ngoja niibuke tu hata kwa wenzetu maana hapa bongo hapaeleweki kabisaa.mkuu baki tu tuisome wote
Zipo mkuu hata yale mabanda ya bati ya kibela yanapangishwa yana ma landlordkama kichwa cha thread kinavyojieleza hapo juu nahitaji kujua katika nchi ya Kenya au pengine Uganda je kuna nyumba za kupanga au vyumba vya kupanga kama vile vya kwetu kule uswahilini ambapo mtu unalipa kodi elfu 50 kwa mwezi.
si vyema kutuacha tuisome sisi tu wkt nawewe inakuhusu,huogopi alshabab..?ngoja niibuke tu hata kwa wenzetu maana hapa bongo hapaeleweki kabisaa.
Vipokama kichwa cha thread kinavyojieleza hapo juu nahitaji kujua katika nchi ya Kenya au pengine Uganda je kuna nyumba za kupanga au vyumba vya kupanga kama vile vya kwetu kule uswahilini ambapo mtu unalipa kodi elfu 50 kwa mwezi.
namafunzo ya mgambo kutoka TZ kwahiyo wale migambo wa alshabab siwaogopi mimi.si vyema kutuacha tuisome sisi tu wkt nawewe inakuhusu,huogopi alshabab..?
poapoa mkuu nasubiri majibu niondoke zangu bongo.sina uhakika maana mimi mwisho wangu...ni pale Namanga...sijavuka...na huko nimeishia Horohoro...labda ningoje keshokutwa nitakuwa pale Ngara...nitajaribu kuvuka nikawaulize wenyeji kisha nitakuja hapa kuleta majibu
vipi bei yao iko juu au chiniVipo
Dah.. Kule mirungi inauzika bila kwere.... changamkia... kawauengoja niibuke tu hata kwa wenzetu maana hapa bongo hapaeleweki kabisaa.
kwahiyo Kenya wanaziita nyumba za kukodi nasio nyumba za kupanga.Nyumba za kupanga ndio nyumba za kukodi?? Kama ni nyumba za kukodi ziko Kenya.
Watu hiziita rental sanasanakwahiyo Kenya wanaziita nyumba za kukodi nasio nyumba za kupanga.
Uganda wale wasiomudu kodi ya chumba hupanga garage ya mtu, ile garage ya kulaza gari kodi yake inakuwa ni nusu ya bei ya chumba. Ukijiwa na mgeni inabidi ainame wakati gate linafunguliwa kuepusha adha ya kuanika mali zako.
Hizi nyumba za kupanga za huku kwetu Kwamtogole hata Nigeria zipo, wanaziita "face me I face you" yani ukifungua mlango tu unatazamana na jirani yako.