Je, kuna madhara yoyote kutumia simu wakati unachaji?

inategemea na activity unayoifanya kwa mda huo, mathalan unachat kwa SMS hakuna shida,

ila kama uko kwa power hogs kama ku browse internet/app ( 3G au LTE ipo on and busy ) au WiFi iko on and busy au hotspot iko on and busy, au una stream 1080p video, shughuli yoyote ile inayovuta 'luku' ya kutosha, sio poa kabisa
 
Hako ka tabia ninako sana, hapa nilipo natumia simu huku ikiwa kwenye chaji.

Itabidi nijitathmini mara mbili mbili.
 
Watalaam na wazoefu je kuna madhara yoyote simu itapata ikiwa unaitumia wakati unachaji?
Unaua betri vizuri tu, mimi ni mhanga wa hii tabia na cha moto nimekiona mpaka sasa nina simu imekufa betri kwa hii tabia yaani nikisema niitoe kwa chaji niitumie basi ntatumia masaa mbili tu inazima.. Kutoka kudumu kutwa nzima mpaka masaa 2 ni revolution kubwa sana... Simu nmedumu nayo toka 2018 tu!
 
Hakuna madhala,
Ila battery huwa huaribika ikipata joto sana, ko ukifanya heavy task games ambazo huongeza temperature ya cm pamoja na kucharg ambayo pia huongeza joto la cm ndo unauwa battery, ila kupiga au kubrowse au kama unacheza gem na joto liko chin haina shida, Inategemea na aina ya cm yko na uwezo wake wa kucharg na kumantain temperature uku ukiitumia
Kutumia cm ikiwa chatg hamna tofaut na ukitumia laptop ikiwa charg, kama kaathali kapo bas ni upande wa battery stress

Hayo mambo mara italipuka au unaongeza mionzi ni maneno tu ya wabongo wa watu wa mtaani walikaa kikundi wakakubaliana kusambaza ujinga
 
Kifupi mkuu ni joto, Joto ndio linaua simu na Battery, kama simu inapata Joto sana unapofanya hio activity ujue kuna madhara
Kuchaji simu(smartphone) kwa umeme wa solar kuna madhara yoyote kwa simu itapata hususani Battery.
 
Simu hata haijui inachajiwa na solar ama umeme wa kawaida, cha muhimu ni charger yako tu ina quality gani na inapeleka umeme kiasi gani, na simu isipate joto.
Chief charger ambayo inachaji very slowly ina athari yoyote kwa battery la simu?
 
Kutumia cm ikiwa chatg hamna tofaut na ukitumia laptop ikiwa charg
Tofauti ipo,
Tofauti ipo kwenye mfumo mzima wa kupoza kifaa husika
Kagua laptop yako utaona cooling system yake ilivyo, ndio unawezesha laptop kuendelea kutumika 24/7, bila kuleta madhara kwa kifaa husika.
 
Tofauti ipo,
Tofauti ipo kwenye mfumo mzima wa kupoza kifaa husika
Kagua laptop yako utaona cooling system yake ilivyo, ndio unawezesha laptop kuendelea kutumika 24/7, bila kuleta madhara kwa kifaa husika.
Zote zina cooling system sema tofaut yake ni ukubwa tu, anyways my point ni kuwa ata laptop ikiwa charg uku unatumia na ikawa hot kinachoharibika mostly ni betry tu, maana ion battery hazitak joto wala bardi
 
Tofauti ipo,
Tofauti ipo kwenye mfumo mzima wa kupoza kifaa husika
Kagua laptop yako utaona cooling system yake ilivyo, ndio unawezesha laptop kuendelea kutumika 24/7, bila kuleta madhara kwa kifaa husika.
Ata cm inatumika 24/7 kaka,
Kuna laptop ambazo cooling system yake ni kama ya cm tu kama ni zile mac,
Pia kuna cm zenye fan cooling system
All in all computer inatengeneza joto sana kwa kama haina power reserve ya kutosha
 
Watalaam na wazoefu je kuna madhara yoyote simu itapata ikiwa unaitumia wakati unachaji?
Madhara yapo endapo sim itakuwa inapat jotoo. Hapo utakuwa unauaa battery. Ila Lithium ion battery zko friendly san
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom