Je, kuna Tundu (Hollow) katika Ncha ya Kaskazini linalotoa miale ya Mwanga kutokea Ndani ya Dunia?

Hii sio sababu kabisaaa. Kwamba viongozi wakiwemo wa dini wanaogopa kugundua ukweli huo. Maana Nasa, still believes kuna Aliens wana exist, full kuweka mitambo kusaka signal tu. Nasa watafurahi sana ikiwa watagundua aliens na kuutangazia umma kuwa hatupo peke yetu. Tena vipi wafiche
 
Wadadisi wanadai kuwa, ma-directors wa filamu za unajimu, huwa wanaweka stori zenye utata lakini ambazo zimefumbwa kwa walimwengu. Bahati mbaya sisi hudhani ni stori tu kumbe huwa wanajaribu kuelezea kitu fulani.
 
Huo ni mtazamo wako ndugu. Mimi nakwambia NASA imeshawadedisha Watumishi wao kadhaa waliotoa ama kutaka kutoa Siri juu ya uwepo wa UFOs na Aliens ulimwenguni.
Hebu fikiria tu unaambiwa kuwa, Mwezi ujao Nibiru itaingia kwenye Ukanda wa Mzingo wa Dunia angalao tu kwa umbali wa Sayari ya Mars (54,000,000 km), ujue wa are doomed kwa kuwa Nibiru ni kubwa kwa zaidi ya mara Sita ya Dunia.
 

Haiwezi kuingia akilini kuwa, NASA wanatuficha uwepo wa Aliens. Wakati kila mtu anajua kuwa Nasa wanatafuta even a sign of alien life achilia mbali alien mwenyewe. Kuna mwaka mmoja walipata signal, wanaita WOW signal, hawajajua ni kitu gani, lakini hawakuficha. Mnatizama conspiracy theory sana kwenye youtube, ubaya wa mambo, wanakuwa sio wasomi, hawana scientific xplaination, wao ni assumption tu. Wala wao hawana proof wa hata wakisemacho. Sitoshangaa ukiwa unaamini Dunia ipo flat.

Kwa mfano ukiulizwa, what is the reasons that Nasa have to hide that there are aliens or have catched UFO? halafu ujue hio UFO shaped object ata hitler alitengeza!

Si vibaya kuexplore he mysteries of the world, lakini akili nayo ifanye kazi vizuri. A hollow earth?!!

So far, hao jamaa hawana proof ya wanachoongea.
 
Nibiru?
wacha ninywe bia,ikija poa tu,maisha yenyewe ya awamu ya tano8 michosho tu
 
The Hollow Earth is a historical concept proposing that the planet Earth is entirely hollow or contains a substantial interior space. Notably suggested by Edmond Halleyin the late 17th century, the notion was tentatively disproven by Pierre Bouguer in 1740, and definitely by Charles Hutton (1778).

It was still occasionally defended in the early-to-mid 19th century, notably by John Cleves Symmes Jr. and Jeremiah N. Reynolds, but by this time was part of popular pseudoscienceand no longer a scientifically viable hypothesis.

Kutoka Wikipedia....
 
Nashukuru Saba kuwa mawazo yako but still kuonyesha kuwa naifahamu vyema Dunia, sijaweka Conspiracy Theory ya Flat Earth. Haya mengine nimeyaweka kuwa sababu tangu nikiwa Primary niliya-doubt sana na indeed nikiri wazi kuwa, katika maisha yangu ya ukristu nimeteswa Saba na masuala haya machache ya kihistoria kwenye biblia
- Uwepo wa majitu makubwa (Nepheline) yaliyozaliwa kati ya Malaika na wanadamu
- Safina kubeba wanyama na ndege wote duniani
- Kaini kwenda kuoa nchi ya mbali (Uri?) baada ya kumuua mdogo wake Abel. Alioa nani wakati hawakuwepo binadamu wengine kipindi hicho zaidi ya Baba yake Adam na Mama yake Hawa?
- Dunia kuumbwa kwa muda wa siku sita. Ilikuwaje kwenye Continental Drift (Form III), watuambie kuwa, Pangaea ilianza kugawanyika miaka milioni 200 iliyopita?
- Umri wa miaka kutoka kuumbwa kwa Adamu hadi sasa, ni miaka ipatayo 6000 pekee. Lakini kwenye history (na Biology) tulisoma kuwa, mwanadamu ame-evolve kwa miaka mingi sana (milioni 3) ndiyo maana binadamu wa leo wametofautiana sana.
Kama sisi ni uzao wa Adamu, iweje ndani ya miaka 6000 pekee kuwe tayari na tofauti kubwa hivyo ya binadamu? Je, Red Indians wanfefikaje Amerika na kutawanyika ndani ya muda huo mfupi? Je, Aborigines wa Australia na Papua New Guinea wangefikaje huko? walitokea eneo gani, kupitia wapi na miaka ipi?
 

Sitaki kugusia masuala ya Imani kiundani, kwa sababu mimi na wewe tuna imani tofauti, na zenye mitizamo tofauti na mengine ikiwa imefanana.

