Je, kuna mivutano ya siri ndani ya CCM kwamba nani awe raisi na nani waziri mkuu na vyeo vingine ?

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,560
Reaction score
7,914
Kujiondoa kwa Majaliwa kwenye nyazifa ya ubunge baada ya kutangaza hapo awali kuwania tena kunaonesha ndani ya CCM Kuna vita inaendelea nyuma ya pazia ?

Baada ya nape kuondolewa uwaziri tuliona viongozi wa juu wa CCM wakijiondoa pia je unafikiri Nape atakuwa upande wa Samia kwenye huu uchaguzi ?
 
hakuna mvutano wowote,ama kuhusu kutogombea kwa waziri mkuu,hilo kila mtu alilitarajia kutokana na jinsi alivyokuwa anfanya wakati wa kifo cha magufuli
 
Kujiondoa kwa Majaliwa kwenye nyazifa ya ubunge baada ya kutangaza hapo awali kuwania tena kunaonesha ndani ya CCM Kuna vita inaendelea nyuma ya pazia ?

Baada ya nape kuondolewa uwaziri tuliona viongozi wa juu wa CCM wakijiondoa pia je unafikiri Nape atakuwa upande wa Samia kwenye huu uchaguzi ?
hakuna vita bali amepima kuwa mkuu wa nchi hamuhitaji tena
 
Basi humu hakuna atakaye kupa majibu sahihi maana kuna uchawa
Sio kweli, inategemea na uelewa wa watu, wote humu tuna mitizamo tofauti fofauti kwa kifupi huu ni mjadara niliouleta kwa wananchi.
 
Kujiondoa kwa Majaliwa kwenye nyazifa ya ubunge baada ya kutangaza hapo awali kuwania tena kunaonesha ndani ya CCM Kuna vita inaendelea nyuma ya pazia ?

Baada ya nape kuondolewa uwaziri tuliona viongozi wa juu wa CCM wakijiondoa pia je unafikiri Nape atakuwa upande wa Samia kwenye huu uchaguzi ?
KM hakuondoka kwa hiari...
 
Nanukuu

"Kila mwezi hapa hazina kuna hela zinatoka zinaenda kusikojulikana ni nani huyo anayefanya hivyo TAKUKURU fanyeni kazi yenu"

Hii kauli aliitoa waziri mkuu nadhani singida big stars na kizimkazi haikuwafurahisha kwasababu wao ndio wahusika 100% wa malipo ya hazina watu wamemla kichwa.
 
Attachments

  • Screenshot_20250701_195822_WhatsApp.jpg
    Screenshot_20250701_195822_WhatsApp.jpg
    141.2 KB · Views: 16
Mtu kachoka kuwa upande wa shetani kaamua kua malaika
 
Back
Top Bottom