Je, kuna haja ya kuendelea kutumia Sanduku la Posta (SLP) katika shughuli za kiofisi ukizingatia teknolojia imeshakua sana?

La kazi gani kwanza
Nimefuatilia hoja zako tangu mwanzo.Tangu ulipouliza swali.
Una vita ya biashara na shirika la posta. Majibu unayopewa na wachangiaji wenzio wewe unawa crash as if you know everything involving with courier services.
Sina hakika kama exposure yako kimataifa imevuka mipaka kiasi gani.
Popote ulipo katika Jamhuri hii ya Muungano wa Tanzania:
1: Mitaa yetu ya barabara haijulikani . ie Manzese kwa Tumbo, Magomeni kwa Mfipa,Keko Magurumbazi, Kifua wazi(mza),Mji atleast ambao mitaa yake iko vizuri ni TANGA.
2:Nyumba zetu Tanzania nzima hazina number reliable akiacha hizi zinazowekwa Dar zilizoishia baadhi ya maeneo katikati ya jiji.
3: Umiliki wa namba za simu za mkononi. Simu moja ina line zaidi ya moja.Umeagiza kifurushi kwa kuandika line ya tigo, wakati mzigo unafika umechomoa line ya tigo umeweka vodacom. Agent anapiga line ya tigo anaambiwa (the subsciber is not reacheable.
Una hoja nzuri lakini usiue biashara ya taasisi nyingine.Kuna makampuni mengi ya usambazaji mizigo, kama posta kwako sio tija tumia hayo mengine(dhl, tnt,ups etc)
 
1.) Kisa nchi zilizoendelea wanafanya / hawafanyi kitu fulani isiwe baseline ya sisi kufanya au kutofanya maana mazingira yanatofautiana, ndio maana kule ushoga umeruhusiwa na huku umeharamishwa, ni suala la kujenga hoja tu.

2.) Kama laini za simu zimesajiliwa tena kwa alama za vidole, kuna tatizo gani endapo wito wa korti au rufaa za hospitali zikatumwa kwa email (barua pepe), whatsapp, sms nk.? Why not?! Why the hell not??!!!

3.) Hivi ukifanya shopping online unalazimika kutoa namba ya kisanduku cha posta ili kuletewa huduma mlangoni kwako, jamani, si unawapa tu adress ya mtaa uliopo pamoja na namba yako ya simu ili akifika akupigie, nimeshanunua saa online mara nyingi sana na nawapa tu jina mtaa niliopo pamoja na namba yangu ya simu, naipta kiulaini kabisa..!!

4.) Ndugu, i assure you ni rahisi kufuata nyaraka kama leseni nk. kwenye ofisi husika kuliko kuisubiri iletwe kwenye kisanduku cha posta, isipopotea basi jua itachelewa mno, kama huamini, jaribu halafu lete mrejsho hapa, maana utapiga ruti za kwenda ofisi ya posta hata mara 10 na usijue kinakuja lini, ila ukienda ofisi husika wanakupatia papo hapo na kuondoka, sasa ipi bora?! Tumia akili basi hata kidogo tu, vipi wewe??!!!

Halafu mods hiki kiherehere cha kuweka majibu on top kwenye nyuzi za watu wakati majibu yenyewe ni upuuzi tu mnajidhalilisha bure tu, natoa sasa hilo jibu, uzi si wangu..
Ndugu
Pole kwa changamoto kuna mambo ya muhimu hujazingatia labda umesoma sana na kukaa mjini mno kiasi kwamba nchi yako unashindwa kuitambua vema
Mosi.asilimia sabini hawapo kwenye makazi rasmi wala kutumia line za simu au watsap zao.unaweza kukuta mtu ana wasap ila kasajiliwa na wakala na hajui km ana email.
Pili suala la kisheria.sheria inatambua sandulu la posta km njia rasmi
Tatu.matumizi ya umma km shule nk km utatumia mifumo ya kisasa ulotaja kuna uwezekano uka personalise au kuleak taarifa za watu kwa njia rahisi.
Nne lengo na gharama unayosevu nayo ni ya kuzingatia.je unasevu nn,je unalazimishwa kutumia SLP .je mfumo wa kubifadhi taarifa majarada utakuwa wa online,watu wanauelewa kwa kiasi gani na una manpower ya kutosha kuendelea na mfumo mpya na kufuta wa zamani.
Kwa mda huu ni hayo
 
