Je, kuna madhara yatakayo pata mahindi kwa kutowekewa udongo baada ya kutumia sumu ya kuangamiza magugu inayoacha mahindi pekee?

Amato Ngowi

Member
Apr 15, 2020
9
6
Habarini ndugu zangu natumai mko vyema na majukumu yenu ya kila Siku ya maisha. Ningependa kutumia nafasi hii kupewa elimu juu ya kilimo cha mahindi.

Swala langu limejikita sana katika kufahamu, Je Kuna madhara yeyote yatakayo pata mahindi yasipopata au kuwekewa udongo baada ya kutumia sumu ya kuangamiza magugu ambayo sumu hiyo inauwa magugu na kuacha mahindi pekee?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kurudishia mahindi udongo haihusiani na kupiga dawa magugu hivyo unaweza kurudishia kabla au baada ya kupiga dawa.
 
Mkuu, bado unaonekana kuchanganya mafile.. Hakuna uhusiano wowote wa kufanya ething kwenye mahindi na hyo Post-emergence Application au selected herbicides application..
So jaribu kuliandaa vizuri swali lako ili wataalam wa kilimo tukusaidie ipasavyo
 
Back
Top Bottom