Je kuna kampuni inayokodisha maduka kariakoo

Je kuna kampuni inayokodisha maduka kariakoo

Somoe

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
754
Reaction score
282
Kwanza naomba mnisamehe, mie nataka kufanya biashara ya vitu vya bei mbaya na high quality maeneo ya posta mpya, kariakoo, ila sasa sijajua jinsi ya kupata duka la kulikodi. Je kuna kampuni inayokodisha maduka kariakoo au Posta au mnazi mmoja? Nisaidieni mwenzenu natanguliza asante
 
Back
Top Bottom