Nimefuatilia hoja zako tangu mwanzo.Tangu ulipouliza swali.
Una vita ya biashara na shirika la posta. Majibu unayopewa na wachangiaji wenzio wewe unawa crash as if you know everything involving with courier services.
Sina hakika kama exposure yako kimataifa imevuka mipaka kiasi gani.
Popote ulipo katika Jamhuri hii ya Muungano wa Tanzania:
1: Mitaa yetu ya barabara haijulikani . ie Manzese kwa Tumbo, Magomeni kwa Mfipa,Keko Magurumbazi, Kifua wazi(mza),Mji atleast ambao mitaa yake iko vizuri ni TANGA.
2:Nyumba zetu Tanzania nzima hazina number reliable akiacha hizi zinazowekwa Dar zilizoishia baadhi ya maeneo katikati ya jiji.
3: Umiliki wa namba za simu za mkononi. Simu moja ina line zaidi ya moja.Umeagiza kifurushi kwa kuandika line ya tigo, wakati mzigo unafika umechomoa line ya tigo umeweka vodacom. Agent anapiga line ya tigo anaambiwa (the subsciber is not reacheable.
Una hoja nzuri lakini usiue biashara ya taasisi nyingine.Kuna makampuni mengi ya usambazaji mizigo, kama posta kwako sio tija tumia hayo mengine(dhl, tnt,ups etc)
Nadhani hujui gharama kubwa ya hasara inayoletwa na ‘Redundancy of resources’ katika mashirika ya umma, nimesema sipingi huduma ya vifurushi bali napendekeza huduma ya visanduku vya posta viondolewe maana ni upotevu wa muda, pesa na rasilimali watu, badala yake namba za simu na barua pepe zitumike kuwafikishia watu barua na vifurushi vyao, mfano tufanye research humu JF, mara ya mwisho ni nani kaenda kuchukua barua kwenye kisanduku? Karibu wote humu tunapokea kwa email, technology imekuwa!
 
Yaani uweze kusubscribe na kulipia kisanduku cha posta kila mwaka halafu ushindwe kuregister email ya bure gmail au yahoo? Kama si uwendawazimu huo tuuiteje?
Kuna mtu kaenda kununua dubai fuso 4 na fedha keshi .lkn hana email.ila ana sanduku la barua.nenda mafinga nenda sumbawanga nenda katavi na kigoma fanya sensa idadi wenye kumiliki biashara na wanatumia masunduku posta au barua pepe
 
Ndugu
Pole kwa changamoto kuna mambo ya muhimu hujazingatia labda umesoma sana na kukaa mjini mno kiasi kwamba nchi yako unashindwa kuitambua vema
Mosi.asilimia sabini hawapo kwenye makazi rasmi wala kutumia line za simu au watsap zao.unaweza kukuta mtu ana wasap ila kasajiliwa na wakala na hajui km ana email.
Pili suala la kisheria.sheria inatambua sandulu la posta km njia rasmi
Tatu.matumizi ya umma km shule nk km utatumia mifumo ya kisasa ulotaja kuna uwezekano uka personalise au kuleak taarifa za watu kwa njia rahisi.
Nne lengo na gharama unayosevu nayo ni ya kuzingatia.je unasevu nn,je unalazimishwa kutumia SLP .je mfumo wa kubifadhi taarifa majarada utakuwa wa online,watu wanauelewa kwa kiasi gani na una manpower ya kutosha kuendelea na mfumo mpya na kufuta wa zamani.
Kwa mda huu ni hayo
1.) Suala la kutokua na makazi rasmi hakukuzuii kuwa na barua pepe au namba ya simu vitakavyokuwezesha kupokea barua na vifurushi kwa urahisi kabisa. Siku hizi kuna hadi simu za 15,000/=, i think this is cheaper than kusubscribe na kulipia kisanduku cha posta anually, achilia mbali nauli za kwenda kucheki kisanduku regulary, lets say weekly, its simple logic! Kuna hadi smart vitochi vya 25,000/= zenye whatsapp, hii ni cheaper kuliko kusubscribe na kulipia kisanduku cha posta anually na kukifuata kukiangalia kama kina barua kila wiki, its simple logic!!!
2.) Suala la sheria si hoja, ndio lengo hasa la uzi kuleta mjadala utakaopelekea muswada bungeni, ndio lengo hasa la mijadala. Niliwahi kushauri humu kwamba road license ziunganishwe kwenye kodi ya mafuta, walibishabisha humu ila eventually logic triumphed, niliwahi kupendekeza humu mifuko ya plastiki ipigwe marufuku, wakabishabisha humu eventually logic thrived, niliwahi kuoendekeza traffic police wafungiwe mashine za EFD, wakabishabisha humu ila leo tunaona faida zake za trffic kutoa faini za mashine, hiyo ni mifano michache kati ya lukuki humu.