- Uwepo wa majitu makubwa (Nepheline) yaliyozaliwa kati ya Malaika na wanadamu ---Katika imani yangu Malaika hakuumbwa na matamanio, hivyo hana matamanio ya ngono wala kula. Malaika kazi yao ni kumuabudu Mola 24/7 365 every nanosecond. Ila tunaamini kuwa watu wa enzi hizo, hawakuwa sawa na wa sasa ivi na waliishi umri mrefu kuliko hata sisi. Saivi ukifika miaka 45 tu unawaza kufa.

- Safina kubeba wanyama na ndege wote duniani ---- Hata Biblia imesema kuwa safina hio imebeba pair sio kwamba kuna simba 4 wamechukuliwa wote, hata hivyo wewe ni mtu wa imani na unaelewa uwezo wa Mungu, kama angetaka angembebesha dunia Noah na akaiweza yote akaihamisha.

- Kaini kwenda kuoa nchi ya mbali (Uri?) baada ya kumuua mdogo wake Abel. Alioa nani wakati hawakuwepo binadamu wengine kipindi hicho zaidi ya Baba yake Adam na Mama yake Hawa? ---- Kwa imani yangu mimi inanambia kuwa bibi Hawa/Eve alikuwa akizaa pacha na kwa wakati huo sheria ilikua Pacha wa A humuoa Pacha wa B. Kama alikwenda mbali nje ya familia yake hapo itabidi tuhoji usahihi wa hio story.

- Dunia kuumbwa kwa muda wa siku sita. Ilikuwaje kwenye Continental Drift (Form III), watuambie kuwa, Pangaea ilianza kugawanyika miaka milioni 200 iliyopita? ----- Dunia imeumbwa kwa sita, na tunaambiwa ulimwengu ina billion of years, ushawahi kujiuliza siku sita hizo kipimo chake kilikuwa nini? Kwa hesabu ya Mungu ilikuwa siku sita, kwa hesabu ya mimi na wewe, ni miaka mingi sana.

-
- Umri wa miaka kutoka kuumbwa kwa Adamu hadi sasa, ni miaka ipatayo 6000 pekee. Lakini kwenye history (na Biology) tulisoma kuwa, mwanadamu ame-evolve kwa miaka mingi sana (milioni 3) ndiyo maana binadamu wa leo wametofautiana sana.
Kama sisi ni uzao wa Adamu, iweje ndani ya miaka 6000 pekee kuwe tayari na tofauti kubwa hivyo ya binadamu? Je, Red Indians wanfefikaje Amerika na kutawanyika ndani ya muda huo mfupi? Je, Aborigines wa Australia na Papua New Guinea wangefikaje huko? walitokea eneo gani, kupitia wapi na miaka ipi?------- Hio evolution ni theory tu. Na evolution theory inapingana na creation, wanasema binaadamu hakuwa binaadamu mwanzo, sijui wanaitaje kama lakini ni kama kidudu kilikuwa, kimekwenda kwenda mpaka kikawa binaadamu, na sio binaadamu tu, icho icho kimekwenda mpaka kimekuwa mbuzi, simba n.k wanasayansi ukiwauliza kama hio theory ni kweli, mbona hatuoni binaadamu anaibuka from somwhere kama hakuzaliwa na kuumbwa. Kwanini tunakosa Binaadamu ambao hawana wazee waliowazaa? kitu kingine wanatwambia tulikuwa masokwe, haliyakuwa masokwe mpaka leo wamebaki kuwa masokwe. Hizo ni theory na sio facts.

Sasa tuache ya imani, turudi ye kidunia.

Kuna instruments nyingi tu, ambazo sio za Nasa zinatumika katika Geology, tena NASA sio watu wakuficha Hollow earth, ni Geologist, wanaohusika na kuichambua dunia, NASA anadeal na space. if the earth is hollow, what is holding the crust from falling completely?
 
Ningefurahi zaidi endapo hoja zako na zangu zingekuja kujibiwa pia na wengine badala ya mimi kukazia tu ya kwangu. Na kwa sababu wewe siyo mkristo hutayaelewa vyema. Of course kuwa mkristo tu haitoshi bali uwe msomaji wa Biblia, that's all.
 
Mm huwa nadhani hata hizi aliens movies zina ujumbe ndani yake ukiondoa entertainment
Hizo movies ni fiction tu but I tell u, zimejaza puzzles nyingi zinazosumbua vichwa vya wenzetu walioko katika nchi za mbele (Ulaya).
Mpaka leo hii, kuna watu wengi wanapinga uwepo wa Dinosaurs miaka milioni 300 - 70 iliyopita. Hivi hawa utawa-convince kweli juu ya uwepo wa giants hapo zamani na walioishi miaka zaidi ya 400?

 
Mkuu ukisema hawajawahi kwenda chinj hata km10 niambia trench kubwa hapa duniani ina umbali gani na imewah kufikiwa kwa kiasi gani by the way shimo refu zaidi kuchimbwa na binadamu linaurefu gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana core ndio kijua kidogo kinacho toa joto Kali na ncha ya kaskzini hutoke na mtoa nyizi hii amesema inasadikika inalindwa na USA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…