Je kikwete amebadilika??

mpakwa mafuta,.. Huo ni unafiki kajipaka mwenyewe mafuta hayo, we tu ndio hujui na wakati somaiya anapewa hizo dili kikwete aliongelea nini kuhusu rada? Ye si alikua waziri wa mambo ya nje? Achen upambe na unafiki. Nasisitiza I WISH HIM VERY VERY PAINFUL DEATH. kamwe mkwere hawezi badilika mpoto alisema tabia ni kama rangi ya ngozi. I hate that guy than hell and devil.
 
mpakwa mafuta,.. Huo ni unafiki kajipaka mwenyewe mafuta hayo, we tu ndio hujui na wakati somaiya anapewa hizo dili kikwete aliongelea nini kuhusu rada? Ye si alikua waziri wa mambo ya nje? Achen upambe na unafiki. Nasisitiza I WISH HIM VERY VERY PAINFUL DEATH. kamwe mkwere hawezi badilika mpoto alisema tabia ni kama rangi ya ngozi. I hate that guy than hell and devil.
 
Amewateua ili kuwaziba midomo ktk vikao vya bunge. Unajuwa mafisadi wanatarajia kuurudisha mjadala wa Richmonduli bungeni ili wasafishwe tayari kwa u raisi mwaka 2015. Lakini juha ni juha kwani hawajui kilicho waangusha kwenye uchaguzi ni Lowasa. Eti tena kwa ujuha walionao wanataka kumsimamisha kugombea Uraisi.
Kama Kikwete kashindwa vibaya hadi kuwapigia magoti wanajeshi na U/taifa itakuwa fisadi, eti TENA fisadi!!!! pole,
Waulizeni waliowasaidia kuchakachua kura wawaeleze sababu za kukataliwa. Au pia wako mfukoni mwa mafisadi, kama ndivyo ccm kwa heri kama UNIP.
 
Tatizo moja kubwa la jk ni UWEZO!! nafasi ya URAIS ni kubwa sana kwake na nafikiri pale awali alifiliria ni easy-easy tu. Pili huyu mkwere hana maamuzi, kila kitu lazima kiamuliwe na kina EL na RA nafikiri ni mambo machache sana ambayo anaamua mwenyewe kama mkuu wa nchi, he is hopeless hawezi hii nafasi yee anajua kufanya fanya party tuu ikulu pale kila kukicha WATZ tuna shida kibao yupo kimya tu, SHAME ON U JK and your family!!
 
SOmetimes huwa nafikiri huyu mkwere huwa ana nia nzuri na nchi lakini uswahiba wake ndio unamponza.

Mkwere hajawahi kuwa!.... hana... na hata kaa awe na nia nzuri na hii nchi mkubwa!! Hata miezi miwili haijafika toka aanze awamu yake ya pili aliyoipata kwa magumashi.... tunapandishiwa gharama za umeme kwa kiasi kukikubwa namna hii!!!! wakati wa kumaliza kipindi chake si tutakua tumekufa wote kwa njaa!!???
 
JK hawezi badilika na uteuzi wa wapambanaji ni vile kaona mambo hayakwenda kabisa kipindi kilichopita anahofu atamaliza muda wake bila cha kukumbukwa na Watanzania, lakini pia anataka kuwaziba midomo bungeni.
 
mkwere, mkwere jinamizi, chui alievaa ngozi ya kondoo, watanzania huo umeme wamepandisha ili kufidia garama za uchaguzi pia ana plan kuwalipa wahindi waliomkopa mapesa ya uchaguzi, tusiukubali huu uharamia wa mkwere na kundi lake. Yaani mi hua nikimuona kwenye t.v nazima kabisa nahuwa natamani hata kuivunja t.v. Yaani namchukia sana fisadi huyu.
 
Amebadilika???????????????? Au kwa vile hajasafiri?? Nasikia tatizo ni mafungu yamepungua tu, we subiri wajiweke sawa then utasikia safari zinaanza.
 
JK ni yule jana na leo na Hata milele!!!!!!!!!!!!!!! Tofauti ni kwamba ameamua kuvaa ngozi ya Kondoo kwa muda tu
TIME WILL TELL!!!!!!!!!!!
kwa jinsi alivyochafuka... hata hiyo ngozi ya kondoo haimtoshi, labda atafute ya mamba kabisaa au ya tembo

he has been exposed too much that he needs the whole world to cover for his arse
 
Sitta na Mwakyembe walikuwa viongozi wa wapinga mafisadi ndani ya chama . Nguvu yao ya kutaka mapinduzi yalikiyumbisha chama. Lengo la mkwere ilikuwa kupunguza nguvu ya ile timu ili serikali iweze kupumua maana wakibakia akina Kilango tishio litakuwa si kubwa. Lakini Sitta bado anapambana ila vita vyake ni vya ndani kwa ndani hivyo binafsi bado nampa big up Sitta kwa kuendeleza mapambano.
 
Kikwete ni yule yule wa jana na leo! Ufisadi mbele kwa mbele, visasi kama kawa na hao mnao waita kuwa wapiganaji wenu anawavutia pumzi kidogo kidogo ili waingie kumi na nane zake awatimue kwenye uanachama wa CCM! wewe usicheze na chama bwana. Mi nilikuwa huko, napajua sana!!!!!!!!


he is not going to change even God knows that we should expect hard ship in life for another five solid yrs
 
Chuki Mchukieni lakini haki yake mpeni. Anapofenya jema ni vizuri tukajifunza kushukuru.
 
Jamani, kule sekondari walikua wanaita nini vile kunapokuepo na hali ya BARAFU kubadili moja kwa moja na kua MVUKE wa moto???
 
Back
Top Bottom