Je! Kuna athari gani ya kutumia simu (Feki) clone/copy?

Je! Kuna athari gani ya kutumia simu (Feki) clone/copy?

simu za zamani zilikuwa ni hand made yaani vifaa vinapachikwa kwa kutumia mikono ndio maana kwa zamani ilikuwa ni muhimu kujua simu ni made in wapi.

simu za siku hizi karibia asilimia 90 zinatoka china, simu kibao original ni made in china zikiwemo simu maarufu kama iphone na samsung galaxy na viwango vinakuwa vikubwa tu.

hivyo usiogope simu za made in china pia ni original, simu fake zinajulikana kwa kuangalia ufake wake wa vitu vilivyotumika kutengenezea hio simu
Ulichokizungumza kuhusiana na maswala ya mionzi ni kweli kabisa. Niliwahi bahatika kutembelea banda la TCRA kipindi cha nanenane mwaka fulani na nikawauliza uvumi wa minara ya simu na madhara kwa binadamu.

Walinieleza mengi na kunitoa hofu, ila walichosema kikubwa cha kukiogopa ni simu yako unayotumia maana kama haina kiwango kinachokubalika cha mionzi salama basi madhara ni makubwa kuliko huo minara watu wanayo iogopa.

Kwa mtazamo wangu nadhani mamlaka husika wanapaswa watoe elimu juu ya utumuaji wa simu original kwa ajili ya afya ya mtumiaji.
 
Sasa hapo mwananchi aliyenunua simu hiyo dukani ndani ya nchi kosa lake nini? Mnamuonea bure mkimfungia simu yake. Mngezizuia zisiingie nchini yeye angeipatia wapi?
 
Athari zipo but ni kidogo sana mionzi mnayoisemea ni low frequency Electromagnetic waves hivo sio rahsi madhara yake kuonekana hapo kwa hapo hata jua lina mionzi hiyo pia Hivo hatuko safe sana na clone ila pia tusiwe na hofu nazo sana maana bado tuwachanga ktk technology
 
Kweli kiongoz!! Ngoja niamie htc one m8 first copy naweza pata wapi mkuu??
Kwanini unaangaika na copy mkuu? Hakuna issue ya first copy wala second copy...zote hizo ni fake..bora utumie hata s2 original kuliko m8 copy unayoitaka wewe.
 
kaka wewe umekomaa na first copy tuuu. ushaambiwa copy zina madhara. miale yake ni hatari kwa afya. Go for original brand or tafuta hata nokia kitochi.
uhai ni afya. uhai una thamani kuliko umayoo. usihatarishe afya yako...
life is worth more than gold ---- bob marley
Huyu jamaa namshangaa sana..tunaongelea hasara na madhara ya simu fake, ajabu yeye ndo anazid kuzisaka
 
Sasa hapo mwananchi aliye nunua simu iyo dukani ndani yanchi kosa lake nini mnamuonea bure mkimfungia simu yake..mngezizuia zisiingie nchini yye angeipatia wapiii?
Huwezi ku control kila kitu kwa 100% ukizngatia kwa serikali zetu hizi rushwa imetawala..mtu analeta zigo fake anahonga kitu kidogo basi mzigo unaingia sokoni.kikubwa maamuzi yapo kwetu nini kinafaa na nini cha kukiacha regardless serikali inalichukuliaje hilo swala.
 
Wakuu habari,

Siku hizi kuna simu nyingi sana ambazo ni clone ya simu original, nyingi ikiwa ni za samsung... Juzi kati niliona moja ambayo ni ya samsung galaxy note 3, nilishangazwa kuona jinsi gani perfomance yake haikuwa mbaya sana na pia jinsi ilivyokuwa kwa sababu kwa macho ya juu juu inaonekana kama ni ya kweli.

Given kwamba ina android na all the functionalities are the same kama simu yoyote ya android, i mean naweza run any android app hata kama ni clone, so nikawa najiuliza kuwa kuna hasara gani kubwa haswa mtu akitumia simu ambayo ni clone kama kila kitu cha android kinafanya kazi.

Kama akiamua kupotezea swala la official updates au ni ile tu mtu kichwan kwake inamuuma kwamba anatumia kitu ambacho sio chenyewe 100% wakati bado anaweza kufanya kila kitu?

Thanx
Binafsi clone ina madhara mengi tu kwa upande wangu.
Kwanza kwenye issue ya mionzi tumeona jinsi gan ni hatar kwa afya zetu

Pili,hazidumu hizi simu kama original hii pia ni shida .

