Hakuna namna, lazima apatikane mgombea urais mwingine.Nafikiri kumgusa Makamu wa Rais, Waziri mkuu, Mpina, Gwajima, Kanisa Katoliki, Kinana, wimbi la kukata kihuni baadhi ya wabunge ..... nina hofu.... 2015 walipambana na Lowasa .... time hii watapambanq na mfumo ndani ya mfumo ..... sioni dalili njema kwenye vita inayonukia ...... Tuliombee Taifa
Jamani kitu gani kwani wao ndio wanastahiki kua wabunge kushinda watanzania wengine?cmon guys.Lukuvi naye kaliwa kichwa kwenye ubunge. Ummy naye kaliwa kichwa kwenye ubunge. Kuna kitu
Usisahau kauli ya msemaji wa jeshi la wanainchi kuhusu watu kutumia vyeo vyao kutaka vijana wao waingizwe jeshini pasipo kufuata kanuni za kijeshi ile kauli haikutokq bure bure ni kauli inayoitaji jicho la kiroho kujua sasa ni muda wa kununua vyakula kwa wingi na kuweka ndani kuwa na uhakika wa kula hata mwaka mmoja pasipo kwenda soonishJe hawa watakaa kimya na kufunika kombe mwanaharamu apite?
February
Mpini
Katelefoni
Pasta Gwa
Na maamuzi ya leo ya halfrey
Unaweza kuongeza na wengine.. Lakini inawezekana kabisa October mbaliView attachment 3404325
Mambo ya CCM Mimi hayanihusu.
Wazee tujikite kupigania Taifa letu, Wana CCM wote ni wazee wa fursa tu, ukiona ugomvi ujue ni ugomvi wao wa maslahi.
ndani ya viunga vya Basra - Iraq.
Umeona mbali.. Umewaza deeplyUsisahau kauli ya msemaji wa jeshi la wanainchi kuhusu watu kutumia vyeo vyao kutaka vijana wao waingizwe jeshini pasipo kufuata kanuni za kijeshi ile kauli haikutokq bure bure ni kauli inayoitaji jicho la kiroho kujua sasa ni muda wa kununua vyakula kwa wingi na kuweka ndani kuwa na uhakika wa kula hata mwaka mmoja pasipo kwenda soonish
Bwanake anakunongobezaWakati mkuu wa majeshi mwenyewe haridhiki na mambo yanavyokwenda
Anacholalamikia Pole pole yeye ndo kakitengeneza nashangaa watu wanavyomuona shujaa kwa kujiuzulu .Je hawa watakaa kimya na kufunika kombe mwanaharamu apite?
February
Mpini
Katelefoni
Pasta Gwa
Na maamuzi ya leo ya halfrey
Unaweza kuongeza na wengine.. Lakini inawezekana kabisa October mbaliView attachment 3404325
Yeremia ngap hyo ww mtabiri wa chadema ulie canadaUsisahau kauli ya msemaji wa jeshi la wanainchi kuhusu watu kutumia vyeo vyao kutaka vijana wao waingizwe jeshini pasipo kufuata kanuni za kijeshi ile kauli haikutokq bure bure ni kauli inayoitaji jicho la kiroho kujua sasa ni muda wa kununua vyakula kwa wingi na kuweka ndani kuwa na uhakika wa kula hata mwaka mmoja pasipo kwenda soonish
Nyumbu
Exactly mpasuko wa maslahi tusio uasi bali mpasuko ambao unatokana na maslahi binafsi,au kutengwa hivyo mara tu ccm itakapotangaza wagombea wa ubunge,basi hapo ndipo mpasuko mkubwa utatokea
Nadhani hujaelewa tunachojadili. Ungejuwa tulitamani hata huu ubunge feki waliomalizia wasingekuwepo. Watu tunataka mageuzi na wapatikane wabunge wa kweli na siyo hawa feki. Hata wakiondolewa hawa wanaoingia hawana tofauti au wanaweza kuwa wabaya zaidi.Jamani kitu gani kwani wao ndio wanastahiki kua wabunge kushinda watanzania wengine?cmon guys.
Kulitokea mgogoro mkubwa wa maslahiTujikumbushe yale makundi matatu ya CCM
1. Mafikizolo
2.Gweregwere na
3......
Halafu tujiulize haya makundi yanaelewa 4R? Je yalishakubaliana kukubaliana?.
Kama yalizimwa na kundi moja kwa nguvu ni sawa kuona tuyaonayo na yatakayoonekana.
Ummy kuna ''za chini chini'' kuwa alikuwa anamsema ''mama'' vibaya. Kuwa hastahili kuwa hapo alipo, hana uwezo na ni mlevi.Lukuvi was seen it coming.. Ummy ishu ya Tiva?