Je kukondeana ni dalili ya kuwa na roho mbaya...................?

hapa inazungumzwa watu ambao wamekonda
sasa najua unajua tofauti ya kuwa mwembamba kiasili
na kukonda haswaa baada ya matatizo

Sijui boss....sikutanii sijui kweli.

Kwa kumuona tu hatuwezi kumjua au vipi?
 
Sijui boss....sikutanii sijui kweli.

Kwa kumuona tu hatuwezi kumjua au vipi?

hata wembamba hukonda na kunenepa
kukonda ni kupungua mwilikutoka saizi yako
na saizi yako sio lazima uwe mnene
wanaosema hivyo wanamjua mtu kwa sababu saizi yake wanaijua
 
asante, mie nilitamani kudakia swali lile nikaona si langu.

Sijui amejuaje mimi "nimekaa tu"Kama mimi "nimekaa tu na nikatoa tarakimu hiyo" niambieni hao ambao hawakukaa tu,wameipimia wapi dunia?
 
hata wembamba hukonda na kunenepa
kukonda ni kupungua mwilikutoka saizi yako
na saizi yako sio lazima uwe mnene
wanaosema hivyo wanamjua mtu kwa sababu saizi yake wanaijua

Thanx much Boss,umenena . .!!
 
hata wembamba hukonda na kunenepa
kukonda ni kupungua mwilikutoka saizi yako
na saizi yako sio lazima uwe mnene
wanaosema hivyo wanamjua mtu kwa sababu saizi yake wanaijua

Kwa hiyo hiyo roho mbaya inakuja ikiondoka eee?!

*Mtu alikuwa mnene, akakondeana, akarudi tena size yake ya awali
 
Kwa hiyo hiyo roho mbaya inakuja ikiondoka eee?!

*Mtu alikuwa mnene, akakondeana, akarudi tena size yake ya awali

sasa hapa una generelize na wewe
sio kila anaekonda hukonda kwa roho mbaya

na masuala ya kukonda na kunenepa kwa sababu ya 'hisia' mfano wivu
hubadilika kama mtu huyo akiwa mbali na huyo anaemsumbua mpaka anasikia wivu
ndo maana wapo watu hunenepa baada ya 'waume zao kufa'
 
Mwanasayansi gani huyo? Toa mfano wa mmoja tu maana wawili wengi.....
@Gaijin mfano huu hapa: Katika mojawapo ya sijui niite utafiti au utabiri, mwanasayansi mmoja wa Ki-Irish, Dk. Dionysius Lardner aliyeishi kati ta Mwaka (1793-1859) aliwahi kusema kwamba, Garimoshi halitaweza kwenda kasi hata siku moja. Alisema garimoshi litaendelea kuwa na kasi ndogo sana, kwani likienda kwa kasi kubwa, abiria wataweza kufa kwa tatizo linalifahamika kitaalamu kama Asphyxia, yaani kukosa pumzi.

Pamoja na kwamba alikuwa ni mwanasayansi, Lakini nadhani alikuwa hajui anachokisema kwa wakati ule.

Kwa nini?

Kwa sababu leo hii kuna magari moshi yanayosafiri hata kilomita 500 kwa saa.
 
Hiyo ndo exactly my point. Hiyo roho ina fluctuate au ni personality ya mtu?

Maana kukonda na kunenepa ni vitu vya kubadilika.

Kwa hiyo hiyo roho mbaya inakuja ikiondoka eee?!

*Mtu alikuwa mnene, akakondeana, akarudi tena size yake ya awali
 
ngoja niwape 'scenario' ambayo mtu anakuwa na roho mbaya.

Msiniulize proof sababu sina proof ila ndicho nachokiona kwenye jamii inayonizunguka.

mdada alikuwa na mwembamba tu, labda size ya Rihana tangu mtoto hadi anafikia umri wa kuolewa.

Anaolewa, baada ya mwaka anajifungua baby 1, mwaka wa tatu anajifungua baby 2 mwaka wa tano ana baby 3, kama bado size yake ni ya 'Rihana' au kapungua zaidi ya alivyokuwa, maswali huanza, kwa nini?

Je mmewe anamtesa? Ana mke mwingine? Nini tatizo? Hajaridhika na nini?