Tatu,hazina support hizi simu, ndio mana kupata tu rom zake ni shida..imagine umebrick leo copy yako na rom zake hazipo online sijui unaanzaje.
Kingine hazina quality nzuri hasa upande wa camera na performance kiujumla.
Mfano mzuri anza kuhesabu threads za tecno humu jukwaani zinazidi 100.hii inaonyesha jinsi gani hizi simu hazifai.
 
Tutajie fake ambayo functionality ni 100%
mimi mwenyewe ninayo hata jina silijui nilinunua pound 200 ebay kutoka China-ina mwaka sasa ina kila mod con under the sun na ni 4G. kama ni mionzi or whatever almost kila kitu kina drawbacks-ni sawa na mvuta sigara anajua ni mbaya but yet anavuta
 
Hahah inategemea lakini na unavyo itumia...hata ukiwa na copy la s3 ukawa unapiga na kutuma sms mbona sawa tu.
 
Hahah inategemea lakini na unavyo itumia...hata ukiwa na copy la s3 ukawa unapiga na kutuma sms mbona sawa tu.
Niko dunia ya kwanza ninaposema ina mod cons zote nadhani unaelewa-anything under the sun ina respond
 
mimi mwenyewe ninayo hata jina silijui nilinunua pound 200 ebay kutoka China-ina mwaka sasa ina kila mod con under the sun na ni 4G. kama ni mionzi or whatever almost kila kitu kina drawbacks-ni sawa na mvuta sigara anajua ni mbaya but yet anavuta
unaweza download cpu-z ukatuma screenshot?
 
Binafsi clone ina madhara mengi tu kwa upande wangu.
Kwanza kwenye issue ya mionzi tumeona jinsi gan ni hatar kwa afya zetu

Pili,hazidumu hizi simu kama original hii pia ni shida .

Tatu,hazina support hizi simu, ndio mana kupata tu rom zake ni shida..imagine umebrick leo copy yako na rom zake hazipo online sijui unaanzaje.
Kingine hazina quality nzuri hasa upande wa camera na performance kiujumla.
Mfano mzuri anza kuhesabu threads za tecno humu jukwaani zinazidi 100.hii inaonyesha jinsi gani hizi simu hazifai.

Hapo mie sijakuelewa...
 
mimi mwenyewe ninayo hata jina silijui nilinunua pound 200 ebay kutoka China-ina mwaka sasa ina kila mod con under the sun na ni 4G. kama ni mionzi or whatever almost kila kitu kina drawbacks-ni sawa na mvuta sigara anajua ni mbaya but yet anavuta
Sina hakika kama like imekutosha
 
Athari zipo but ni kidogo sana mionzi mnayoisemea ni low frequency Electromagnetic waves hivo sio rahsi madhara yake kuonekana hapo kwa hapo hata jua lina mionzi hiyo pia Hivo hatuko safe sana na clone ila pia tusiwe na hofu nazo sana maana bado tuwachanga ktk technology
dunia nzima kuanzia Marekani, India hadi China wenyewe wana idara zenye budget za mabilioni kama sio matrilion ya hela kwa ajili ya kupima mionzi tu, na zipo simu zinafeli na wanaziban, unafkiri hawa jamaa ni wajinga wanahangaika vyote kuzuia mionzi midogo?

cell%20thermal%20effect.JPG

hii ndio effect yake kwa simu halali

ila wabongo sisi hatuelewi mpaka tuambiwe kwa namna hii

simu zote zinapunguza wingi na quality ya nguvu za kiume na research iliofanywa na EWG wanaume wanaongea zaidi ya lisaa 1 kwa siku kwenye simu kuanzia 2005 hadi 2013 basi asilimia 17 ya nguvu za kiume zilipungua, hii pia inaweza MUATHIRI mwanao utakayemzaa kwenye afya yake.

kama simu original zilizopimwa zipo hivyo je hawa ambao hata quality control hawana si ndio watatumaliza kabisa?

angalia research yenyewe hapa
http://www.ewg.org/cell-phone-radia...ll-phone-radiation-damages-sperm-studies-find
 
Kaka, hiyo CPU Z ndo kitu gani, na ili kujua cm ako ina qualification inatakiwa iwe vp, sorry am layman in IT
 
Kaka, hiyo CPU Z ndo kitu gani, na ili kujua cm ako ina qualification inatakiwa iwe vp, sorry am layman in IT
cpu z ni app inayokuambia vitu vilivyo ndani ya simu yako, inakupa details za soc, ram, internal memory, battery, sensor nk ikishakuambia unavilinganisha na vya simu original kama vinafanana ni original kama havifanani ni fake.

kupata details za simu original unaangalia specs za simu kwenye website kama gsmarena
 
Back
Top Bottom