Halafu nina siku kadhaa sijamuona tangu aulize lile swaliWatanganyika, hatupaswi kuendelea kuwa katika hali ya ulegevu huu — ni wakati wa kuamka na kuchukua hatua kwa mustakabali wetu.
Cc. Pascal Mayalla
Kwani bi mkubwa anapiga kileo?Ummy kuna ''za chini chini'' kuwa alikuwa anamsema ''mama'' vibaya. Kuwa hastahili kuwa hapo alipo, hana uwezo na ni mlevi.
Nitoe kwenye hiyo takatakaMzee Mshana naona mmeamua kusitisha kwanza harakati zenu za NRNE ili mpate muda wa kufuatilia mambo ya chama mnachokipenda CCM. Safi sana. Huu ni uzalendo. Hakika kila mtanzania ni mwanaCCM.
Ndiyo ilivyokua nyepesi na rahisi kiasi hicho, watu wanaingia na kutoka, na kuongea nao, njaa na ubinafsi ndiyo vinatesa, huyu kaamua. Hamna cha TISS wala nini, shukuru tu JWT wanajua Katiba iheshimiwe, Polisi wangejijua nao wangekaa mbali na CCM zamani, wafanye kazi zao tulizowatuma Katika katibaNimeweka la Poleole , sidhani kama ni kweli, ana guts za kuandika hivyo na akabaki salama?
Tafuta chimbo ulambe asali Mzee baba achana na hizi kelele uchwaraJe hawa watakaa kimya na kufunika kombe mwanaharamu apite?
February
Mpini
Katelefoni
Pasta Gwa
Na maamuzi ya leo ya halfrey
Unaweza kuongeza na wengine.. Lakini inawezekana kabisa October mbaliView attachment 3404325
Bila ya kujali mtu zamani alikuwa wapi, alifanya nini, mahali tulipo, ambapo Tanganyika inafanywa kuwa koloni la waarabu, watanganyika wanatekwa na kuuawa ili kuhakikisha mtawala kibaraka wa waarabu anaendelea, ili akamilishe uporwaji wa rasilimali za Tanganyika; yeyote anayepinga uharamia huo, lazima aungwe mkono.
Ila hili la Polepole yawezekana ni mbinu ya CCM kuwavuta watanzania kuiunga mkono CCM wakati Sa100 atakapoondolewa kuwa mgombea. Lazima watafute mgombea ambaye ataonekana anapinga uchafu uliopo, japo akiupata uongozi anaweza kufanya uchafu ule ule.
RabaikaWaliojaliwa Neema ya kuona nia yake ovu juu ya Tanganyika....wameamua kukaa pembeni...