McCollum
JF-Expert Member
- Jan 10, 2023
- 384
- 679
Nawasilisha, simu yangu inanidai kui"update" ila nimeona nipotezee kwakuwa nitakutana na vikwazo vya matangazo ya lazima ambayo yatatokana na launcher na Apps zingine ambazo zitahusishwa kwenye process ya ku"update".
Ninachoulizia ni kwamba kuna side effect yoyote unapotumia OS ya aimu ambayo haijawa updated?