3.) Taarifa italeak vipi, kama taarifa ni yako binafsi kwanini itumwe kwenye email au sms / whatsapp number ya shule, kama computer ni moja unalogout baada ya kusoma email yako...
4.) Gharama inayotakiwankuokolewa sio kwa upande wa mtumiaji tu, hasa ni kwa shirika lenyewe kwa kucha kurndesha redudunt system wataokoa mabilioni, kumbuka lile ni shirika la umma, we all have a stake in it!
 
Hizo njia unatumia ww je kila mtu anapaswa alazimishwe kufuata njia hizo. je kumiliki simu ni lazima?km si lazima kwa nn alzimishwe kuwa na simu?ni wazo zuri ila kuna washtak na washtak na washtakiwa hawana simu wala sanduku.
Pia si lazima utumie sanduku la posta kuna makampuni mengi yana huduma mbadala.
Hata hao shirika la posta wana huduma nyingi za kupokea na kutuma pesa barua na vifurushi.
Pesa wanayopata kutokana na sanduku la posta wakiifuta wataipata kwa huduma zipi zingine ambazo kwa sasa hawapati.
Km yahoo na gmail ni bure je shirika la posta walazimishe mtu kuwa na barua pepe ya posta?
Je kwa afrika na dunia na hasa nchi zinazoendelea wamefuta masanduku ya posta?
 
Kuna mtu kaenda kununua dubai fuso 4 na fedha keshi .lkn hana email.ila ana sanduku la barua.nenda mafinga nenda sumbawanga nenda katavi na kigoma fanya sensa idadi wenye kumiliki biashara na wanatumia masunduku posta au barua pepe
Kaweza kwenda dubai ashindwe kuregister free email account gmail au yahoo?, kama sio uwendawazimu huo tuuiteje?
 
Hizo njia unatumia ww je kila mtu anapaswa alazimishwe kufuata njia hizo. je kumiliki simu ni lazima?km si lazima kwa nn alzimishwe kuwa na simu?ni wazo zuri ila kuna washtak na washtak na washtakiwa hawana simu wala sanduku.
Pia si lazima utumie sanduku la posta kuna makampuni mengi yana huduma mbadala.
Hata hao shirika la posta wana huduma nyingi za kupokea na kutuma pesa barua na vifurushi.
Pesa wanayopata kutokana na sanduku la posta wakiifuta wataipata kwa huduma zipi zingine ambazo kwa sasa hawapati.
Km yahoo na gmail ni bure je shirika la posta walazimishe mtu kuwa na barua pepe ya posta?
Je kwa afrika na dunia na hasa nchi zinazoendelea wamefuta masanduku ya posta?
Kumbe najadiliana na taahira?! Subiri,Am driving, nitafafanua kwa kirefu...
 
Mkuu naomba nichangie
Mosi,Asante kwa kuniita taahira.
Pili,Lengo kujuzana sio kashfa na lazima tukubaliane kutokubaliana pale inapobidi
Tatu,km kuna njia mbadala ambayo unaweza okoa pesa ya umma au ukashauri namna bora ambapo shirika la posta linaweza kuboresha huduma aukuongeza huduma au kutoa huduma tunajadiliana..swali la msingi je wakiondoa masanduku je faida na hasara kwa shirika ni zipi.kiuchumi.,kijamii wananchi asilimia 80 wana uwezo wa kupata huduma pasipo changamoto.?
Ni mimi taahira ....kutokana .mpakani mwa tanzania na msumbiji mkoani ruvuma.
Usiku mwema
 
Aisee, tafuta mtu mwingine wa kumpotezea muda..
 
Kwa kuwa namba za simu zote zinaelekea kusajiliwa kwa alama za vidole na matumizi ya simu janja yakiwa yanaongezeka kwa kasi, nadhani ni wakati muafaka sasa kuacha kutumia S.L.P na badala yake namba za simu za mkononi na barua pepe (e-mail) zikawa ndio identity kuu ya namba za mawasiliano, ambapo barua zote zitakuwa zinatumwa kwa email au sms, nadhani kuendelea kuwa na masanduku ya posta ni upotevu wa rasilimali (redundant system).
Haja bado ipo na sababu kubwa ni TRUST

Kuna watu, ofisi ikiwa na sanduku la barua na LANDLINE, huwa wanaziamini sana ofisi hizo kuliko zenye e-mail na namba za simu za mkononi...
 
Back
Top Bottom