Je Kisukari kimegoma kushuka? Ijue siri hii

Je Kisukari kimegoma kushuka? Ijue siri hii

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,808
Reaction score
2,728
Chukua hii kwa faida

Akikujia mgonjwa wa kisukari akikwambia katumia dawa zote hajaona matokeo

Mwambie akapime

Cholesterol na uric acid

Kisha shughulika na hayo

Huku mpe mlo sahihi wa kula kulingana na shida yake

Kuna uhusiano mzuri tu wa kugoma kushuka sukari na Cholesterol na uric acid
 
Ngoja ni "gugu" nione
 
Mimi hapa nimeanza kuona dalili za kisukari,napata kiu sana then nakojoa sana.
Usiku nakojoa kama mara nne
 
Back
Top Bottom