Je, Kenya na Uganda kuna nyumba za kupanga?

Je, Kenya na Uganda kuna nyumba za kupanga?

kama kichwa cha thread kinavyojieleza hapo juu nahitaji kujua katika nchi ya Kenya au pengine Uganda je kuna nyumba za kupanga au vyumba vya kupanga kama vile vya kwetu kule uswahilini ambapo mtu unalipa kodi elfu 50 kwa mwezi.
Kuna apartment kwa midle and high class. Lower class ni nyumba za bati, nazumzia Kenya, Uganda sijui
 
Inawezekana akili yangu imesimama kwa muda kwamba km hakuna nyumba za namna hyo means wote wamejenga???
Taratibu zinatofautiana kati ya nchi na nchi kwahiyo unaweza kuta wote wamejenga nyumba Zao.
Hakuna kuule kila mtu ana nyumba yake... hata street children.

Jf c sehem ya ujinga.
jamii forum sio sehemu ya ujinga bali inaweza ikawa ni sehemu ya kuandika ujinga
Mkuu vip ukame ndio
unakukimbiza au kuisoma no.?
maisha yashakuwa magumu tu.
Dah.. Kule mirungi inauzika bila kwere.... changamkia... kawaue[emoji12] [emoji12]
umenipa ushahuri ngoja nichangamkie fursa ya mirungi niwe millionaire mapema.
 
Viko vingi sana, hadi vya ksh 700 kwa mwezi.
 
Hakuna nchi duniani ambayo wananchi wao wte wana nyumba
 
Uganda wale wasiomudu kodi ya chumba hupanga garage ya mtu, ile garage ya kulaza gari kodi yake inakuwa ni nusu ya bei ya chumba. Ukijiwa na mgeni inabidi ainame wakati gate linafunguliwa kuepusha adha ya kuanika mali zako.

Hizi nyumba za kupanga za huku kwetu Kwamtogole hata Nigeria zipo, wanaziita "face me I face you" yani ukifungua mlango tu unatazamana na jirani yako.
Hii nayo kali
 
mkuu za pesa ndefu kama hizo sizihitaji nahitaji zile za uswahilini ambazo middle class anauwezo wa kulipia kwa mwezi
ngoja nitajirubu kwenda kuangalia kwanza kama papo fresh
dah sipati tena nataka kuvuka border
Kuna sehemu dar kuna nyumba ya udogo maeneo ya tegeta naskia kodi yake 7,000 kwa mwezi
 
mkuu za pesa ndefu kama hizo sizihitaji nahitaji zile za uswahilini ambazo middle class anauwezo wa kulipia kwa mwezi
ngoja nitajirubu kwenda kuangalia kwanza kama papo fresh
dar sipataki tena nataka kuvuka border
So unataka nyumba. Kama ya pesa ngapi kila mwezi? Na unataka kuishi wapi? Nairobi? Mombasa? Nakuru??
 
namafunzo ya mgambo kutoka TZ kwahiyo wale migambo wa alshabab siwaogopi mimi.
poapoa mkuu nasubiri majibu niondoke zangu bongo.
vipi bei yao iko juu au chini
Itategemea na uwezo wako mkuu na eneo unalotaka mkuu.Kwa nairobi zipo nyingi mno.Wewe kuwa muwazi umepanga kuhamia wapi na budget yako.
 
Kwa Nairobi,kuna mathare North,kibera, kawangware, mukuru kwa njenga, mukuru kwa Reuben,kibera, dandora, mlango kubwa, huruma.Kiufupi sehemu ni nyingi kuliko nilizotaja hapo.Wewe ukishajua eneo unalotakiwa kwenda itakuwa ni rahisi kushauriwa.
 
Back
Top Bottom