Je kukondeana ni dalili ya kuwa na roho mbaya...................?

Kongosho unaposema LAZIMA unamaanisha kila mwanamke alieolewa anatakiwa anenepe?Kivipi,kwanini?Kuna uhusiano gani kati ya kunenepa na kuzaa?Kumbuka kuna kunenepa kunakosababishwa na maradhi pia!
 
Last edited by a moderator:
labda watu mlete mifano kwa picha...ya alokondeana, mwembaba na mnene otherwise naona kila mtu ana picha tofauti kichwani.
 
Well i assume 85%,plz usinihoji kuhusu ku-assume!!

Khaa! Ina maanisha umeitoa hiyo number out of thin air ndo maana hutaki kuulizwa.

Kutokana na hilo basi, ushuhuda wako hautasikilizwa
 
Gaijin,una haki ya kutonisikiliza,tena nitakuona mwenye busara sana.Lakini mbona wanasayansi wanafanya kama mimi na mnawasikiliza??
 
Last edited by a moderator:
Nawajua ndio maana kama umenisoma vizuri nimesema muache kunyanyapaa.

Na kama mna refer watu wembamba tokea mnawajua kuwa wamekonda hamjuhi definition ya kukonda...ni process toka kwenye unene na kuwa mwembaba. Mtu ambaye hakuwahi kuwa mnene huwezi kumuita amekonda.

Sasa wanaofanya diet na mazoezi...na wagonjwa (depending kwenye definition yako) wana roho mbaya?

Na kama roho mbaya ndiyo sababu ya watu kukondeana...ina maana hiyo roho inampata mtu wakati wowote kama ugonjwa au ni personality?
Maana kama ni personality asingekuwa mnene at first place mpaka wewe leo hii useme kakondeana.

Ni kweli humjui aliekondeana??
 
Nyumbakubwa Mtambuzi kaandika makusudi 'kukondeana'
hazungumzi kuhusu wembamba....
so hii thread haihusu wembamba wa kuzaliwa
inahusu watu 'waliokondeana'
 
nimeongea kunenepa mwanamke akishajifungua wee unaongelea unene wa magonjwa??

Ungekuwa msukuma ungeelewa huu msemo labda 'rekanyaga eshitambi no budume'

'tofautisha kitambi na kuvimba tumbo' hili tunalijua pia.

Nikirudi mwanamke kuzaa na kunenepa, mwanamke akijifungua maumbila yake hutanuka zaidi, ndio maana wasipenda unene unawaona wanaanza kuhangaika na gym, japo si wote, but mara nyingi hutanuka zaidi.

jumlisha na kuwa ukizaa unakuwa hotel na mwenzio, lazima ule ili uweza kuwa kempisky bora na si mama ntilie. Hivyo vyote vinapelekea kuongeza weight.

Kuridhika au kuwa na amani, umeolewa, ndoa imejibu kwa muda utakao, Mungu akupe nini? Wengine wanasoneneshwa labda kwa kukosa watoto wakiwa ndoani.

Kongosho unaposema LAZIMA unamaanisha kila mwanamke alieolewa anatakiwa anenepe?Kivipi,kwanini?Kuna uhusiano gani kati ya kunenepa na kuzaa?Kumbuka kuna kunenepa kunakosababishwa na maradhi pia!
 
Last edited by a moderator:
Nyumbakubwa Mtambuzi kaandika makusudi 'kukondeana'
hazungumzi kuhusu wembamba....
so hii thread haihusu wembamba wa kuzaliwa
inahusu watu 'waliokondeana'

Tuonyesheni hao walokondeana wakoje, manake hapa vipimo havijathibitishwa na TBS
 
nyumba kubwa,umesema tuache kunyanyapaa,kwani tumemnyanyapaa nani?Na kwa mtazamo gani? Mtambuzi amesema,wanaokondeana wana roho mbaya akatoa na sababu,huko ndo kunyanyapaa?Umesema kama tunarefer watu wembmba,nani amesema haya?Mtoa mada amesema waliokondeana.Umezungumzia watu wanaofanya mazoezi,diet n.k halafu unasema difinition yangu,umetoa wapi hii kauli?Umezungumza yaliyo akilini mwako na kudai tumesema,still hujasema kama kukondeana na wembamba ni sawa,kama sio sawa ni wapi hujaelewa?
 
Last edited by a moderator:
Tuonyesheni hao walokondeana wakoje, manake hapa vipimo havijathibitishwa na TBS

hapa inazungumzwa watu ambao wamekonda
sasa najua unajua tofauti ya kuwa mwembamba kiasili
na kukonda haswaa baada ya matatizo
 
Unadhani wanasayansi walikaa tu wakasema "uzito wa dunia ni 5.972E24 kg" kama ulivyoitoa wewe hiyo tarakimu yako?

Tayari umeshajua mimi "nimekaa tu" na nikatoa tarakimu,hao wanasayansi walipimia wapi dunia?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom