Mengi sana yatasemwa ila hii kali.
Inawezekana,c mnajua nyie mkinywa nyagi then una chombo pembeni huwa hamrembi.
Mimi naamini,tena Mtoto mwenyewe Lulu alivyo mbichi,utamfaidijeee!
wewe kama hautaki kusikia habari hizi kwanini umeingia kwenye huu uzi? acha tuendelee kujifariji bana, we wawapi? hovyooSasa haya yote ya nini ilihali mtu keshakufa? Mnataka mfanye nayo nini? Hivi hatuna kabisa mambo mengine ya kujadili hadi tubaki kusema hayohayo tu katika muundo tofautitofauti?
Sasa haya yote ya nini ilihali mtu keshakufa? Mnataka mfanye nayo nini? Hivi hatuna kabisa mambo mengine ya kujadili hadi tubaki kusema hayohayo tu katika muundo tofautitofauti?
hee!!!
Aseeeee!?!
Nasikia tetesi mitaa ya sinza,,kwamba marehemu alikuwa anakula mzigo bafuni ghafla ndo simu ya Lulu ikaita chumbani,,baada ya lulu kustop kwenda kuikimbilia simu yake,,marehemu the great naye akamuungia kumfuata,,bahati mbaya akateleza akitokea bafuni na kuanguka,,,,wapo wanaodai wakati daktari anafika marehemu alikuwa mtupu..
Haya basi tuwaachie mapolisi wetu wa kibongo waendeshe hii movie.
RIP The Great
hee!!!
Aseeeee!?!