Je Kigoma high school ina mchepuo wa sayansi?

Kimwaga Ahad

New Member
May 23, 2017
4
1
Samhnini ndg zang ngependa kuulza kwa mwenye uzoefu na shule tajwa hapo juu je inamichepuo ya sayansi???

Pia ni ya mchanganyiko au ni ya wavulana tuuu???
Naomben msaada wenu!!
 
Shule iko poa sana. Advance tu wanapiga msuri hatariii. Hakuna shule za mademu za karibu. Iko msituni juu ya mlima msuri sanaaaa
 
Samhnini ndg zang ngependa kuulza kwa mwenye uzoefu na shule tajwa hapo juu je inamichepuo ya sayansi???
Pia ni ya mchanganyiko au ni ya wavulana tuuu???
Naomben msaada wenu!!
Shule ipo kigoma town, kilometa chache toka stand ya mabasi na station ya treni. Kwa sasa ni A level tupu tena boys.

Wanafaulu vizuri sana, kuna HGK, HGL, HGE bila Shaka na HKL, sayansi sijui km wameanzisha,

Ipo Karibu na ufukwe wa bangwe beach, Fulu migebuka na dagaa wa kigoma kwa mawese.
 
Back
Top Bottom