Mpigamaji
Senior Member
- Oct 24, 2018
- 151
- 235
Habari wana JF. Naomba kujua kama kuna dawa ya kuozesha visiki vya miti baada ya kukata miti shambani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Boss we tafuta hiyo Tordon au ukipata nyingine yenye sifa kama hzo tumia. Issue ya kuharibu udongo kma ni hivyo mashamba ya mipunga yote saiz yangekuwa yalishaacha uzalisha kwa sababu ya matumiz ya chemicals. Au njia zingine kma misumari japo namimi sjawahi jaribu, nitaijaribu siku siyo ngingi kuona uwezo wake. Issue ya kung'oa itakukost muda kusumbuana na vibarua.
Kila dawa inamelezo ambayo yanachambua ni namna gani ya kutumia pia kma inaacha mabaki kwenye udongo (residual effect) kwa mda gani inashauri usipande zao fulani ili kuepuka hatari za mbegu kuto kuota au mmea kukua kwa shida. Hakuna mataifa yanatumia hiz chemical kuliko mataifa ya America na Asia na hatujawahi sikia uzalishaji kupungua kwasabu ya kupoteza rutuba kuliko sababishwa na matumizi ya hiz mambo..
Nakutakia uteketezaji mwema wa visiki.