Karibu tena naona umejipanga enh lete hoja tabasamu lake la kidini kivipi? na udini wake umedhihirika wapi? kwa kuzuia ruzuku kwa kanisa? au kuhakikisha misamaha ya kodi ya kanisa haitumiki kijanja? udini wake wewe umeuona kwenye nini hasa? kumteua pinda kuwa waziri mkuu labda?Fact ni kwamba jk ni mdini halafu anasingizia wengine wadini ili afiche udini wake, tabasamu lake lina hila ndani yake!
Sijalalamika kwanini waislam wamepewa wizara chache nimeonyesha kuwa JK sio mdini ila tatizo kabana misamaha iliyokuwa inatumika kinyume na malengo kwenye makanisa na ile ruzuku serikali iliyokuwa inaipa kanisa ambayo imekoma ndio sababu ya yeye kuitwa mdini na kujengewa chuki hapa JF.
Pia nimeelezea jinsi chuki zilivyopandikizwa especial makanisani maana huyu jamaa 2005 walimtaja kama chaguo la "Mungu" lakini 2010 wakakaa kimya kwa kuwa biashara zao zimeshtukiwa.
Pia nikaenda mbali nikasema zamani CCM na Mkristo ni kama Chanda na pete ila Kanisa kupitia kile chama chetu kwa kunyimwa ruzuku na serikali kubana misamaha ya kodi isiyo na tija ikakisaidia kile chama chetu ambacho kilisimamasha watumishi wa kiroho wengi kuliko chama chochote.
Unajua kuna watu wanapenda ku pin point wenzao kuwa wadini wakati mwenyewe hajioni, hizi ni Kikwete type kwa mbele ana anzisha udini akigeuka anaanza kuwaambia wenzake wanaleta udini. Sokomoko kauanzisha hapa sasa anasema eti wengine wadini JK type.WEWE NDIYE MDINI ,MIMI TANGU BARAZA LA MAWAZIRI LITANGAZWE SIJAWAHI KUHESABU KUNA WAISLAM WANGAPI NA WAKRISTO WANGAPI NDIO KWANZA NAONA KWAKO.
NIMECHUKIA :angry: ,HIVI KWA NINI UNAPENDA LETA MAMBO YA UDINI ?? NA NI NANI ALISEMA KUWA JK NI MDINI?? AU NI WEWE MWENYEWE UMEKAA UKAWAZA PUMBA NA KUJA KUANDIKA UPUPU HAPA JF
KWA NINI WATU WA DINI MOJA TU SIKU ZOTE WANALALAMIKA KUWA WANAONEWA? KWA NINI WA DINI NYINGINE HAWALALAMIKI?
MBONA WATANZANIA WANAISHI VIZURI TU MTAANI NA HAWABAGUANI KWA MISINGI YA KIDINI.
USITULETEE MASUALA YA UDINI HAPA.NYIE UNAOHESABU WAKRISTU WANGAPI NA WAISLAM WANGAPI NDIO WADINI WAKUBWA NA NI WA KUOGOPWA KAMA UKOMA.
Tunahitaji hoja je JK ni mdini? plz lete facts tunakaribisha facts tu kwa wenye fikra pevu hatuhitaji mengine njoo na takwimu kwa maana hiyo katuni yako haijibu kama JK ni mdini au la. Shukran.
Chagga Menifest Development hwana hoja maana hata wanayoongea viongozi wao hawayajui maana yake wao wanafikiria wamfukuze Zitto tu mtaishia hivyo hivyo wenzenu wanajenga nyie mbomoana.[/QUOTE
ungekuwa unataka kujenga na sio kubomoa usingeanza kwanza kuhesabu wakristo wako wangapi na waislamu wako wangapi kny baraza la mawaziri....hii pekee inakuonyesha usivyo tolerant na dini za wengine..
Hivi unajua kilichowakuta wale wenzako waliokuwa wakimkashifu JK kwenye ulemtandao wa Ze Utamu? usijali nitakuletea sabuni ya kuogea na mafuta ya kujipaka segerea.. Usimkashifu mtu toa hoja ili uweze kuwajuza watu Kikwete mdini kivipi?.
Usikimbie hoja ya udini kwa leo nitajitahidi sana kukurudisha kwenye hoja yako umehesabu mawaziri waislam na wakristo halafu unasema isipelekwe kwenye jukwaa la dini, sasa ya Zitto yanatoka wapi tena ongelea udini wako tuuone, mtetee JK wako wadini wakubwa nyie.Chagga Menifest Development hwana hoja maana hata wanayoongea viongozi wao hawayajui maana yake wao wanafikiria wamfukuze Zitto tu mtaishia hivyo hivyo wenzenu wanajenga nyie mbomoana.
Kwenda huko humtishi mtu hapa kwanza mtetee JK wako na udini wake, wewe ndiye uliyemleta hapa bila wewe tusingaliongelea haya nyambafu.Hivi unajua kilichowakuta wale wenzako waliokuwa wakimkashifu JK kwenye ulemtandao wa Ze Utamu? usijali nitakuletea sabuni ya kuogea na mafuta ya kujipaka segerea.. Usimkashifu mtu toa hoja ili uweze kuwajuza watu Kikwete mdini kivipi?.
Kwa maoni yangu, wadau wengi wanashindwa kutoa hoja ya kuhusu huu udini wa kikwete badala yake wanatoa hoja sizizo sahihi, jibu ni rahisi sana mdini au si mdini, haihusu kuwa nani kasoma au nani hakusoma, facts zipo uwanjani tutoe maoni kuhusu hilo, kama huna hoja bora ukae kimya.... NO COMMENT
usiwache kuwataja na wale wa upande wa pili... wanajulikana au unawaogopa???:teeth: NILISHAWAAMBIA MKISIMAMA KWENYE UKWELI MSIOGOPE. UKIWA MWOGA KAA KIMYA MKUU.Nimegundua humu ndani kuna watu(members wa JF) ni wadini sana na ni hao no mashabiki wa CCM/JK nao ni;
1. Malaria Sugu
2. Sokomoko
3. Dar es salaam
..................
Acheni hizo ... msiwabague wa dini nyingine
masanilo hata kama wewe nimchungaji lakini mwache mwenzio aseme ukweli hili jukwaa la kutoa maoni tena yaukweli nauwazi kama aliyotoa mtoa mada,tusikwepe ukweli,penye ukweli uongo hujitenga,jk hana udini wala habagui,wala hachagui viongozi kwa udini kama mnavompakazia,mnyonge mnyongeni hakiyake mpeni.Huyu jamaa ni wakuwekwa kwenye Recycle Bin! Hana fikira zaidi ya ujinga wake na pumba kila siku na habari wanazoziongea kwenye Madrasa al sul
Check naye huyu eti naondoka wakati ni walewale wanajibadilisha majina.Sokomoko nakusapoti mkuu,
kama kuna mtu ana data na udini wa jk auweke hadharani.
Mi naondoka.:kev: