Je, kuna uhusiano wowote kati ya IMMA advocates na sakata la ufisadi wa EPA?

meningitis

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
8,349
4,674
Screenshot_2017-08-27-20-41-47.png



Ukiongelea ufisadi uliotikisa Taifa huwezi kusahau ufisadi mkubwa na uliotikisa taifa ...yaani uchotwaji wa mabilioni ya fedha ya EPA.

kwa kumbukumbu zangu za kupitapita humu JF IMMA advocates iliwahi kutajwatajwa kwenye sakata hili.

Je Ukweli ni upi?

Je mwanasheria msomi TL ambaye alikuwa ni sehemu ya wanaharakati wa chadema anazungumziaje suala hili?

Naandika mada hii kutoka kwenye bandiko moja la mhenga wa JF.
 
Tafuta threads za Deep Green, Meremeta n.k. zimo humu. Utagundua chadema ndio walikuwa mbele kuwatukana IMMMA Advocates kuwa walitumika kuifisadi nchi Lakini leo hii IMMMA Advocates wanaonekana malaika
Ndio maana nikaamua kuileta hii mada...ili tutambuane nani mpiganaji wa kweli dhidi ya ufisadi?

wanasiasa wanatuchezesha segere
 
Same thing...kwamba TLS ya sasa inatetea kampuni iliyohusishwa na ufisadi wa EPA?
Naomba unijibu...

Unajua majukumu ya wakili?

Unajua majukum ya TLS??

Je ni mahakama ipi imethibitisha hao IMMMA wanahusika na huo ufisadi??

Kwanini usimuulize rizone kikwete akupe majibu??
 
Amini usiamini kashifa zote kubwa za ufisadi au mikataba mibovu ni za wanasiasa waliowezeshwa na wanasheria wazawa. Wanasheria Mungu anawaona.
NOTE: Sio wanasheria wote wanajihusisha na ufisadi. Wengine bado wasafi na kwao heri wakose pesa kuliko kushirikiana na mwovu.
 
Naomba unijibu...

Unajua majukumu ya wakili?

Unajua majukum ya TLS??

Je ni mahakama ipi imethibitisha hao IMMMA wanahusika na huo ufisadi??

Kwanini usimuulize rizone kikwete akupe majibu??
Nimeuliza swali kama ni kweli hawa jamaa walihusishwa kwenye sakata la EPA?
Chadema kupitia lissu waliandaa list of shame na kati waliowataja ni wahusika wa EPA.

Najaribu kuulizia kama IMMA ADVOCATES walitajwa kwenye sakata hili?
 
Nimeuliza swali kama ni kweli hawa jamaa walihusishwa kwenye sakata la EPA?
Chadema kupitia lissu waliandaa list of shame na kati waliowataja ni wahusika wa EPA.

Najaribu kuulizia kama IMMA ADVOCATES walitajwa kwenye sakata hili?
Hujajibu maswali niliyouliza...

Naomba majibu ya maswali yangu...
 
Hata kama wanahusika/walihusika lakini kitendo cha ofisi zao kulipuliwa si sawa...
Naona hili kaburi limefukuliwa ili kupoteza mjadala wa suala lililowatokea...
 
Back
Top Bottom