Je kulikoni IPP? Malalamiko na kuacha kazi kwa wafanyakazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je kulikoni IPP? Malalamiko na kuacha kazi kwa wafanyakazi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Soulbrother, Jun 8, 2009.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Soulbrother

  Soulbrother JF-Expert Member

  #1
  Jun 8, 2009
  Joined: Apr 14, 2009
  Messages: 408
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Baada ya Sakina Datoo kuondolewa katika uongozi wa IPP media na Msaki kujiuzulu, mhariri wa makala Loy Nabeta naye ameandika barua ya kujiuzulu wiki iliyopita.

  Je kulikoni IPP media
   
 2. Gembe

  Gembe JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2009
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 2,505
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Kaenda wapi tena..?

  IPPMEDIA kutakuwa na matatizo madogo madogo..mie sioni tatizo hata kama wakiondoka wote.

  Vijana wapewe nafasi tu!
   
 3. Soulbrother

  Soulbrother JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2009
  Joined: Apr 14, 2009
  Messages: 408
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  kajiuzulu wiki iliyopita mkuu
   
 4. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2009
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Binafsi hili la Sakina Datoo linanikwaza kidogo.Sakini ni baba mmoja mama mmoja na Kassim Dewji wa Simba Sports Club.Kassim Dewji Na Mohamed Dewji a.k.a Mo wa Mohamed Enterprise ni mtoto wa shangazi na mjomba(1st cousins). Mo ana uswahiba wa karibu na vibopa wenzake ambao kidini ni wa Ithnashari kama yeye ambao baadhi mzee mzima Mengi aliwataja hadharani akiwaita mapapa.Can you see the connection? In other words hawa binamu zake Sakina watamwacha kweli atumikie 'kaffir'?
   
 5. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #5
  Jun 8, 2009
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  kuna jamaa wanataka kummaliza mengi katika njia zote, inabidi mjomba awe makini sana kwani hawa jamaa ni mafia na wako kwenye system nzima kuanzia serikalini mpaka kwa wananchi wa kawaida hivyo mtu mzima lazima awe makini sana
   
 6. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #6
  Jun 8, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,573
  Likes Received: 18,461
  Trophy Points: 280
  kamu Mushi alikuwa boss ITV, Joyce chini yake, sasa Joyce ndio boss, Mushi chini yake, sambamba na Vumi Urassa akiwa boss, Mshana chini yake, sasa Mshana ndio boss, Urassa chini yake, unategemea nini kwa taasisi kama hii?. Mimi nashauri wanahabari wote wa IPP Media, wanaojidhania wamesimama, na waangalie wasianguke.
  Wanaojiengua mapema, wanajua kusoma dalili za nyakati kwa kujiweka tayari kabla ya anguko kuu. Mimi sio mtabiri ila kwa kuangalia kwa jicho la mbali, sioni mwanga wa kutosha kwenye hatima ya mmiliki, naona mawingu ambayo ni mvua na jioni dalili ya kuzama kwa jua. Heri wanaojiweka vizuri kabla ya mvua na kujiandaa mchana kweupe kabla ya giza.
   
 7. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #7
  Jun 8, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  MOTO UNAWAKA HUKU!
  naona wadau mmeanza kupoteana
   
 8. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #8
  Jun 8, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Inasikitisha kuona nguvu za ufisadi zikishika hatamu kuelekea kunako ushindi. Yaani chombo hiki muhimu katika vita dhidi ya mafisadi kimeshindwa kuhimili vishindo vya mafisadi kiasi cha kukubali kufisadiwa!!

  Nalia na Freedom of press
   
 9. Mwenda_Pole

  Mwenda_Pole JF-Expert Member

  #9
  Jun 8, 2009
  Joined: Jul 5, 2008
  Messages: 260
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35

  Nimekupata vyema mkuu...
   
 10. M

  Mzawa Halisi JF-Expert Member

  #10
  Jun 8, 2009
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 499
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Matatizo ni makubwa, sasa hivi IPP Media hata mishahara ya wafanyakazi ni shida, haitoki kwa wakati. Inasemekana waandishi ndiyo wanaolipwa tarehe 25 lakini wafanyakazi wengine tarehe kamili haijulikani. Wakati mwingine wanapewa kidogo kidogo.
   
 11. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #11
  Jun 8, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  panafuka moshi hapa!
  pasco jaribu kuelezea,inaonekana unakitu unajua
   
 12. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #12
  Jun 8, 2009
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  hii habari ya mishahara kwa makampuni mengi ni tatizo, nenda kiwira, tanzania relwe, habari copr.
  sio kama RA anawalipa vizuri sana hao waandishi wake na hapo panafuka moto, isipokuwa kwa wale big name ndio wako swali
  cha muhimu mengi inabidi aangalie kachemsha wapi
   
 13. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #13
  Jun 8, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,573
  Likes Received: 18,461
  Trophy Points: 280
  Sina lolote nijualo Geoff ni msomaji tuu wa dalili za nyakati,
  Mwanakijiji alishawahi kuandika sana juu ya anguko kuu la mmiliki
   
 14. M

  MzeePunch JF-Expert Member

  #14
  Jun 8, 2009
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,412
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ku-resign kwa waandishi hao wawili na mwingine anayeitwa Joyce Kisaka kulitarajiwa baada ya dada yao SAKINA kupigwa chini kutokana na fitna alizoanza kuziingiza IPP Media. Hawa wote walishikwa mkono na Sakina kupelekwa The Guardian wakitokea Mwananchi kwa ahadi ya mishahara minono. Nadhani ni kutokana na ushawishi wa Sakina huyo huyo ndio maana wame-resign. Bila shaka kuna kitu wanataka kufanya kwani katika siku za hivi karibuni wamekuwa karibu sana na RA na wapambe wake akina Zitto Kabwe na Omari.
  Huyo Sakina Dewji 'Datoo' aliichanganya The Guardian kwa fitna kama kaka yake Kassim Dewji alivyoichanganya Simba SC wakati fulani. Ni watu hatari sana na bila shaka fitna ipo kwenye damu.
   
 15. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #15
  Jun 8, 2009
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 720
  Trophy Points: 280
  kazi kweli,
  kuropoka kwa mengi kunamponza
  acha wakimbie wote
  mzee mnafiki sana yule
   
 16. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #16
  Jun 8, 2009
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kila Mtu ana haki ya kutafuta maslahi mazuri,ila za mafisadi noma.
   
 17. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #17
  Jun 8, 2009
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Ufisadi noma,hata hapa JF wapo shame on you.
   
 18. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #18
  Jun 8, 2009
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mzee Mengi uwe makini na waandishi makuwadi watakuharibia vita yako dhidi ya mafisadi,kama wameanzisha vita huko meru basi tuwaanzishie nao upande wa pili kusaka Kagoda,Richmond/Dowans na Kiwira.
   
 19. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #19
  Jun 8, 2009
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Wewe ndio Mhasibu wao au Mkurugenzi,acha uongo,au umetumwa.
   
 20. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #20
  Jun 8, 2009
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,855
  Likes Received: 2,430
  Trophy Points: 280

  he mbona mengi anachanga hadi milioni 400 kwenye harambee moja..
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...