Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,498
- 113,596
Wanabodi,
Hii ni thread ya swali, Jee Kuna Uwezekano Kukosekana Kwa Baadhi ya Wabunge Makini, Machachari Bungeni, Kumepunguza Ari na Msisimko wa Vikao vya Bunge?.
Bunge ni moja ya mihimili mitatu ya dola, mihimili mingine ni Serikali na Mahakama. Bunge la Tanzania linafuata mtindo wa uendeshaji wa Bunge la Uingereza, Westminster, ambapo msingi wa msisimko wa uendeshaji wa vikao vya Bunge, ni mtindo unaitwa "debate Style", ambapo wabunge wa chama tawala hukaa upande mmoja, na vyama vya upinzani hukaa upande mwingine kwa kutizamana na kubishana kwa hoja,kazi ya upinzani ni kupinga hoja za serikali kwa hoja.
Kila wiki, kuna siku moja lazima Waziri Mkuu aje kujibu maswali ya papo kwa papo kutoka kwa wabunge. Hii ndio the most important and the most interesting session, ambapo kwenye bunge la wenzetu, hii session ni ya lazima, na itakosekana pale tuu, waziri mkuu ana dharura ya dharura kweli. Sisi pia tumeiga mfumo huu wa maswali ya papo kwa papo, wenzetu siku ya maswali ya papo kwa papo, kambi ya upinzani huwa inapanga waulizaji mahiri kama wapiga penalti kwenye mechi za mpira. The icing sugar ya session hii ya maswali ya papo kwa papo ni the grilling ya PM. Session yetu ya maswali ya papo kwenye bunge letu, it is as if hufanya at the plesure of the speaker, tena nahisi PM huwa anaulizwa vipi leo, iwepo?, PM akijisikia ana mood ya kujibu, ndipo session hiyo huwepo!, mara kibao tumeshuhudia PM yuko Dodoma, na session hiyo haipo, as if that session is just option or favour at the pleasure of the speaker na PM.
Mfano kesho, hiyo session ikiwepo, na kukosekana kwa wabunge makini na machachari bungeni wa kuuliza maswali magumu, nani watamuuliza challenging questions PM?, will the session be interesting?.
Nakiri kupanmdisha bandiko hili kutokana na bandiko la mwana jf huyu
Pale juzi kati, niliuliza hivi
Wabunge Wetu wa Ajabu!, Wanaachaje Bunge Lijipendekeze Kwa ...
Jee inawezekana watu wanaliona bunge kama halina maana tena?.
Namalizia kwa lile swali za msingi, Jee Kuna Uwezekano Kukosekana Kwa Baadhi ya Wabunge Makini, Machachari Bungeni, Kumepunguza Ari na Msisimko wa Vikao vya Bunge?.
Paskali
Rejea kuhusu Bunge
Baadhi ya Wabunge ni Stupid!, Tanzania haina Demokrasia!, Bunge ni ...
Wito: Wabunge Badilini Kanuni Kuondoa Udikteta wa Spika/N.Spika ...
Vurugu za Jana Bungeni: Chanzo ni Mhe. Job Ndugai!- Ni Dikteta ...
Vurugu za Bungeni: Mhe.Tundu Lissu, Anastahili Adhabu Kali?!. Ni ...
Sakata la TBC Kusitisha Matangazo ya Live za Bunge, Zitto Zuberi ...
Watanzania ni lazima tukubali matokeo: Tutake tusitake, utawala wa ...
Waziri Mkuu anapotoa majibu mapesi kwa maswali mazito!: Ni uwezo ...
Kupungua Mizigo Bandarini: Je, Kuna Uwezekano Waziri Mkuu ...
Bunge la 11: A Wrong 1st Step!, A Wrong 1st Start! | Page 2 ...
Maswali ya Papo Kwa Papo Kwa Waziri Mkuu Bungeni Leo: Mbowe ...
Sheria ipi, kifungu gani cha Katiba kinazuia kujadili Bajeti nje ...
'Bunge si patakatifu, ni pango la wanyang'anyi' -Wananchi ...
Naibu Spika ni Dikteta! | Page 2 | JamiiForums | The ...
Mhe. Tundu Lissu, Please Acha Kumsulubu Spika Wetu!, Unammaliza ...
Spika Press Conference Live!. | Page 2 | JamiiForums | The ...
Naibu Spika Tulia Ackson Mwansasu anapwaya, hafai | Page 2 ...
Kuwa Kichaa Sio Mpaka Kuokota Makopo!. Jee Tanzania Tuna Vichaa ...

Mkuu Papaa Musofe, kwanza naunga mkono hoja, pili mimi binafsi, ni miongoni mwa wafuatiliaji makini wa Bunge, lakini tangu kusitishwa kwa Bunge Live, nimejikuta interest ya kuangalia zile censored programs imepungua sana, lakini kitendo cha kukosekana baadhi ya wabunge machachari bungeni, kumenipelekea nisiangalie kabisa kipindi cha bunge, its as if bunge sasa halina chochote cha interest kufanya watu watazame kipindi cha bunge!.Nadhani wale wabunge makini wanaojua kazi yao wameona haina haja ya kuwa sehemu ya bunge lililokosa muelekeo na kisilojua wajibu wake
Wabunge hao makini wameacha kuhudhuria vikao vya bunge hilo,hivyo kuliacha likionekana halina maana mbele ya macho ya watanzania
Wabunge wengi makini wa upinzani kama john mnyika,zitto kabwe,said kubenea,halima mdee, easter bulaya,sugu,na wengine wengi wamekuwa mwiba kwa serikali kwa muda sasa na kila mbinu imetumika kuwazuia wasitoe maoni yao kwa uhuru