inawezekana ikawa kama ile movie ya Lowasa ,majamaa wakahamia chama cha chauma .Alafu ili kuinogesha movie hawa public figure wa ccm waliokatwa ubunge wahamie huko alafu mgombea urais awe mtu kama Lukuvi, Majaliwa au Polepole lazima watu wawe mateka kwa hii collabo.CCM wanawatengenezea kinyago kingine, huyo dogo ni mpango aje, atue chama flan cha upinzani.
Wabongo wasahaulifu sana.
Unaongelea ile CCM timamu ambayo mtu mjinga alikuwa hathubutu kugusa hata mlango wa kuchukulia form za kuomba uongozi, CCM iliyokuwa na rais anayefanana na nafasi sio hii ambayo hata baba levo na mwijaku wanaona wanastahili kuwa wabunge bila hata hata kujua kazi ya mbunge ni nini.Yaani ccm mdebwedo!Kwa CCM hakuna kima atanyanyua ht pua, CCM ni zaidi ya uijuavyo.
Kabisa waende kwa cdf wapite kwa igp wampe mpango kaz wamuone jaji mkuu wamtoe lisu waset plan nchi irudi kwenye hadhi ya TanzaniaBora wafanye, nchi inahitaji Mabadiliko
Kweli, hii nchi itakua ngumu come October kwenda mbele.... Wenye damu yao wanadai.... Sijui nani atapona🤔Kutoka kwa Gwajima, was a sign, ule ujasiri lazima una backup, hii meli inaanguka, unawezaje mtendea vile Lisu jamani?
Yaani mpaka sasa chamani huko kunawak moto sema wanajitahidi kuuzuia lakini wapi.Je hawa watakaa kimya na kufunika kombe mwanaharamu apite?
February
Mpini
Katelefoni
Pasta Gwa
Na maamuzi ya leo ya halfrey
Unaweza kuongeza na wengine.. Lakini inawezekana kabisa October mbaliView attachment 3404325
Je hawa watakaa kimya na kufunika kombe mwanaharamu apite?
February
Mpini
Katelefoni
Pasta Gwa
Na maamuzi ya leo ya halfrey
Unaweza kuongeza na wengine.. Lakini inawezekana kabisa October mbaliView attachment 3404325
Sasa tutaanza kuwajua wanafiki ni akina nani ! Ukisha kutumia neno hili hiyo red flag!!!The rise of SKMG?
Hii inaitwa mchanga lori sementi mfuko mmojaHata ukipiga plast juu juu unaamka unaona ufa umeshuka....hahaha
Eeeh wameishaingia mzigoni tayali?
Wanatafuta gear ya kuingiliaChawa wako kikao cha dharura leo? Siwaoni kabisa