Wengi wamekondeana kwa sababu hii!
zingine ni ukosefu wa lishe
stress
na kadhalika
Wengi wangapi?
labda watu mlete mifano kwa picha...ya alokondeana, mwembaba na mnene otherwise naona kila mtu ana picha tofauti kichwani.
Well i assume 85%,plz usinihoji kuhusu ku-assume!!
@Osoka ilikuwa utoto ameacha uchoyo na kulialia kwa sasa unakula kabla hajala so amenenepa lol
Mwanasayansi gani huyo? Toa mfano wa mmoja tu maana wawili wengi.....
Ni kweli humjui aliekondeana??
sasa mbona wewe hunenepi? lol
na mchele magunia tele lol
Nawajua ndio maana kama umenisoma vizuri nimesema muache kunyanyapaa.
Na kama mna refer watu wembamba tokea mnawajua kuwa wamekonda hamjuhi definition ya kukonda...ni process toka kwenye unene na kuwa mwembaba. Mtu ambaye hakuwahi kuwa mnene huwezi kumuita amekonda.
Sasa wanaofanya diet na mazoezi...na wagonjwa (depending kwenye definition yako) wana roho mbaya?
Na kama roho mbaya ndiyo sababu ya watu kukondeana...ina maana hiyo roho inampata mtu wakati wowote kama ugonjwa au ni personality?
Maana kama ni personality asingekuwa mnene at first place mpaka wewe leo hii useme kakondeana.
Kongosho unaposema LAZIMA unamaanisha kila mwanamke alieolewa anatakiwa anenepe?Kivipi,kwanini?Kuna uhusiano gani kati ya kunenepa na kuzaa?Kumbuka kuna kunenepa kunakosababishwa na maradhi pia!
Hebu niambie uzito wa dunia umepatikanaje?
Nyumbakubwa Mtambuzi kaandika makusudi 'kukondeana'
hazungumzi kuhusu wembamba....
so hii thread haihusu wembamba wa kuzaliwa
inahusu watu 'waliokondeana'
Tuonyesheni hao walokondeana wakoje, manake hapa vipimo havijathibitishwa na TBS
Unadhani wanasayansi walikaa tu wakasema "uzito wa dunia ni 5.972E24 kg" kama ulivyoitoa wewe hiyo tarakimu yako?