewee USIMPE X NAFASI KUJIONA ALIKUWA KAKUMILIKI SAAANA....Life must keep on going tena successfully than before
 

Horseshoe Arch

JF-Expert Member
Aug 10, 2009
13,154
2,000
Lakini jamani turudi kwenye upande wa pili wa shilingi....yote hayo ni kwa ajili ya nini...mahusiano ni tunaweza kuyaita domestic agreement kwa lugha ya kisafa...sasa ikiwa mmeachana kwa sababu yoyote ile hakuna sababu ya kujengeana uadui. Nionavyo atabarikiwa zaidi asiye na kinyongo,ambaye anaweza kumfanya ex-whoever wake kuwa rafiki!
 

Eli79

JF-Expert Member
Jan 9, 2013
28,044
2,000
Hizi sifa ni kwa wale ambao bado wana madonge moyoni...
Kama mmemalizana vizuri, huwezi weka vitu kama hivi kwa mtima...
..Just live your life... cherish the good moments you shared and forget all bull*** they did to you..
After all how many are you gonna have grudges with while the number is heading to double digits...?
 

byb sac

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
909
500
thec mtoa mada umenifundisha kitu muhimu sana...maana nilikuwa nawaza nifanyaje .atakoma sasa full kuvaa pamba....
 

Munkari

JF-Expert Member
Feb 9, 2013
8,090
2,000
thec mtoa mada umenifundisha kitu muhimu sana...maana nilikuwa nawaza nifanyaje .atakoma sasa full kuvaa pamba....

hahahaha! Pamba? Mkuu c ndo atakimbia kabisa mana utakuwa unatisha! Sipati picha shati pamba,suruali pamba ,viatu pamba na huko ndani pamba!! Mwili mzima mipamba!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom