Maelezo mazuriInategemea lakini computer ina strong memory kuzidi binadamu na pia machine learning ambapo computer inajifunza ili itende without following explicit instructions.
Mfano, ukiipa computer objective ya kushinda game ita tafuta mbinu effective ya uchezaji kuzidi binadamu.
Tunashuhudia AI inakua siku hadi siku.
Binadamu atabaki kuwa superior maana computer lazima ipokee instructions kutoka kwa binadamu.
Binafsi siwezi kwa sababu inabidi nitunze memory yangu kwa kazi nyingine, lakini swali linabaki kuwa ni nani anaset algorithm kwa hiyo computer?Unaweza kui program na bado ikakuzidi uwezo,Wewe kwa ubongo wako unaweza hata kukariri page moja excel sheet kwa usahihi kuizidi computer?
Binadamu ndio anaset, ila bado computer itakuzidi maeneo mengi tu mfano hata ukiamua kukariri hio page moja itakuchukua muda mrefu mno na uwezo wa kuitunza pia itakuwa kwa muda mfupi tu,Binafsi siwezi kwa sababu inabidi nitunze memory yangu kwa kazi nyingine, lakini swali linabaki kuwa ni nani anaset algorithm kwa hiyo computer?
Computer iko vizuri sababu in memory kali ambayo sio rahisi kufa labda storage device ipate hitilafu😅!Binadamu ndio anaset, ila bado computer itakuzidi maeneo mengi tu mfano hata ukiamua kukariri hio page moja itakuchukua muda mrefu mno na uwezo wa kuitunza pia itakuwa kwa muda mfupi tu,
Hii scenario yako imenipa ugumu kidogo hapa,maana hiyo computer yenyewe sidhani kama inaweza kukariri hiyo sheet kama unavyosema labda inaweza kustore na kurejesha taarifa inapohitajika.Binadamu ndio anaset, ila bado computer itakuzidi maeneo mengi tu mfano hata ukiamua kukariri hio page moja itakuchukua muda mrefu mno na uwezo wa kuitunza pia itakuwa kwa muda mfupi tu,
Kuna kitu kinaitwa machine learning ambapo computer inalishwa data iweze kujifunza kufanya kazi autonomous.Computer iko programmed na binadamu sasa inaweza vipi kuwa smart kumpita binadamu
Yap! machine learning naijua lakini logic zote ambazo computer device yoyote inafanya ni binadamu tu ndo yuko nyuma ya paziaKuna kitu kinaitwa machine learning ambapo computer inalishwa data iweze kujifunza kufanya kazi autonomous.
Uzi ufungwe hapaUsifananishe binadam na vtu vya kijinga
Hata binadamu waliotengeza computer wakishindanishwa na computer zao kuna mambo mengi hawataweza kuishinda computerBinadamu waliotengeneza computer wapo smart zaidi kuliko computer, lakini sio binadamu wote kwa mfano computer inaweza fanya calculation ngumu sana, wakati Kuna binadamu magazijuto tu ni shidaa.