Je kuna stashahada na shahada ya community health?

Omary idd

Member
Sep 5, 2017
65
13
jamni sio Mara ya kwanza kuuliza swali hili japo mwanzo sikupata majibu naombeni kujua kozi ya community health INA fikia kikomo level gani jamn ama ni certificate tyu au INA fika mpka degreeee naombeni kujua kwa wale wakuuu wa idara hiii ama wataaalamu natanguliza shukrani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna degree mzumbe ambapo kozi hiyo ndipo ilipoanzia

Sent From My Nokia Ya Tochi
 
Tuna taka kufuta kada ya attendant na kuanza mtaala wa community health, ili tupate community based health workers. Iyo course isha anza baadhi ya vyuo ila ni certificate
 
Tuna taka kufuta kada ya attendant na kuanza mtaala wa community health, ili tupate community based health workers. Iyo course isha anza baadhi ya vyuo ila ni certificate
Imeanza mwaka 2015 mwishoni, na wamehtimu mwaka jana mwishoni kama first graduates japo wapo kitaa wanakomaa na hali zao.
Niliwahi kuwaona AMREF wana scholarship kwa ngazi ya diploma upande wa community health sipo sikufuatilia chuo kinachotoa diploma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jamni sio Mara ya kwanza kuuliza swali hili japo mwanzo sikupata majibu naombeni kujua kozi ya community health INA fikia kikomo level gani jamn ama ni certificate tyu au INA fika mpka degreeee naombeni kujua kwa wale wakuuu wa idara hiii ama wataaalamu natanguliza shukrani

Sent using Jamii Forums mobile app

Degree na masters ya public health ni muendelezo wa community health kwa hiyo nafasi ya kuendelea IPO mpk PhD mkuu maana UDSM,Muhimbili,bugando na kwingineko IPO public health
Lakini pia unaweza soma diploma inayohusu afya kama counseling, psychology,social work,environment health ziko nyingi mno then ukaenda degree inayohusu public health n.k
Mpaka masters
Kwa mfano mwaka huu kwa maana ya intake ya mwaka huu kuna course mpya wizara ya afya imeanzisha na walitoa pitia nacte
Ni ngazi ya diploma inaitwa District community health management hizi zote ni muendelezo wa hiyo ingawa ili usome hii diploma ni lazima uwe na diploma kwanza eidha clinical officer or nursing n.k
Elimu siyo ngumu aisee ila wewe tu
Usitake kuwe na diploma ya hicho hicho mkuu
Ishu ni kwamba itakupa fursa ya kusoma diploma zinazofanana na hiyo na utafika malengo
Ndio maana Leo utakutana na MTU kasoma certificate ya accounts lakini diploma ya business administration mwishowe degree anarudi kwenye accounting tena maana zote ziko kwenye field moja

Kwa hiyo kazi kwako mkuu,ata hiyo degree ya mzumbe unaweza soma pia ukianza na hii certificate ya community health
Kila lakheri boss
 
Back
Top Bottom