Japo, japo, japo . . . .
Not always aisee
 
si kweli! kwa mana walioishikilia hii nchi wengi ni wanene na wanaroho mbaya sana sana sana! lakini wanao itetea hii nchi wengi ni wembamba na wanaroho safi sana sana sana! mpaka wanaamua kuitetea nchi yao.
angalieni watu maarufu wote ambao wenye roho nzuri wengi ni wembamba, na wengi wanene ni roho mbaya mnooo.
hata adamu na eva walikuwa wembamba! na manabii wengi walikuwa wembamba.
dunia ya sasa wengi ni wanene kwa vya uharamu! pombe,ufisadi, kula vyakula kwa kudhulumu n.k
anayekuwa mwembamba kwasababu ya mtu fulani, ujue anachukia yale mabaya yanayofanywa na mtu huyo.
mifano tazameni nchi yenu na viongozi wake,celebrit wake n.k na pia angalienie viongozi wa nje wenye roho nzuri na maceleb wao na watu maarufu wenye roho safi.

umesema kweli. mfano halisi ni trafiki wa bongo. wanene na vitambi vya wizi na ufedhuli.
 
Wagonjwa wa HIV na TB ni wembamba au wamekonda. Kama wamekonda nadhani umenielewa kikisema kulinganisha kukonda na roho mbaya ni unyanyapaa.

nyumba kubwa,umesema tuache kunyanyapaa,kwani tumemnyanyapaa nani?Na kwa mtazamo gani? Mtambuzi amesema,wanaokondeana wana roho mbaya akatoa na sababu,huko ndo kunyanyapaa?Umesema kama tunarefer watu wembmba,nani amesema haya?Mtoa mada amesema waliokondeana.Umezungumzia watu wanaofanya mazoezi,diet n.k halafu unasema difinition yangu,umetoa wapi hii kauli?Umezungumza yaliyo akilini mwako na kudai tumesema,still hujasema kama kukondeana na wembamba ni sawa,kama sio sawa ni wapi hujaelewa?
 
sasa hapa una generelize na wewe
sio kila anaekonda hukonda kwa roho mbaya

na masuala ya kukonda na kunenepa kwa sababu ya 'hisia' mfano wivu
hubadilika kama mtu huyo akiwa mbali na huyo anaemsumbua mpaka anasikia wivu
ndo maana wapo watu hunenepa baada ya 'waume zao kufa'

Suali linabaki pale pale, hiyo roho mbaya inakuja ikiondoka?

Yaani leo anayo kwa kuwa ana mume anaembugudhi, mume akifa, roho mbaya inaondoka

Kwa hiyo ni sawa na kusema roho mbaya ni sawa na ugonjwa tu, unakuja ukiondoka
 
Komgosho, wengine ni maumbile tu. Miili yao ina metabolism nzuri; na wengine ni shughuli nyingi, chakula kisichotosheleza. Mmama aliyeolewa na kuzaa na halafu akawa ni wa nyumbani tu, hana shughuli za kusababisha aunguze mafuta vizuri lazima atanenepa hata akiwa na roho ya aje!

Lkn huyo huyo aliyeolewa akiwa anashinda shamba na mlo mmoja kwa siku hata kama alikuwa bonge atakonda! Juzi nilikuwa nyumbani, nikaoneshwa picha yangu na nephew yangu ambayo nilipiga when l was in my mid twenties, l was so skinny; why kazi yangu ilikuwa very physical na outdoors tu, ulaji wangu haujabadilika sana. Mpaka najifungua nilikuwa na uzito wa 66kg. Lkn baada ya nature ya kazi kubadilika, nikifanya diet ndipo ninapofikia hiyo 66kg.

Sasa sijui roho inabadilika with weight flactuation?
 
Last edited by a moderator:
@Gaijin mfano huu hapa: Katika mojawapo ya sijui niite utafiti au utabiri, mwanasayansi mmoja wa Ki-Irish, Dk. Dionysius Lardner aliyeishi kati ta Mwaka (1793-1859) aliwahi kusema kwamba, Garimoshi halitaweza kwenda kasi hata siku moja. Alisema garimoshi litaendelea kuwa na kasi ndogo sana, kwani likienda kwa kasi kubwa, abiria wataweza kufa kwa tatizo linalifahamika kitaalamu kama Asphyxia, yaani kukosa pumzi.

Pamoja na kwamba alikuwa ni mwanasayansi, Lakini nadhani alikuwa hajui anachokisema kwa wakati ule.

Kwa nini?

Kwa sababu leo hii kuna magari moshi yanayosafiri hata kilomita 500 kwa saa.

Kuna kukosea kwenye makadirio, lakini hakuna mwanasayansi anaetoa tarakimu kutoka thin air.

Anaweza kufikia tarakimu isiyo sahihi, lakini kwa njia za kisayansi, sio kulala ukaota
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom