goodfool
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 1,664
- 993
Watu wengi hasa vijana wamekua wakipinga kwanguvu na kwa lugha ngumu na msisitizo kuwa Bandari isipewe wawekezaji.
Je kuna uhusiano kuwa wengi wao na ndugu zao wananufaika na ajira za Bandarini na mishe mishe za pale ambazo wanahisi muwekezaji itakua ndo mwisho wa wao kula?
Je ukosefu wa ajira unachangia?
Je vijana wanapaswa kuwaamini wasiasa wanaoitumia fursa ya sakata hili kujinasibu kua ni wazalendo?
Je yupo mtanzania ambaye anaweza kua na UCHUNGU wa kweli pasipo kuhusisha TUMBO katika kutetea RASLIMALI za nchi?
Ni hayo.