kazi kweli,
kuropoka kwa mengi kunamponza
acha wakimbie wote
mzee mnafiki sana yule
Acha waondoke wakati mzee mengi anaanzisha ippmedia hakuwa na datoo wala msaki, vijana wapo watachapa kazi tu.
kazi kweli,
kuropoka kwa mengi kunamponza
acha wakimbie wote
mzee mnafiki sana yule
Mkuu hivi unamfahamu vilivyo Loy... si mtu wa kushikwa mkono na sakina, hata kidogoKu-resign kwa waandishi hao wawili...kulitarajiwa baada ya dada yao SAKINA kupigwa chini kutokana na fitna alizoanza kuziingiza IPP Media. Hawa wote walishikwa mkono na Sakina kupelekwa The Guardian wakitokea Mwananchi kwa ahadi ya mishahara minono.
kuna jamaa wanataka kummaliza mengi katika njia zote, inabidi mjomba awe makini sana kwani hawa jamaa ni mafia na wako kwenye system nzima kuanzia serikalini mpaka kwa wananchi wa kawaida hivyo mtu mzima lazima awe makini sana
Matatizo ni makubwa, sasa hivi IPP Media hata mishahara ya wafanyakazi ni shida, haitoki kwa wakati. Inasemekana waandishi ndiyo wanaolipwa tarehe 25 lakini wafanyakazi wengine tarehe kamili haijulikani. Wakati mwingine wanapewa kidogo kidogo.
Mkuu MzeePunch,are you sure na Joyce Kissaka ameacha kazi IPPMEDIA? please check and confirm.Ku-resign kwa waandishi hao wawili na mwingine anayeitwa Joyce Kisaka kulitarajiwa baada ya dada yao SAKINA kupigwa chini kutokana na fitna alizoanza kuziingiza IPP Media. Hawa wote walishikwa mkono na Sakina kupelekwa The Guardian wakitokea Mwananchi kwa ahadi ya mishahara minono. Nadhani ni kutokana na ushawishi wa Sakina huyo huyo ndio maana wame-resign. Bila shaka kuna kitu wanataka kufanya kwani katika siku za hivi karibuni wamekuwa karibu sana na RA na wapambe wake akina Zitto Kabwe na Omari.
Huyo Sakina Dewji 'Datoo' aliichanganya The Guardian kwa fitna kama kaka yake Kassim Dewji alivyoichanganya Simba SC wakati fulani. Ni watu hatari sana na bila shaka fitna ipo kwenye damu.
Mkuu hivi unamfahamu vilivyo Loy... si mtu wa kushikwa mkono na sakina, hata kidogo
wana JF taarifa nilizopata leo toka ofisi ya MSHANA ni kuwa SAKINA DATOO jana jioni amekabidhi barua ya kuacha kazi Rasmi toka IPP ninafanya jitihada kupata kivuli cha barua hiyo ili niiweke hapa,kwani naambiwa ni barua ya page tatu inayoeleza matukio mengi yaliyopelekea yeye kufanya uamuzi huo.
naomba kuwasilisha
wana JF taarifa nilizopata leo toka ofisi ya MSHANA ni kuwa SAKINA DATOO jana jioni amekabidhi barua ya kuacha kazi Rasmi toka IPP ninafanya jitihada kupata kivuli cha barua hiyo ili niiweke hapa,kwani naambiwa ni barua ya page tatu inayoeleza matukio mengi yaliyopelekea yeye kufanya uamuzi huo.
naomba kuwasilisha
Wakuu mbona mnafikiri kila mtu anamjua mnayemzungumzia..!!
Huyo SAKINA DATOO ni nani na kwa nini iwe Public Interest kwa yeye kuacha kazi kwenye Limited company ????
Wakuu mbona mnafikiri kila mtu anamjua mnayemzungumzia..!!
Huyo SAKINA DATOO ni nani na kwa nini iwe Public Interest kwa yeye kuacha kazi kwenye Limited company ????
Suala la Datoo kutoka kwenye ipp media halina shida. Wala kimsingi kuhama tu peke yake hakupaswi kuwa mada ya kujadili hapa. Kitu cha kutufanya tujadili ni zile sababu zilizomfanya ahame. Hizo ndizo zenye uzito. Kumbe mleta thread hii utupatie barua yake aliyomwandikia mwajiri wake ya kuondoka ipp. Naamini atakuwa pia ametoa sababu ambazo zitatusaidia kujadili kuhama kwake.