Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,263
- 44,391
Kweli kiongoz!! Ngoja niamie htc one m8 first copy naweza pata wapi mkuu??
kaka sidhani kama watengeneza clone wanaweza kutengeneza unibody ya alluminium kama m8.
Kweli kiongoz!! Ngoja niamie htc one m8 first copy naweza pata wapi mkuu??
Mkuu nadhani wanaweza ukimfuatikaka sidhani kama watengeneza clone wanaweza kutengeneza unibody ya alluminium kama m8.
Mkuu sio clone tu hata simu zisizo na viwango wala kutambulika na wadau wa simu mfano Tecno
Nilipata kuambiwa Tecno hairuhusiwi china wala huwezi kuta mtu anatumia tecno china maana haijakidhi vigezo vya kiusalama
Na sio china tu nchi yoyote wanayojali usalama tecno hazipo
Kitu muhimu ni kujaribu kutafuta original na pia tembelea reputable site kujua simu zenye vigezo na sio kununua simu za kwenye blog na site uchwara
mkuu please tunaomba reference kuhusu tecno na hayo maelezo yako... citation needed. please please please
no citation , no research no right to speak :wacko:
Kweli kiongoz!! Ngoja niamie htc one m8 first copy naweza pata wapi mkuu??
actually wewe/tecno ndio wanatakiwa watoe proof kuwa ina kiwango na sio yeye.
ukiwauliza TBS bidhaa zisizo na viwango hawawezi kuzijua zote ila ukiwauliza zenye viwango watakutajia zote sababu database za mamlaka hizi za viwango huwa ni za bidhaa halali.
mfano ni kama mimi nitengeneze tomato sauce vichochoroni halafu nianze kubishana na watu wanipe proof kuwa si halali. hali ya kuwa mimi mtengenezaji ndio natakiwa kutoa proof ya bidhaa yangu
sizungumzii uhalali wala uharamu wa tecno.
nilitaka kujua hayo maelezo yake kayatoa wapi..... amezungumza kuwa ame quote somewhere .... ndio nimekuwa interested na hicho chanzo cha habari yake alikoitoa.....
Kwel mkuu Tanzania ufuatiliaje hakuna kabisa..
Technology ya kutengeneza simu imekuwa so easy-kiasi kwamba kuna fake za high end functionality ni 100%
Ukitumia hizi no zinazotangazwa na TCRA kwa njia ya kuangalia IMEI si unaweza kutambua clonekwanza hakuna feki ambayo ipo sawa na original
pia fake ikiwa sawa na original then kutakuwa hakuna tofauti ya bei.
yap unaweza ila sio 100% safe sababu simu clone zinatumia mediatek na simu za mediatek ni rahisi sana kubadili imei.Ukitumia hizi no zinazotangazwa na TCRA kwa njia ya kuangalia IMEI si unaweza kutambua clone
Majibu mujarabu kabisaaa..Wakuu habari,
Siku hizi kuna simu nyingi sana ambazo ni clone ya simu original, nyingi ikiwa ni za samsung... Juzi kati niliona moja ambayo ni ya samsung galaxy note 3, nilishangazwa kuona jinsi gani perfomance yake haikuwa mbaya sana na pia jinsi ilivyokuwa kwa sababu kwa macho ya juu juu inaonekana kama ni ya kweli.
Given kwamba ina android na all the functionalities are the same kama simu yoyote ya android, i mean naweza run any android app hata kama ni clone, so nikawa najiuliza kuwa kuna hasara gani kubwa haswa mtu akitumia simu ambayo ni clone kama kila kitu cha android kinafanya kazi.
Kama akiamua kupotezea swala la official updates au ni ile tu mtu kichwan kwake inamuuma kwamba anatumia kitu ambacho sio chenyewe 100% wakati bado anaweza kufanya kila kitu?
Thanx
Kaka kuna kitu kimoja muhimu sana watu wanakisahau wanapochagua simu nacho ni SAR
SAR ni kiasi cha miaonzi ambacho mwili wa binadamu una-absorb. kila unapoongea na simu ujue kichwa chako kinakuwa kinazungukwa na hii mionzi. kuna kiasi cha mionzi kinakuwa ni salama kwa binadamu na kuna kiasi kikizidi kinaweza kuleta madhara.
Wenzetu wa marekani wana FCC kwa ajili ya kupima simu, Ulaya wana EU na baadhi ya nchi kama india wanatumia FCC pia.
Hawa FCC na EU wanazipima hizi simu kama zina mionzi mibaya na ni salama kutumika kwa binadamu then zikifaulu ndio zinaruhusiwa kupita madukani. Ila sisi Tanzania hakuna chombo cha ukaguzi na tunanunua simu ambazo hazijawahi kupimwa kabisa na tunakuwa kwenye risk na hii michina. 7
Ukichunguza watu wengi wanaokuja kudump simu africa huwa simu hizo haziuzwi ulaya na marekani wanaogopa kuzipeleka sababu simu zinakuwa hazina viwango. hili ni jambo kubwa la kuliangalia kwenye afya yako.
Matatizo mengine ya clone zinakuwa pia sio reliable, unaweza kuiformat simu ikabadilika kabisaa, touchwiz ikatoka, boot animation ikabadilika, au hata isiwake tena. pia wana tabia ya kudanganya specs run cpu z ili kuona specs halisi za simu.
naomba niulize swali-je kila simu inayotoka china ni fake au kuna original piakwanza hakuna feki ambayo ipo sawa na original
pia fake ikiwa sawa na original then kutakuwa hakuna tofauti ya bei.
simu za zamani zilikuwa ni hand made yaani vifaa vinapachikwa kwa kutumia mikono ndio maana kwa zamani ilikuwa ni muhimu kujua simu ni made in wapi.naomba niulize swali-je kila simu inayotoka china ni fake au kuna original pia