Je kuna stashahada na shahada ya community health?

Tuna taka kufuta kada ya attendant na kuanza mtaala wa community health, ili tupate community based health workers. Iyo course isha anza baadhi ya vyuo ila ni certificate
Mkuu hawa ma-attendants si itafika mahali watapewa conditions zakusoma tena ili wa-justify kuendelea kuwepo kazini?
 
Hawata ajiriwa wengine wapya, iyo kada itaachwa ife yenyewe, wata staafu na kuindoka wote
 
Asante.

Natamani hii ingefanyika hata kwa wale watendaji waliofukuzwa kazi kwa kigezo chakutokua na elimu ya kidato cha nne,wanheachwa wajiondokee natural kwa kustaafu nakutoajiri wapya ambao hawana sifa za kufika kidato cha nne.
 
Walipewa muda wajiendeleze wakaignore
 
jamni sio Mara ya kwanza kuuliza swali hili japo mwanzo sikupata majibu naombeni kujua kozi ya community health INA fikia kikomo level gani jamn ama ni certificate tyu au INA fika mpka degreeee naombeni kujua kwa wale wakuuu wa idara hiii ama wataaalamu natanguliza shukrani

Sent using Jamii Forums mobile app
Ok mkuu ngja nikupe ukwel dhidi ya community health hiyo ni kozi inayoishia basic certificate tyu ndo maana hata qualifications zake ni D NNE ila ya bioz ni lazima sasa ukitaka kuendelea kitaaluma itakubidi urisiti paper la form four iliweze kupata qualifications za nursing au kozi yoyote ya afya kama clinical officer au maabara ila kupitia health community hapo mwisho basic certificate ya mwaka mmoja tu yaaan huwez kujiendeleza kwa kupitia hiyo kozi na wanavaaa nguo za kijani hospital dhu majukumu ya hawa nadhan wanagawa dawa na kufanya usafi na wanapiga sana kazi nahisi hata wanalala hospital ila ukichaguliwa nenda ukasome then baadae unafanya kupiga paper
 
Unaongelea attendant, ni tofauti kidogo na hao wanao soma community health. Serikali baada ya kuona attendants wana soma vyuo visivo eleweka tena bila mtaala na pia kuwa na community health workers wasiolipwa mnawaita HBC, ndo waka tengeneza mtaala wa community health ili wakimaliza waajiriwe kama both attendant au CHW, nadhani vyuo vyenye hii course ni vichache na graduates ni intake moja tu ilio maliza so far, na kwakua serikali haija ajiri wengi wapo mtaani. Japo ni kweli ata wakiwa chuo huvaa nguo za kijani. Kulikua na mpango mzuri tu unaitwa CBHP wakati kikwete ndo anamaliza awamu yake sijui kama uliendelezwa
 
Saw mkuu nimekupat
 
Wan jf kwa anae jua kam kichwa cha habar kina vyo jieleza anijuze na pia vp kuusu upatakinaji wa ajira pamoja na mshahara wke ?
 
Back
Top Bottom