Njia za Asili za Uzazi wa Mpango (Natural birth control methods)

Tumia kalenda
Tumia Ndomu.

Mambo ya Kupaisha mpira(kupizi nje) usijaribu garantii ni zero.....Mavijiti na Misindano na Midawa Mkeo atakuwa na Tumbo kama Pipa na shepu itakuwa kama ya sanamu la MICHELINI.
 
Tumia kalenda
Tumia Ndomu.

Mambo ya Kupaisha mpira(kupizi nje) usijaribu garantii ni zero.....Mavijiti na Misindano na Midawa Mkeo atakuwa na Tumbo kama Pipa na shepu itakuwa kama ya sanamu la MICHELINI.
Kalenda na Condom ni reliable kiasi % ngapi?
 
100% Mkuu.
Kwa kuwa tumepata idadi ya watoto tutakaoweza kuwapa huduma 100% hatutaki kuongeza kabisa,vidonge vimefanya mke wangu akose hamu kabisa. sasa tuna mwezi ameacha kuvitumia na amerudia hali yake ya kawaida.

Je, calenda na condom zinapaswa zitumike pamoja au njia moja inatosha kuhakikisha mafanikio?
 
Habari waungwana. Hebu Leo tushirikishane kidogo kuhusu dawa asili za uzazi wa mpango. Kiufupi jamii ya Sasa imekuwa ikijikita katika maswala haya ya uzazi wa mpango kwa kutumia njia za kisasa licha ya kuwa tafiti zinaonesha kwamba njia hizi zina faida ila madhara yapo pia.

Kwa kuzingatia uzoefu katika jamii je hazijawahi kugunduliwa dawa za asili za uzazi wa mpango na kama zipo hebu tu share uzoefu mana du isijekuwa majanga siku za mbeleni huko mana kama tafiti zinaonesha kwamba madhara yapo isijekuwa Kuna long-term effects ambazo zawazaonekana na zaweza kuwa mbaya zaidi as time goes.

Uwepo wa dawa asilia ungewezasaidia nusuru hali.
 
Habari waungwana.Hebu Leo tushirikishane kidogo kuhusu dawa asili za uzazi wa mpango.Kiufupi jamii ya Sasa imekuwa ikijikita katika maswala haya,ya uzazi wa mpango kwa,kutumia njia za kisasa licha ya kuwa tafiti zinaonesha kwamba njia hizi zina faida ila madhara yapo pia.

Kwa kuzingatia uzoefu katika jamii je hazijawahi kugunduliwa dawa za asili za uzazi wa mpango na kama zipo hebu tu share uzoefu mana du isijekuwa majanga siku za mbeleni huko mana kama tafiti zinaonesha kwamba madhara yapo isijekuwa Kuna long-term effects ambazo zawazaonekana na zaweza kuwa mbaya zaidi az tym gz.Uwepo wa dawa asilia ungewezasaidia nusuru hali.
Lengo lako ni nini Mkuu?
Kwani uzazi wa mpango si unajipangia ww mwenyewe i.e. Uzae lini na uzae mara ngapi?
1. Wazee wetu zamani walikuwa wanatumia weledi na heshima katika tendo la kujamiiana. Lakini siku hizi tendo hilo limechukua sura mpya ya Starehe na biashara zaidi ndo maana juhidi za kila namna zinafanyika ili kuzuia mimba isiwepo. au ww hilo hulioni? Akina Ke wengi wanatumia tendo hilo kama njia mbadala ya kujikimu kimaisha. :oops: :oops: Akina Me takriban wote wanaichuchumalia sana hiyo starehe mchana na usiku lakini hawako tayari kubeba au kuwajibika kwa matokeo yake.
2. Hata hivyo zipo njia salama za kutumia dawa za asili (Biologicals/mitishamba) e.g. matumizi ya nyonyo(Mbarika) castor plant seed/bean(Ricinus communis).
Subiri na wengine watakuongezea. Lakini uzingatie pia kwamba yapo magonjwa ambayo ni hatari kwa afya yako.
 
Wengi wanatamani kuwa na mpango wa uzazi lakini kinachowachosha na kuwatatiza ni njia gani hasa watumie katika kupanga huo uzazi

Usipate tabu tena, chukua (mbegu ya) mbarika yaani nyonyo kisha ondoa ganda lake lile gumu ibaki ile punje ya ndani. Meza punje moja kila mwezi!

Imeisha hiyo
 
Hbr wa kuu kwakuw kila miaka2/3 nakuw napgwa na kitu kzto accidentally sasa naona kama nitaend kufeli kutimiza malengo kadhaaa

Mara zote huwa na msisitiz mwenzangu kutumia njianza calendar lakn sijui inakuaje yanatokea ya kutokea .

Napend tupean tujuzane njia sahihi (nzuri za uzaz wa mpango) ambazo hazina madhara kwa afya ya mwanamke .?

Kwa akili zangu za awali niliwah kusikia kuhusu kitanzi je ufanis ubora na maudhi yake yapoje ?
 
Wengi wanatamani kuwa na mpango wa uzazi lakini kinachowachosha na kuwatatiza ni njia gani hasa watumie katika kupanga huo uzazi

Usipate tabu tena, chukua (mbegu ya) mbarika yaani nyonyo kisha ondoa ganda lake lile gumu ibaki ile punje ya ndani. Meza punje moja kila mwezi!

Imeisha hiyo
hebu eleza vizuri unatumiaje hiyo mbarika ili mimba isitungwe, mbarika ninazo nyingi hapa. Kwa hiyo ukimeza zinaenda kuvuruga mfumo wa homoni kama p2?
 
Back
Top Bottom